Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.

10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3

9: Jidenna,Nigeria billion 2.3

8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)

7: Thashenow,Zimbabwe Billion13.9

6: Sarkodie,Ghana Billion 16.2

5: Davido,Nigeria Billion 37

4: Wizkid Ayo,Nigeria Billiom 46.2

3: Don Jazzy,Nigeria Billion 69.5

2: Black Coffee,South Africa Billion 139,

Na namba moja imekamatwa na Msenegal anaefanyia shughuli zake za kimuziki Nchini Marekani, Akoni Billion 185.3,
NB:Hizo Billions ni Asset(Vitu wanavyomiliki,sio Pesa za Mfukoni

Astala Vista
Weka link tusome wenyewe, maana maelezo hayajajitosheleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap Jayz is very close to touch that threshold and there is a possibility to achieve this before 2020.

1B usd sio mchezo..
Pesa ndefu sana hio asa ukiongelea 139 si ni kubwa kuliko budget za nchi nyingi kwa mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada amekimbia lakini haya ni madafu ya moja ya nchi ya Africa ambayo mtoa mada amecopy na kuja kupaste huku [emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye kaikopi kama ilivyo, nyie mnamchanganya kumuuliza currency wakati kashawaambia ni assets siyo hela.

Kazi kwenu kuamua muweke currency gani. Itakuwa Naira, maana sioni kama ni USD wala TZS.
 
Jamani nimetukanwa sana humu ndani kutokana na Uzi wangu haujaelezea ni currency ya wapi iliyotumika,,Izo ni asset zime convertiwa na currency ya Tanzania,,sasa me nasemaje??!!Mlionidropishia matusi ya kushato humu ndichi nishawamanya,mnajifanya mna mboyoyo na mapompolipo ya ela ote sio?? SIMWACHII MUNGU NNA DEAL NA SURA ZENU ZOTE MBILI(Nguvu sina,ata kamkwala Dingilai??)
 
Back
Top Bottom