For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

yan ulicho andika hapa😞😞maana yake kuna kitu mmeshafanya au mnapanga kufanya nampango umekamilika then mnauja kutupa eti no way mwaka huu hakutaeleweka
 
Bro Wazo Lako ni Zuri
Sana, ila Wazo hili litumike kwa wagombea wenye Adabu na Heshima kwa Wenzao. Tundu Lissu Hana Adabu IVI HUYU ANAEMTUHUMU MAGUFULI KUWA ALITAKA KUMUUA KWELI ANASTAHILI HURUMA YA UTEUZI???

Huyu Mtu ni Mshenzi Hafai Kuhurumiwa hata Kidogo Anatakiwa aadhibiwe kwa Kura za kishindo kwa Rais MAGUFULI.. Huyuu Uchaguziii Ukishaisha Akamatwe Akathibitishe Tuhuma nzito Juu ya Raisi wetu, Dr Slaa wakati akiongoza Kampeni zake hakutukana wala kutuhumu watu bila ushahidi... Ndio maana haikuwa ngumu kuteuliwa na Prezoo.... TUNDU LISSU ANATAKIWA KWANZA AOMBE MSAMAHA RAIS AOMBE MSAMAHA WATANZANIA KWA KAULI ZAKE ZA KUKOSA ADABU NA HESHIMA Baada ya hapo Ndio Afikiliwe kwenye uteuzi Wa aina yoyote.... MIMI NAMSHUARI RAIS MAGUFULI AMTEUWE MBATIA HUYU JAMAA NI MAZLAENDO NA ANATUMIA AKILI YAKE KWA MANUFAA YA TAIFA

SIO HAWA WANAOTAKA KUWEKA REHANI MADINI YETU🤣😂🤣😂🤣😂

IVI KWELI HAWS HAPO SERIOUS KWELI UNAWEKAJE REHANI MADINI KWA WEZIIIII WAZUNGU NI WEZIIII JAMANII DHULUMATIII NA WANAFKI ACHENI KABISAA.

TUNDU LISSU OMBA MSAMAHAA MAPEMA

TUMIA MKUTANO WAKO WA MWISHO KUMWOMBA MSAMAHA RAIS MAANA UTAPATA TAABU SANA
 
Ama kweli adui yako muombee njaa.
Huyu ndo yule "Pasco Mayalla" kweli alievuma sana kipindi hicho wakati nakua alipokua anaendesha kipindi cha "Kitimoto"? Nakumbuka sana hili kipindi kilikua ni moto kweli kweli, na kilikua kati ya vipindi ambavyo siwezi kuvimiss asilani. Pasko enzi hizo akiwatia jamba jamba kwa maswali magumu na fikirishi wanasiasa na viongozi maarufu.
Alikua Pasko mwenye akili zinazochemka kweli kweli. Ila huyu Pasko wa sasa hivi mwenye njaa kali aisee ni Pasko anaefikiri kwa kutumia tumbo, utumbo umehamia kichwani.
Anyways, endelea kupambana na kusali sana kwamba huyo mtu wako ashinde, na baada ya kushinda akukumbuke hata u DC kwenye awamu yake ya pili (Naona una kibarua kizito sana cha kupiga maombi)
 
Kwa hiyo jomba ulitaka aendelee kuwa mwanaharakati hata Kama serikali imetekeleza matakwa yote ya wananchi Tena na ziada..Huo utakuwa upungufu wa akili..mgombea wenu Lissuuu ndie anataka kuishi na uanaharakati milele..lakini tunajua sababu gani..Hana uwezo wa kuongoza Taifa...na anatumiwa na maadui wa nje..watanzania tunajua na tunaona jinsi wanavyohangaika...
 
Halafu kwa ujinga wake Mayalla anafikiri kuwa Lissu naye anafikiri kwa kutumia tumbo! Atakuwa hamjui Lissu vizuri.
Wewe unamjua vizuri kivipi jomba labda tufahamishe nasisi...usitaje suala la ushoga na kutetea mashoga ambalo kila mtu analijua...hilo liko wazi...embu tujuze jomba
 
Mie nilishapata allergy ya kusoma posts zako kabisa. Umeshakuwa kipofu sababu ya itikadi hata huwezi kuona mambo objectively kabisa. Pengine unavisia possibility ya kupata mkate kupitia kuanika itikadi yako siwezi jua!!!!
 
Mkuu Dr Bill , uteuzi wa Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa sio uteuzi wa huruma au ulaji, ni uteuzi strategically kuwapooza mashabiki na wafuasi wake ambao by now wameisha jiaminisha Tundu Lissu ndiye atashinda, kwa type ya wafuasi hao, it's good to contain them than let them loose, watatusumbua.

Ili kujua watatusumbuaje, karibu utembelee huku Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya?

Ila pia kufuatia CCM kushinda kwa landslide huku bara, Bunge litakuwa ni la CCM dominated, litabweteka, hivyo watu kama Lissu, Zitto na JJ.Mnyika, watalisaidia sana kwenye amsha amsha lisilale.
P
 
Magufuli naye ni binadamu! Jinsi anavyomtukana majukwaani siamini anaweza kumteua. Ukimteua anajiona kama unamuogopa, mshenzi yule. Afterall yeye ana ticket ya kurudi! Mwache aende zake kwao ubeleji
 
Magufuli bado ana siku chache sana IKULU....aanze kuaga kuepusha shari. Watanzania wameshaamua....

Kaka P huo ubunge atakupea wewe huko chato anakoenda.
 
With due respect wewe jamaa huna adabu.
Hawa jamaa ni watu wawili tofauti.
 
Mie nilishapata allergy ya kusoma posts zako kabisa. Umeshakuwa kipofu sababu ya itikadi hata huwezi kuona mambo objectively kabisa. Pengine unavisia possibility ya kupata mkate kupitia kuanika itikadi yako siwezi jua!!!!
Mkuu Musundi , jina lako limenikumbusha dada mmoja akiitwa Sundi, naomba kuishia hapa.

Pole kwa kuwa allergic na post zangu, mimi nakupenda
P
 
Sema hawezi kufanya kazi na mtu aliyetaka awe amekufa na kuzikwa. Hata mi ningekuwa Lissu siwezi kufanya kazi na mtu aliyetaka nife. Bora kufa maskini kuliko kuuza utu wako.
Magufuli naye ni binadamu! Jinsi anavyomtukana majukwaani siamini anaweza kumteua. Ukimteua anajiona kama unamuogopa, mshenzi yule. Afterall yeye ana ticket ya kurudi! Mwache aende zake kwao ubeleji
 
 
Kwanza Tundu Lissu kawa mbunge kwa miaka 8 bila hisani ya mbuzi yeyote. Na hata kama angekuwa anahitaji ubunge bado, angeshinda tu kwa uwezo wake bila hisani ya takataka yoyote.

Pili, MaCCM sijui akili mlipekeka wapi: Jamani tatizo siyo Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Zitto au Maalim Seif, tatizo ni wimbi kubwa sana la wananchi wanaotaka mageuzi baada ya kuona CCM haiwasikilizi tena na imekuwa genge la kugaidi.

Hata hao kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Maalim Seif, Zitto wakihamia CCM wote leo, bado kundi la watu wanaotaka haki ya:

  • Ajira
  • Akwilini, Azory Gwanda, Alphonce Mawazo,

- Dhulma ya PSSSF/NSSF

  • Utu na ubinadamu
  • Upendeleo na uonevu.
  • Dhulma ya uporaji kwenye mazao ya Korosho, Kahawa, Mbaazi

- Uhuru
WATAKUWEPO


Jambo la msingi: Wasikilizeni watu/ wananchi ( hata Nyerere alisisitiza sana hili, ila sijui kwanini hamwelewi tatizo ni nini )

( WATU HAO WATAKUWEPO, TENA WENGI MNO )
- Haya manunuzi ya wanasiasa wenye influence upande wa upinzani mmeshayafanya sana ndani ya hii miaka 5 lakini hayajasaidia kitu, maana matatizo ya watu yako pale pale.

Ndio maana hao kina Dkt Slaa hawana nguvu yoyote tena kama zamani.

DAWA NI: KUWASIKILIZA WANANCHI TU.

Siyo mpaka viongozi unataka kuwachagulia, maendeleo ya ubaguzk ila kodi haibagui: Watu siyo wapumbavu wa kiawango hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…