Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

Tsh ama USD hizo bilion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du yaani wamekuja hadi bilioni 3 DOMO hayupo? Si mwaka 2012 alisema account yake ina zaidi ya 1.5B? Au ilikuwa ya ZIMBABWE?
 
Mkuu hapo namba 8 mbona sikuelewi sababu nina album ya late bra Hugh Masekela Ina hit 2 Kali, Tanai na stimela sielewi unaposema haimbi

renegade
 
Ila wabongo na ujuaji mwingi tunaleta taabu sana humu,uzi umeletwa kwa kishwahili na mshwahili mnataka rate iandikwe kiingereza.mna matatizo gani???

Ukiambiwa 46tsh bln,ili upate picha halisi ya kinachoazungumziwa,sasa tunavyoandikiwa $89bln za bill gates,sijui hata huwa tunaelewaje katika uhalisia,badala mtu aandike tu jamaa ana utajiri wa shillingi tillion 200+ baasi.
 
kaka DOMOND ana miredio,mi tv,mikaranga,mipafyum,mizoom,mistudio,minyumba sauz,mistate hausi miwili,madale na mbezi, humu hayumo? LIST FEKI HII hahahahahahahahaa..
 
Je diamond na ali
 
Mkikosa mke mwema mnalaumu eti nimelogwa nashida gani mbona sipendwi sipati wa kutulia naye sasa kwa hali hii lazima ukose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…