Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.

10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3

9: Jidenna,Nigeria billion 2.3

8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)

7: Thashenow,Zimbabwe Billion13.9

6: Sarkodie,Ghana Billion 16.2

5: Davido,Nigeria Billion 37

4: Wizkid Ayo,Nigeria Billiom 46.2

3: Don Jazzy,Nigeria Billion 69.5

2: Black Coffee,South Africa Billion 139,

Na namba moja imekamatwa na Msenegal anaefanyia shughuli zake za kimuziki Nchini Marekani, Akoni Billion 185.3,
NB:Hizo Billions ni Asset(Vitu wanavyomiliki,sio Pesa zao za Mfukoni)Zime convertiwa Kwa Currency ya Tanzania

#Astala Vista
 
Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.

10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3

9: Jidenna,Nigeria billion 2.3

8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)

7: Thashenow,Zimbabwe Billion13.9

6: Sarkodie,Ghana Billion 16.2

5: Davido,Nigeria Billion 37

4: Wizkid Ayo,Nigeria Billiom 46.2

3: Don Jazzy,Nigeria Billion 69.5

2: Black Coffee,South Africa Billion 139,

Na namba moja imekamatwa na Msenegal anaefanyia shughuli zake za kimuziki Nchini Marekani, Akoni Billion 185.3

Astala Vista
Hizo Billions ni za ela ya wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Chochote kinachofanyiwa tathmini kuhusu utajiri wa mtu huwekwa katika currency ya nchi fulani. Utajiri wa mtu huhusisha pesa zake alizonazo bank na mali zake sehemu mbali duniani. Sasa hii habari yako wametumia currency ipi?

Ni Arsset(Vitu anavyomiliki)sio pesa za mfukoni
 
Back
Top Bottom