For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Hawa waliokuwa wanaitwa Ikulu ila wakitoka wanapindisha maneno! Kwa JPM hakuna anafasi ya wasaliti wa Taifa na vibaraka wa mabeberu!
 
Ww ni Ng'ombe kabisa, na hii inatokana na makuzi yako ya kuchunga ng'ombe, kutenbea nyuma ya matako ya Ng'ombe na kuangalia nyeti zake kila siku, kuangalia akinya na jike linapopandwa kila siku bila shaka kumeathiri akili yako....
Aaah mkuu usitujuqmuishe wafugaji wote na huyu mpuuzi mganga njaa.
 
Kamanda soma hoja nzima usiishie kwenye "title"
Mkuu Wakudadavuwa , unadhani wenzetu hawa wana uwezo wa kusoma hoja?

Hata ukiwauliza Lissu watamchagulia nini ili afanye nini?, hawana majibu ni tutamchagua tuu!.

Sasa watu wa aina hii wanapokuwa na too great expectations mtu wao atashinda kutokana na nyomi za makundi ya watu kwenye kampeni, akishndwa, watachanganyikiwa, hivyo msaada mkubwa kwao ni kuwaandaa kisaikolojia kuhusu kushindwa kwa mtu wao, lakini ili wasikate tamaa, JPM, awape ahadi ya kumteua, na badala ya kupoteza kura zao kumchagua Lissu, wamchague JPM ili amnusuru Lissu.
p
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya hilo, viongozi waongoze watu waingie mtaani. Now is the time. Wasingoje uchaguzi upite. CCM hawatabadilika hata siku moja. 2025 itakuwa tena hivi hivi.

Anayefikiri watabadilika atasubiri sana. Bashiru alisema watatumia dola kushinda uchaguzi. Na ndicho kinachofanyika. Upinzani utumie wananchi kuleta mabadiliko. Kura hazitaleta mabadiliko yoyote. Kura zinahalalisha udhalimu wa CCM tu.
 
Paschal, if you could only understand a proper definition on national unity usingeandika Huu upuuzi....

Lissu had opportunity to stay safely in Europe with his family, do you think he would come for a seat?

He came to help us, he is the only one to help and a true opposition figure!
 
Pasco.
Una mtazamo fulani ambao unaelekea kuokoa jahazi la Chadema linalozama.

Kwa mtazamo wangu, Lisu ni tatizo kwa sababu anachokifanya anajua kabisa kwa nadhiri ya moyo wake ni flaw. Hana uchungu na nchi ana uchungu na ideologies zake.

Hivyo ni sahihi kwake kuendelea kupumzika siasa na kujikita kwenye masharti ya afya yake.

Kuteuliwa ubunge sikubaliani na ushauri huu abadan
 
HAPANA wasaliti hawastahili wema huo.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
A big NOOOOO...Pascal..noooooo way..mwache akapambane na Amsterdam wake..hatuwez changanya wabunge wetu wazalendo na mumiani hao wa wazungu..nasema nooo Pascal..hakuna ubunge wa hisani wa namna hiyo aende zake SI anarudi kuishi ubelgiji..na tiketi tayari anayo kibondoni..amesh
akiri hadharani..asidhani watanzania woooote wajinga hatuoni Magufuli alichofanya..nasemaa noooooo Pascal usiwe nanmawazo ya namna hii..
 
Embu waza pia tofauti, kama hivi.
"Unaonaje Rais mpya wa Tanzania, Tundu Lissu akimteua Magufuli kuwa naibu waziri wa ujenzi kwenye serikali yake kwa lengo la kulinda umoja wa kitaifa ?"
 
Alishatoa kauli ya dharau kuwa rais ateue watu kutoka majalalani sio kama yeye. Hivyo ushauri wako haufai kwa mtu kama huyu.
 
Nakuunga mkono..jomba kwa hili..aende akapambane na mwili wake kwanza bado ana risasi nyingine mgongoni..aende akapambane kuichomoa kwa faida yake na familia yake
 
No ways....
Lisu anakibupande aliochagua! Ni energy drainer!
 
Embu waza pia tofauti, kama hivi.
"Unaonaje Rais mpya wa Tanzania, Tundu Lissu akimteua Magufuli kuwa naibu waziri wa ujenzi kwenye serikali yake kwa lengo la kulinda umoja wa kitaifa ?"
Jomba ndoto yako haiwezi kuwa na uhalisia..milele..mwache lissuu arndelee na uanaharakati wake kule ubelgiji....Hana uchungu wowote na Taifa hili ana uchungu na wazungu kuzuiwa makinikia yao ya madini...aende zake kule
 
Ni kwa familia yake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…