Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Sawa lakini hujajibu swali langu ni Nigeria naira Tz shillings au usd [emoji383]Hizi ni Arsset mkuu(Vitu anavyo miliki)sio pesa za Mfukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini hujajibu swali langu ni Nigeria naira Tz shillings au usd [emoji383]Hizi ni Arsset mkuu(Vitu anavyo miliki)sio pesa za Mfukoni
Arsset ndo nn mkuu au ulitaka kuandika arsenal? Nafkl ulimanisha asset samahani lakini.Ni Arsset(Vitu anavyomiliki)sio pesa za mfukoni
Huwa anaimba kwenye nyimbo za wasanii wake kama Dorubucci, pia ni mmiliki wa music lebo kubwa Naija kama sio Africa nzima "The Mavins"..Hivi huyu Don Jazzy kaimba nyimbo gani? Manake mi nlimwona for the first time kwenye nyimbo Collabo ya P square
Sent using Jamii Forums mobile app
Domo ni mwanamziki wa nchi gani?Domo mbona simuoni kwenye list!!!
Don Jazzy Anamiliki Music Lebel kubwa kuliko zote Afrika"Mavin Records"Tiwa savage,Korede bello,Reekado Banks nk. wako chini yakeHivi huyu Don Jazzy kaimba nyimbo gani? Manake mi nlimwona for the first time kwenye nyimbo Collabo ya P square
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu Don Jazzy kaimba nyimbo gani? Manake mi nlimwona for the first time kwenye nyimbo Collabo ya P square
Uyo na 2 face ndo god farther wa mziki wa nigeria. Anamiliki record lebel ya mavin record ambayo ina wasanii kama koredo bello, Tvsavage na wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenyani sio?!,,sawa ni AssetArsset ndo nn mkuu au ulitaka kuandika arsenal? Nafkl ulimanisha asset samahani lakini.
hapa ndipo utakapo kosolewa sana, pamoja na kwamba wengi wanajua jarida hili la orodha hutumika kwa currency sawia, na inajulikana kabisa ni ipi...Sawa mkuu,ila izo ni arsset mkuu
Nadhani mleta uzi hajui umuhimu wa kutaja currency kwny masuala ya kifedha...forbes ya Tanzania labda
hapa ndipo utakapo kosolewa sana, pamoja na kwamba wengi wanajua jarida hili la orodha hutumika kwa currency sawia, na inajulikana kabisa ni ipi...
Usd billion 139 ni utajiri wa matajiri wakubwa duniani. Hata Beyonce na Jay z combined unaeza usipate hata 1.5 Billion usd..
Labda kama unazungumzia Tsh
Sent using Jamii Forums mobile app
zimbabwe
SARIF KEITA wa Mali mbona simuoni
Kwahiyo unaamini hizo hela currency iliyotumika ni USD?
Huko USA tu hamna mwanamuziki anayefikisha hata 1b
Zimbabwe
Ni "Salif Keita" sio "Sarif Keita" punguza kiherehere cha kuchangia kwenye uziSARIF KEITA wa Mali mbona simuoni?
1B usd sio mchezo..Jayz ndiyo anakaribia utajiri wa $1 billion labda mwaka huu anaweza kuingia kwenye kundi hilo la mabilionea (US$)
basi tuulize chanzo cha hii taarifa alipoitpata mtoa maada huyu, kwani nina uhakika siyo forbes, na aseme yeye ametumia mfumo wa uchumi wa nchi gani?Kwahiyo unaamini hizo hela currency iliyotumika ni USD?
Huko USA tu hamna mwanamuziki anayefikisha hata 1b