For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Hawa waliokuwa wanaitwa Ikulu ila wakitoka wanapindisha maneno! Kwa JPM hakuna anafasi ya wasaliti wa Taifa na vibaraka wa mabeberu!
2414618_24gvpqh.jpg
 
Ww ni Ng'ombe kabisa, na hii inatokana na makuzi yako ya kuchunga ng'ombe, kutenbea nyuma ya matako ya Ng'ombe na kuangalia nyeti zake kila siku, kuangalia akinya na jike linapopandwa kila siku bila shaka kumeathiri akili yako....
Aaah mkuu usitujuqmuishe wafugaji wote na huyu mpuuzi mganga njaa.
 
Kamanda soma hoja nzima usiishie kwenye "title"
Mkuu Wakudadavuwa , unadhani wenzetu hawa wana uwezo wa kusoma hoja?

Hata ukiwauliza Lissu watamchagulia nini ili afanye nini?, hawana majibu ni tutamchagua tuu!.

Sasa watu wa aina hii wanapokuwa na too great expectations mtu wao atashinda kutokana na nyomi za makundi ya watu kwenye kampeni, akishndwa, watachanganyikiwa, hivyo msaada mkubwa kwao ni kuwaandaa kisaikolojia kuhusu kushindwa kwa mtu wao, lakini ili wasikate tamaa, JPM, awape ahadi ya kumteua, na badala ya kupoteza kura zao kumchagua Lissu, wamchague JPM ili amnusuru Lissu.
p
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya hilo, viongozi waongoze watu waingie mtaani. Now is the time. Wasingoje uchaguzi upite. CCM hawatabadilika hata siku moja. 2025 itakuwa tena hivi hivi.

Anayefikiri watabadilika atasubiri sana. Bashiru alisema watatumia dola kushinda uchaguzi. Na ndicho kinachofanyika. Upinzani utumie wananchi kuleta mabadiliko. Kura hazitaleta mabadiliko yoyote. Kura zinahalalisha udhalimu wa CCM tu.
Kitu pekee wananchi wanachoweza kufanya katika mazingira haya ya siasa za chama dola, ni kuiambia na kuionesha serikali kwamba hawako tayari na hawakubali kuongozwa na genge la watu wenye dola la kiharamia.

Na hili limefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

..........
 
Pasco.
Una mtazamo fulani ambao unaelekea kuokoa jahazi la Chadema linalozama.

Kwa mtazamo wangu, Lisu ni tatizo kwa sababu anachokifanya anajua kabisa kwa nadhiri ya moyo wake ni flaw. Hana uchungu na nchi ana uchungu na ideologies zake.

Hivyo ni sahihi kwake kuendelea kupumzika siasa na kujikita kwenye masharti ya afya yake.

Kuteuliwa ubunge sikubaliani na ushauri huu abadan
 
A big NOOOOO...Pascal..noooooo way..mwache akapambane na Amsterdam wake..hatuwez changanya wabunge wetu wazalendo na mumiani hao wa wazungu..nasema nooo Pascal..hakuna ubunge wa hisani wa namna hiyo aende zake SI anarudi kuishi ubelgiji..na tiketi tayari anayo kibondoni..amesh
akiri hadharani..asidhani watanzania woooote wajinga hatuoni Magufuli alichofanya..nasemaa noooooo Pascal usiwe nanmawazo ya namna hii..
 
Embu waza pia tofauti, kama hivi.
"Unaonaje Rais mpya wa Tanzania, Tundu Lissu akimteua Magufuli kuwa naibu waziri wa ujenzi kwenye serikali yake kwa lengo la kulinda umoja wa kitaifa ?"
 
Pasco.
Una mtazamo fulani ambao unaelekea kuokoa jahazi la Chadema linalozama.

Kwa mtazamo wangu, Lisu ni tatizo kwa sababu anachokifanya anajua kabisa kwa nadhiri ya moyo wake ni flaw. Hana uchungu na nchi ana uchungu na ideologies zake.

Hivyo ni sahihi kwake kuendelea kupumzika siasa na kujikita kwenye masharti ya afya yake.

Kuteuliwa ubunge sikubaliani na ushauri huu abadan
Nakuunga mkono..jomba kwa hili..aende akapambane na mwili wake kwanza bado ana risasi nyingine mgongoni..aende akapambane kuichomoa kwa faida yake na familia yake
 
Wanabodi,
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya political awareness ya Watanzania interns of political awakening, there is no way, mpinzani anaweza kushinda urais wa nchi hii, hivyo tunaposema CCM itatawala milele, naomba mtuelewe.

Katika uchaguzi huu, kwa upande wa urais, ushindani mkali ni wagombea mawili tuu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli wa CCM na Tundu Antipacy Lissu wa Chadema.

Mimi Paskal Mayalla najisikia very proud kwasababu ni mmoja wa watu wa mwanzo, kumshauri Lissu agombee na rais Magufuli, na kuna sifa fulani ya Lissu anayo ambayo anamzidi Magufuli, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kutokana na sifa hiyo ambayo Lissu anamzidi Magufuli, ni kweli mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu, ina hamasa kubwa na makundi makubwa ya watu, ambayo kisasa wanayaita nyomi, hali inayopelekea watu wajinga wasiojua siasa za kweli za nchi, kudhani hayo makundi ya watu ndio kura hizo!, hivyo kujiaminisha Tundu Lissu ndiye anakwenda kushinda urais!, masikini hawa, hawajui decisive votes kwa uchaguzi wa Tanzania, zinatoka wapi!.

Determinant ya kura za ushindi kwa uchaguzi wa Tanzania, ni kura za watu wa vijijini. Chama pekee kilichowafikia Watanzania wote hadi vijijini ni CCM, vyama vya upinzani ni maarufu mijini tuu, hizo nyomi za hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni, sio kura hizo, kura zenyewe halisi ziko vijijini na huko ndiko CCM ilipo, hivyo kura zote za vijijini ni za CCM.

Ukiondoa hizo kura za vijijini ambazo tayari ziko kibindoni kwa CCM, na kama hii hoja hapa ni kweli

Then there is no way Upinzani unaweza kushinda uchaguzi huu, hivyo mshindi wa uchaguzi Mkuu huu ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli na CCM. Kwa vile there's no way Tundu Lissu anaweza kushinda uchaguzi huu, kuna mwana jf mwenzetu huyu Kishimbe wa Kishimbe , amatoa mawazo mazuri sana kwenye bandiko hili,
ameshauri


Mkuu Kishimbe wa Kishimbe , kwanza asante kwa objectivity
3. Hoja yako ya tatu, ni hoja ya msingi sana, nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%, tubadili katiba, tuweke clause, wagombea wote wa urais, watakao pata kura zaidi ya asilimia 10%, wawe wabunge wa taifa automatically.

Mimi kwenye bandiko langu hili,
nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.

Kutokana na Watanzania wenzetu wengi kuwa na too great expectations kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi huu wakati sisi tunaojua reality ya ushindi wa uchaguzi sio tuu ni the votes casted, but the votes counted, hivyo the determinant of victory is not vote cast but vote count. Ili Watanzania wenzetu watakapo kutana na ukweli huu kwenye matokeo, wasije kuchanganyikiwa kwa despair kwa kutoamini macho yao na masikio yao kwa kitakacho tokea, bandiko hili ni msaada mkubwa kwao, kuzuia panic na kupata pressure, kwasababu they knew before, waliambiwa.

Kumpigia kura mtu ambaye hatashinda, ingawa nayo ndio kutumia haki yako ya kidemokrasia kuwachagua viongozi unaowataka, lakini intems of utawala wa nchi, unakuwa umepoteza kura yako.

Sasa ili kuwasaidia Watanzania wenzetu wasipoteze kura zao, Jee mnaonaje tumshauri Rais Magufuli ambaye yeye ndiye mgombea wa chama cha ushindi, CCM, atoe a solid promise kwa Watanzania, kuwa atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, kwenye zile nafasi zake kumi za wabunge wa kuteuliwa, hivyo waliopanga kumpigia kura Tundu Lissu, wasiwe na wasiwasi, Tundu Lissu hata asiposhinda urais, bado atakuwa ni Mbunge wa kuchaguliwa na kuwatumikia wananchi, hivyo natoa wito, badala ya kumpigia kura Tundu Lissu, hizo kura za Lissu, mpigie Magufuli, kisha Magufuli atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, hivyo hapo unakuwa hujapoteza kura yako.

Hii hoja ya wagombea wote wa urais watakaopata zaidi ya asilimia 10% ya kura za urais, kuingia Bungeni automatically, kutajenga sana a national unity.

Mnaonaje hili, la kura za Lissu apigiwe Magufuli?.

Paskali
No ways....
Lisu anakibupande aliochagua! Ni energy drainer!
 
Embu waza pia tofauti, kama hivi.
"Unaonaje Rais mpya wa Tanzania, Tundu Lissu akimteua Magufuli kuwa naibu waziri wa ujenzi kwenye serikali yake kwa lengo la kulinda umoja wa kitaifa ?"
Jomba ndoto yako haiwezi kuwa na uhalisia..milele..mwache lissuu arndelee na uanaharakati wake kule ubelgiji....Hana uchungu wowote na Taifa hili ana uchungu na wazungu kuzuiwa makinikia yao ya madini...aende zake kule
 
Ww ni Ng'ombe kabisa, na hii inatokana na makuzi yako ya kuchunga ng'ombe, kutenbea nyuma ya matako ya Ng'ombe na kuangalia nyeti zake kila siku, kuangalia akinya na jike linapopandwa kila siku bila shaka kumeathiri akili yako

Yaan kumpigia kura mtu, asiposhinda umepoteza kura?

Ulivyo na akili zilizo athiriwa kwa kutembea nyuma ya matako na nyeti za ng'ombe unasema eti "watanzania wengi wanaamin Lissu atashinda" alafu unasema hatashinda, sasa kama wengi wanaamin na watampigia kura kwanini asishinde? Au hao wanao amin hivyo hawatampigia kura?

Na kuhusu kura za vijijin, nikuambie labda huko kwenu, kwetu ni kijijin na huwaambii chochote, wote wapo na Lissu na hii ni nchi nzima isipokuwa huko kwenu watembea nyuma ya vinyeo vya ng'ombe
Ni kwa familia yake tu
 
Back
Top Bottom