For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

hii kali kweli.....sasa sijui hii vita ya ufisadi nani atakuwa kinjekitile
 
Asante sana kwa habari hii inatuonyesha ukweli wa mambo yanayofanyika gizani na kusema ni siri za serikali na hii nayo siri?
 
Kwa hiyo ni baada ya barua hii Salva ndio akaingia IKULU sio?..
Je, wakuu zangu haiwezekani kuwa barua hii ilikuwa kwa JK mwenyewe na sio Rostam?..maanake mwisho wa barua hii kusema kweli ndio umenimaliza kabisaaaaa......Hivi Rostam ndiye mwenye nguvu na sauti ya nani awe nani ktk serikali hii ya JK... ama kweli makubwa haya!..

Even if you found the idea of helping us become independent unattractive and costly, you could at least have looked for a way to accommodate us in some positions within the new Government whose struggle to get into power we so painfully supported and for so long

That almost everybody who supported this process, excluding yourself and a few friends, who led from the very front, is now comfortable in some secure job, and that even people who were directly and openly opposed and even hostile to us, have been accommodated in one form or another in the new administration, and some of us are still in the wilderness, after almost two years of the new administration taking office, is really a matter of a serious story, which needs and should be told publicly, at some stage.

That everybody of you is comfortable and some few of us are struggling to make ends meet, speaks volumes about our friendships and how we help each other as friends. How could you have allowed such a thing to happen to us? Is it an oversight? Is it that we are incapable to work for the administration or do not deserve some part of the cake? It is that we are incapable of supporting the new administration, in some way or another, and that it is fair that we should continue to remain desperate and destitute. Is this the typical way that politicians behave and support friends? These are questions whose answers you alone can come up with.

Salva.
 
Kama ni kweli hii barua ni authentic, huyu mtu amejionyesha kuwa mpumbavu kuliko nilivyofikiri kwa kuweka yote haya kwenye karatasi.

Mimi bado napata tabu kuamini mtu anawezaje kuwa mjinga kiasi hiki!
 
Kwa hiyo ni baada ya barua hii Salva ndio akaingia IKULU sio?..

Yes sir!

Je, wakuu zangu haiwezekani kuwa barua hii ilikuwa kwa JK mwenyewe na sio Rostam?..maanake

Hapana, kama kuna kitu watu wamemiss ni anaposema "our common friend" huyo common friend ni JK.
mwisho wa barua hii kusema kweli ndio umenimaliza kabisaaaaa......Hivi Rostam ndiye mwenye nguvu na sauti ya nani awe nani ktk serikali hii ya JK... ama kweli makubwa haya!..

mzee, ana nguvu kuliko unavyoweza kufikiria kwani Dowans ilikujaje nchini? Manji aliwezaje kurudisha fedha ambazo baba yake hakuzichukua? Inakuwaje hadi leo Kagoda hatiwi pingu. Ila nguvu yake ina sababu, siyo nguvu ya fedha kama watu wengi wanavyofikiria. One of these days God willing I'll answer this question moja kwa moja. Nguvu ya RA ina msingi na msingi wake ndiyo mgumu kuubomoa.
 
Ndugu yangu neno "kama" hali apply kwenye barua hii.

Hapa mpaka sasa tunaenda na imani tu, kwa nini lisi apply? Una irrefutable evidence kwamba hiki ni kifaa authentic?

Tunashukuru kuletewa vijambo, lakini unless unatoa ushahidi usiopingika kirahisi, neno "kama" lina apply.Labda wewe unaweza kusema hivyo kwa sababu unajua nisichojua na hujakiweka hapa, lakini kutokana na info zilizopo hapa, who is to say kwamba hili si shambulio lililopigiwa mahesabu kutoka kwa maadui wa Salva?

Ina maana Salva ni mjinga kweli kiasi hiki? Kuweka such incriminating evidence in print? Evidence iliyosheheni mambo ya siri? Kuanzia ma personal vendetta mpaka mambo ya nchi mpaka kampuni kuendeshwa kinyume cha sheria? Huyu Salva alishindwa kuonana na Rostam wakaongea haya mambo bila kuacha paper trail? Kama document ilikuwa "for your eyes only" na ilikuwa na such damaging info, ilitokaje?

Ndiyo maana nasema kama kweli hiki kitu ni authentic basi tumeumia, to think such an irresponsibly careless person ndiye msemaji wa rais (msemaji/ muandishi wa rais mara nyingine does the thinking for the president a la Sorensen and Kennedy!).Just to think of the possibility makes me shiver.

Sisemi kwamba hii document si authentic, bali inabidi ipatiwe uhakiki kabla ya watu kusema bila ku preface sentensi zetu na "kama".

Just being cautious.
 
Last edited:
Je na ile info kuwa Edo Low.... aliweka watu wake kwenye the latest appointments za wakuu wa Wilaya? Wakuu tuambieni nani haswa ni kiongozi wetu: RA, EL au ....? au wote watatu wanaongoza kwa ubia na wakiamua wanafanya usanii hadharani kuwa wanatofautiana mambo fulanifulani ili kulaghai watu?

Hii serikali ilijengwa na EL na RA. Serikali yote imejaa vibaraka wao ikiwa ni pamoja na JK mwenyewe. Mawaziri karibu wote wanaoshikilia nafasi nyeti, baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa na baadhi ya idara za serikali wengi ni wapambe wa EL/RA.

Kwa hiyo ingawa EL hayupo madarakani, nguvu yake na ya akina RA bado ziko kila kona ya serikali. Ndio maana tokea EL aondoke, JK hajui la kufanya maana kiungo chao hakipo na hawezi kuwa wazi kwa PM mpya ambaye sio wa timu yake ya awali.

Bila ya JK kuondolewa kwa nguvu hataondoka na hivyo utendaji wa serikali utaendelea kutegemea matakwa ya akina EL, RA n.k.
 
Blueray,
Kwa habari za haraka sana nimethibitisha kwamba ni kweli HCL haikuwa incorporated!...nimetumbukiziwa na mdau (mtoto wa mjini) ambaye hataki jina lake lifahamike..
This alone inaweza kufungua mambo mengi na tukapata uhakika wa barua, hasa kwa yale madhambi ya wazi yanayofanyika..
 
Hii kampuni HCL ilikuwa kwa kiasi kikubwa ni ya Jen Ulimwengu...kwa nini alikaa kimya hata baada ya kufanyiwa utumbo wote huu..??
 
Hii kampuni HCL ilikuwa kwa kiasi kikubwa ni ya Jen Ulimwengu...kwa nini alikaa kimya hata baada ya kufanyiwa utumbo wote huu..??

Kunguru muoga baba!, hukimbiza bawa lake. Baada ya kuvuliwa uraia na fisadi Mkapa ni lazima awe akae kimya ama vinginevyo wangemfanyizia tena. Mafioso wameshika hatamu za nchi.
 
kinachotakiwa sasa ni waandishi walioko on the ground kumuuliza Salva juu ya authenticity ya hii barua na contents zake. Ningependa nimsikie akikana. Like "I never had relations with that letter"...
 
Hapa mpaka sasa tunaenda na imani tu, kwa nini lisi apply? Una irrefutable evidence kwamba hiki ni kifaa authentic?

Tunashukuru kuletewa vijambo, lakini unless unatoa ushahidi usiopingika kirahisi, neno "kama" lina apply.Labda wewe unaweza kusema hivyo kwa sababu unajua nisichojua na hujakiweka hapa, lakini kutokana na info zilizopo hapa, who is to say kwamba hili si shambulio lililopigiwa mahesabu kutoka kwa maadui wa Salva?

Ina maana Salva ni mjinga kweli kiasi hiki? Kuweka such incriminating evidence in print? Evidence iliyosheheni mambo ya siri? Kuanzia ma personal vendetta mpaka mambo ya nchi mpaka kampuni kuendeshwa kinyume cha sheria? Huyu Salva alishindwa kuonana na Rostam wakaongea haya mambo bila kuacha paper trail? Kama document ilikuwa "for your eyes only" na ilikuwa na such damaging info, ilitokaje?

Ndiyo maana nasema kama kweli hiki kitu ni authentic basi tumeumia, to think such an irresponsibly careless person ndiye msemaji wa rais (msemaji/ muandishi wa rais mara nyingine does the thinking for the president a la Sorensen and Kennedy!).Just to think of the possibility makes me shiver.

Sisemi kwamba hii document si authentic, bali inabidi ipatiwe uhakiki kabla ya watu kusema bila ku preface sentensi zetu na "kama".

Just being cautious.

Mkuu I personally share your concern.

Lakini nchi yetu ilipofikia, namna JK amekuwa completely incompetent. This should not surprise anybody.

Tungeweza kuwa na walakini, if there was something better we expected from our President and his team. Lakini, since he came to office, JK ameprove kwa kweli kwamba he is just an incompetent soul. Absolutely incompetent. Hajui anachokifanya huyu bwana. Na usisahau mkuu, barua kama hizi ziko nyingi sana, kwa sababu hawa ndugu zetu hawajui (willingly or unwillingly) kwamba siku hizi IT imebadilisha mambo..so anything can always be devulged. Na dont forget..hawa the so called watunza siri..are just people like you and me..who some of them just endure hardships just like any other Tanzanian..while seeing mafisadi enjoying the cake at the expense of impoverished millions. Na wao wanapenda watoto wao waishi maisha mazuri, waishi pazuri nk..so it reaches a point where you can take it no more.

Just think all these stupid contracts with big companies--MNCs, unafikiri hawa jamaa akina Karamagi waliosaini hii mikataba walijua kwamba iko siku watanzania wataiona hii mikataba na kuuliza some hard questions? Hapana walijua information kwenye hiyo mikataba itagongwa ule muhuri maarufu wa "siri" na story itaishia hapo.

In all, hakuna cha kushangaa hapa. Tungeweza kushangaa kama tungekuwa tunategemea kwamba Salva could have offered something better. But kama unakaa TANZANIA au unafuatilia siasa za nchi yetu..utagundua kwamba is just another element in a hopeless bunch of the so called "utawala wa awamu ya nne" Unafikiri kwa nini Mkapa na sasa JK wanajitahidi kuficha mikataba? You find the answer!

We need Constitution petition. We need somebody to go to court, to find out a constitutional interpretation of what amounts to "siri za serikali". Whether a flaudulent and illigal information jeorpadizing/sabotaging public interests can amount to siri za serikali. Hili neno linahitaji tafsiri ya mahakama husika. Otherwise tutazidi kudanganyana hapa na akina Ghasia na wenzake. This should be the next battle.

Where is Mtikila when we need him?
 
kinachotakiwa sasa ni waandishi walioko on the ground kumuuliza Salva juu ya authenticity ya hii barua na contents zake. Ningependa nimsikie akikana. Like "I never had relations with that letter"...

Mwanakijiji,

You wish! I doubt if in TANZANIA tuna waandishi wa level hiyo.

Anyway naomba nisiwe perpetual pessimist. Maana wewe ni mtaalamu katika hii fani kuliko Masanja.

I will be pleasantly surprised to hear such hard hitting questions. Labda tumuweke kwenye kitimoto cha KLNews?
 
Back
Top Bottom