For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

P uko vizuri sana in analyzing political and current affair issues... Nikiona article yako ni lazima niisome A to Z. Nawish hata niwe msaidizi wako ili nijifunze vitu vingi kutoka kwako maana mimi ni kilaza wa mengi lakini napenda sana kuandika analytical articles kama hizi za kwako.
Asante
 
Mayalla maana yake njaa sasa naona unanjaa kwenye ubongo wako na si kawaida lissu mbowe na zitto watashinda viti kwa haki
 
Kumpigia kura mtu ambaye hatashinda, ingawa nayo ndio kutumia haki yako ya kidemokrasia kuwachagua viongozi unaowataka, lakini intems of utawala wa nchi, unakuwa umepoteza kura yako.
Mkuu P naomba ufafanuzi.

Kwa hiyo unaamanisha wanaohisi mgombea wao hatoshinda basi wasipige kura?

Kama kumpigia kura mgombea ninayehisi atashindwa ni kupoteza kura, vipi kuna haja ya kuwa na uchaguzi? Si huyo mgombea mwenye nguvu atangazwe tu tuepuke gharama?
 
Lissu ni rais
 
Kwanini utuambie tumpe urais JP halafu yeye amteuwe lisu kuwa mbunge? Kwanini ulipoenda kumshauri usingemshauri yeye awe mbunge? Lisu awe raisi? Unajiandikia tu hovyo hovyo kwakuwa hauna shuhur ya kufanya si ndiyo
 
Nitahama CCM Lissu akiwa mbunge wa kuteuliwa tena na Rais!
 
Miaka imebadilika, vijijini wengi wapo mjini. Huu uchaguzi utawakumbusha viongozi wa nchi kuwa wenye nguvu sio wao Bali ni Wananchi. Lissu atashinda na kwa pamoja tutaupigania Ushindi wake.
 
Ukiona watu wanatukana na mapovu yanawatoka badala ya kujenga hoja, ujue hizo ni hasira za kushindwa.

Mshindi hawezi kuwa na hasira, mshindi kwake ni furaha tu.

Endeleeni kutoa povu, ruksa.
 
Sijasoma uzi wako lakini nikukumbushe lissu ukishakuwa mbunge na alidhulumuwa ubunge wake kwa sababu za kionevu kabisa. Unawezaje kumshauri aliyempora ubunge kibabe amteue kuwa mbunge? Lissu ndie anastahili kuwa rais na atashinfa kwa asilimia 65 mpaka 75. Labda tumshauri lissu amteue magufuli awe waziri wa miundombinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…