Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

Usd billion 139 ni utajiri wa matajiri wakubwa duniani. Hata Beyonce na Jay z combined unaeza usipate hata 1.5 Billion usd..
Labda kama unazungumzia Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tajiri Jeff utajiri wake ni USD billion 137.Na ndo tajiri number moja duniani.
 
Weka link tusome wenyewe, maana maelezo hayajajitosheleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap Jayz is very close to touch that threshold and there is a possibility to achieve this before 2020.

1B usd sio mchezo..
Pesa ndefu sana hio asa ukiongelea 139 si ni kubwa kuliko budget za nchi nyingi kwa mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada amekimbia lakini haya ni madafu ya moja ya nchi ya Africa ambayo mtoa mada amecopy na kuja kupaste huku [emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye kaikopi kama ilivyo, nyie mnamchanganya kumuuliza currency wakati kashawaambia ni assets siyo hela.

Kazi kwenu kuamua muweke currency gani. Itakuwa Naira, maana sioni kama ni USD wala TZS.
 
Jamani nimetukanwa sana humu ndani kutokana na Uzi wangu haujaelezea ni currency ya wapi iliyotumika,,Izo ni asset zime convertiwa na currency ya Tanzania,,sasa me nasemaje??!!Mlionidropishia matusi ya kushato humu ndichi nishawamanya,mnajifanya mna mboyoyo na mapompolipo ya ela ote sio?? SIMWACHII MUNGU NNA DEAL NA SURA ZENU ZOTE MBILI(Nguvu sina,ata kamkwala Dingilai??)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…