For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Unamaanisha amteue ili kuionesha dunia kwamba alishinda kwa haki na kwamba the election was free and fair? else more do you want to tell us kwamba national unity itajengwa kwa kumteua kuwa mbunge au kwa kuheshimu peoples wishes?
 
Achaguliwe ili alete ushoga? You must be out of your mind, the guy is bogus. Mwacheni akale alichopanda matusi yake atakula sasa wakati wa kuwahurumia wasaliti umepita yeye aende kwa mabasha wake. Never JPM hapo hapo hakuna huruma. Hatujasahau ujinga wake aliambiwa kuna maisha baada ya uchaguzi akapuuza haiwezekani. TL ahame nchi as soon as possible.
 
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi yako ya kusafisha vikongwe bado inakufaa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ili iweje? Je mawazo yake yasiyopendwa yatamweka salama kwenye makucha ya nyamaume wenye uchu na damu za watu?
 
Naamini ushauri huu utazingatiwa, Zitto na Lissu ni muhimu sana wawepo Bungeni kulichangamsha Bunge la CCM.
P
Wangejali hili wangewaacha washinde otherwise hizo post za kuhurumiwa ni hadaa kwa wananchi. Bunge liendelee walivyotaka. Kuunga hoja mia kwa mia.
 
'' Mimi huwa sishauriwi na ni namchukia mtu anaenisjauri 'JPM
It's not true, mimi nilimsikia mwenyewe, alisema hapendi kushinikizwa!, sio
kushauriwa, Magufuli ni mtumishi wetu sisi "we the people ", ndiyo tuliomwajiri kwa kura zetu na kumlipa mshahara wa tax free na kumlisha, kumvisha na kumhudumia mahitaji yake yote bure kwa kodi zetu, hivyo tuko free kumshauri lolote, ila pia kupitia katiba yetu, tumempa uhuru wa kupokea ushauri wowote na kuuzingatia au kuupuuzia, lakini katika kufikia maamuzi, anafikia maamuzi yeye mwenyewe as yeye, hana mamlaka ya kumchukia yoyote anayemshauri chochote, huo ni udhaifu wake wa kibinaadamu kwa vile yeye sio malaika ni binaadamu tuu kama sisi.
P
 
Viongozi wakubwa kiumri na kisiasa kuliko yeye ambao ni wastaafu walijaribu kumshauri jambo kuhusu wahanga wa tetemeko kule bukoba kwa kumwambia hata kama hautawalipa si vyema kuwaaibisha wema ilikua kuwapa pole kuliko kusema 'mwaaafwa'
Akasema kawajibu wastaafu kwamba wanawashwa washwa
Kama ukishindwa kuwastiri wazee Nana utamstahi
 
Hapana Asiteuliwe!

Na kwa kuongeza.. watanzania ni watu wa kutangatanga... Wamesafiri all their lives. Hakuna mwenye asili ya hapa (Tanzania). Kilichofanya tukimbie huko tulikokuwa awali... Hatukijui ..ila tulikimbia na tukaweza.

Sasa Wahenga walikwisha kusema Kimfaacho mtu Chake, Na Mafahali wawili hawawezi kudumu Zizi moja...na riziki ya mtu mimi ninaamini iko mguuni mwake maana atafutaye hachoki..

Tanzania ikiwa chungu, mbaya, na chama hiki cha hovyooo.. basi Ikawe heri kwako unayetafuta namna ya kufika nchi ya amani, chaguzi huru, na maziwa na asali. Ya nini utaabike ilhali mipaka hii akiweka beberu tu!?

Ingekuwa mie siridhiki na Yaniuma sana ningeshakuwa njia kueleka Ugagagigikoko nikapumzike. Shida za nini.. nguvu ulinishinda zangu mbio.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yes that is how he was alipoingia, uchaguzi ule aliomba kura kwa kupiga pushups, baadaye alikuja kubadilika,

This time ameomba kura kwa kupiga magoti!.
P
 
Ameomba kwa kupiga magoti lakini Watanzania walowengi hawakumpigia na wewe unajua Sasa ataenda kuangalia actual votes halafu nisikilizie kisasa chake
MITANO hii ni forever!!!!
Did you recognize this time Vote was not your secret?
Wale wote big boys ambao hawaja mpigia Kazi wanayo ikiwemo Mr. Mayalla
 
Wala haina haja, ibaki ccm pekee yake kuanzia rais, wabunge na madiwani. Maana mh. Rais alisema wapinzani wabamchelewesha kuleta maendeleo. Hopefully hata bunge live litarudi
 
Mwacheni JPM aijenge nchi yetu sio makuwadi wa wazungu waje kutuhadaa na kuchukua rasilimali zetu na kuwaacha Watanzania kuwa watumwa kwenye nchi yao.

Happy Birthday Mr. President.




Hapa kazi tu!
 
Absolutely not, kwanza sidhani kama atakuwepo, ila hapana hapana hapana...
 
Wewe mtu njaa zako zinakupeleka pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…