For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Upuuzi mtupu
Unajua wangapi wameuawa kwa ajili ya upinzani?
Unajua kesi ngapi wamebambikizwa wapinzani
Lakini paskali kama zuzu fulani vile

Wataalamu wa kisaikolojia wanasema mtu siku zote hua anamahusiano na Jina Lake
Mtu akiitwa njaa lazima awe njaa njaa tu hata kama ameshiba

Mtu akiitwa pombe anakua mlevi mlevi hata kama bado hajanywa pombe
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuoga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x 3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 

Wanabodi, hizi nafasi bado zipo, hivyo Lissu bado has a chance ya kujirudi na kuteuliwa.

Mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Swali "mfu"
 
Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
Karma acts both ways, ukitenda mema unalipwa mema, ukitenda uovu unalipwa uovu. Lissu naye sii malaika, hivyo kilichomtokea Lissu pia kinaweza kuwa ni malipo ya karma ya mambo yake maovu ya sirini, mfano walivyomsulubu yule mlinzi wa Dr. Slaa, kufukuza watu bila kufuata katiba, kumsingizia Lissu usaliti, akina sisi wazee wa karma, tuliwapa angalizo... Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Naunga mkono hoja, tena hili, hata makada contemporary wa CCM, tulimshauri JPM
Hili naamini Hili kukifanyika, litasaidia sana kuwapooza na kumfuta sio tuu machozi, bali atamfuta machozi, jasho na damu ile ya zile pyu pyu alizomiminiwa!.
Happy New Year.
P
 
Huu mpira sasa uko kwa Samia
Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…