Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

 
Jayz ndiyo anakaribia utajiri wa $1 billion labda mwaka huu anaweza kuingia kwenye kundi hilo la mabilionea (US$)

Usd billion 139 ni utajiri wa matajiri wakubwa duniani. Hata Beyonce na Jay z combined unaeza usipate hata 1.5 Billion usd..
Labda kama unazungumzia Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni shillingi ???? Maana hata tajiri number moja duniani utajiri wake ni USD billion 137.
 
Kwahiyo unaamini hizo hela currency iliyotumika ni USD?

Huko USA tu hamna mwanamuziki anayefikisha hata 1b
basi tuulize chanzo cha hii taarifa alipoitpata mtoa maada huyu, kwani nina uhakika siyo forbes, na aseme yeye ametumia mfumo wa uchumi wa nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…