For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Siajelewa jomba national uniy una maanisha Nini...mwambieni huyo lissuu wenu aka unite na Amsterdam kule kwao ubelgiji...atuachie nchi yetu..SI hata dereva wake kamficha kule..waende Waka unite kule..hatuwahitaji na Wala mheshimiwa Rais wangu Magufuli Hana haja nao..kwa sababu hata wananchi hawawataki na ndio maana wananchi wamewachinja..yeye SI alikuwa anasema Magufuli hamna kitu pale..basi aende ubelgiji ndio Kuna kitu..cheza na wananchi wewe..sijui mnadhani hawaoni Wala hawasikii anayoyafanya Magufuli..shwainnnnyyyu
 
Paskali
Unaanza kuchanganyikiwa sasa. Ni vema ufanye uchunguzi wa Afya ya akili yako.
 
Mkuu katika 'the art of political war' kifungu cha tatu kinahitaji yafuatayo,

Ukipigana kisiasa katika ushindani wowote lazima uhakikishe adui yako kisiasa amepigwa saana na kuchakaa , ili asiweze kurudisha mapigo kwa aina yeyote.

Na itakapo tokea amejikusanya na kuweza kurudisha mapigo basi lazima yawe dhaifu sana kiasi hauwezi kuumia.

Na uhakikishe makovu makubwa unayo mwachia akiyatibu lazima makovu hayo yamuuwe.

CCM wamefanya hivi kwa makusudi, sasa reconcilliation hapa iwe ya nini?

Au ndio ukitaka kuyaponyesha makovu lazima ufe.

Na formular sita za akiba bado wamebakiwa nayo. Kwa hiyo lazima upinzani ujitayarishe kwa pigo takatifu, Ana wana nguvu za kutisha kufanya watachotaka.
Reconciliation yeyote ile lazima iwe ya udhati na comprehensive.
 
Ashauriwe kuheshimu haki ya watu kuchagua kiongozi wanayemtaka. Nchi haitaendelea chini ya utawala dhalimu uliopatikana kwa upokaji wa haki ya wananchi kwa kutumia NEC, Jeshi (usalama polisi n.k)na watumishi waserikali wasiojitambua
 
Pascal national unity hujengeka kwenye jamii kwa kutendeana haki siyo kupeana fadhila baada ya kufinyanga haki.
 
Wewe nae unateseka na kuhangaika sana
Mshauri wewe una access mbili
1. Lugha moja kwenu kumoja
2. Mwanahabari.
 
Mkuu
Wewe ni mtu wa Kagera?
 
Does it matter?
Yes, It does, because what was done as the compensation bits all logic.

Rebuilt good secondary schools and infrastructure including social services that this comment can only come from Netizens.

Muda wa wachekeshaji unatutupa mkono, we seldom needs pertinent comments.
 
He can build whatever he wants even you didn't mention International Airport in Rural area which no one use except himself and his family members
The issue was... Can he Respect to the elders?
Mwalimu Nyerere was a president for more than 24 years forget about airport in Butiama hakuweka hata lami kwao
Tanzania hii ni ingine ambayo watu wanalazimishwa kuamini na kukibali uongo media zinakufa sasa.... Hakuna Habari zaidi ya kuunga mikono juhudi
Kila gazeti ni gazeti la Uhuru na Daily News
Shilingi angalia pande mbili
 
You touched my heart!!!Kuna mahali nimeandika almost the same thing.
hapakuwa na sababu yoyote ya compromise democracy!!!
 
Mkuu nimependa bandiko lako japo limesheheni taarifa za kusadikika na tuhuma za hisia au kudhania tu.

Ni kweli CCM ni chama kikubwa cha kisiasa ambacho kimejijenga kama Taasisi imara hasa kwenye uongozi wa M/Kiti na Katibu Mkuu wake wa sasa. Wote wawili hawakuwahi kuwa ndani ya mfumo wa "huyu ni mwenzetu". Wametumia maarifa, elimu na uwezo wao binafsi wa uongozi kukiimarisha chama. Km kwenye Sekretariati ya chama kuna watendaji wenye uwezo, maono na wawajibikaji.

Si kweli uongozi wa CCM unatumia vyombo vya Dola kukandamiza vyama vya upinzani. Km matumizi ya hivyo vyombo, hasa Jeshi la Polisi kwenye mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ndio umewezesha huo uchaguzi kukamilika kwa usalama japo kumekuwapo na mapungufu. Ni kwasababu hiyo wewe na mimi tuko salama kiasi cha kujadiliana humu JF labda tungekuwa wakimbizi. Nasema hivyo kutokana na kauli za uchochezi zilizokuwa zikitolewa kwenye kampeni. Kama Serikali isingetumia hivyo vyombo, amani ingevujika (tayari kuna matukio ya mauaji na uhalifu kwenye baadhi ya maeneo ya uchaguzi).

Kinachohitajika ni viongozi wa upinzani kurejea kwenye meza yao kupanga jinsi na namna ambayo wanaweza kushinda chaguzi pasipo kuilazimisha Serikali kutumia vyombo vyake kulinda usalama wa raia na mali zao. Km wanapaswa kuwa karibu na wapiga kura kujua, kwa undani, kero zao za kijamii, kisiasa na kiuchumi ili waje na Sera zilizo bora zaidi kuliko za Chama Tawala. Kuendelea kulalamika na kuilaumu Serikali ni kitendo cha kukata tamaa mithili ya mtu asiye na maono au mtoto - (mtoto akililia wembe ... )
 

It is possible exchanging views with you is a waste of my valuable time. Type of the mind you build a hospital where there in no hospital, a very low mind you tells is not necessary.

You build a mortuary because bodies rot, you low mind says not necessary.

Maternity hospital to save life for your mother because many of them dies, the low mind says we did not ask for it.

Such stupid mentality can not be listen to. Utoto utoto utoto.
 
He is not the first to build hospitals in spite of the fact that most of them got neither medications nor equipments...
They just put like Tanzanuans we had no hospitals or health centre any where
Keep watching TBC and believe them
We still got a lot of areas where we do not have most of huduma za kijamii
Anyways nyie mpo kwenye Mavi 8 you know very little what is going on in another side of the country
 
Kwa vile Tundu Lissu ameikimbia nchi, bado naamini, asinge kimbia, JPM, angemteua katika zile nafasi zake kumi za uteuzi. Sasa atawatea, Zitto, JJ.Mnyika na kale kabinti Queen Sendiga.
P
 
Mkuu fundimchundo , nimeguswa na bandiko lako hili, karibu pande hii, mimi ni realist, ma realists wote, hata kama hau support kilichofanyika, lakini when kumetokea kitu kilichotokea, and there is nothing anyone can do to change the situation, ma realists wote tunakubali matokeo, katika muktadha wa appreciating the situation and suggest the best way forward out of the situation.

Vyama vya siasa sio mali ya watu, viongozi, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote yatafanywa kwa kutanguliza maslahi ya umma.
Kwenye hili, maslahi ya umma ni kwa wapinzani hao wachache waliopata fursa ya kuingia Bungeni, waingie waka salvage what is left of opposition in Tanzania.

P
 
Kwa vile Tundu Lissu ameikimbia nchi, bado naamini, asinge kimbia, JPM, angemteua katika zile nafasi zake kumi za uteuzi. Sasa atawatea, Zitto, JJ.Mnyika na kale kabinti Queen Sendiga.
P
Unaongea vitu ambayo unajua si ukweli
Kujipendekeza kwa kiwango hiki ni kujidanganya mwenyewe
Wewe unajua mtoto wa dada yake na #### alisema hadharani mara hii hatuna haja ya kupoteza risasi ila tutamchona sindano ya sumu hakuchukuliwa hatua
Mtu kapigwa risasi sehemu ya serikali hakuna kilichotokea
Hakuna kesi wala uchunguzi mbaya zaidi hata hela ya matibabu #### akamnyima
Paskali bora kukaa kimya kuliko kua kizabizabina
 
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…