Huyu JJ Mwaka ni tapeli mkubwa, Serikali kupitia Wizara ya Afya ilimfungia, sijui karudi rudi vipi, nashangaa sana, sababu anahadaa watu yeye ni Dr. wakati sio, pili hakuna kitu anatibu, anagawa energy drinks tu au dawa za unga au tablets za kuongeza nguvu tu, so ukiwa mgonjwa normally mwili unakuwa weak, so ukipewa energizers za aina yoyote for a short time mwili utapata nguvu temporarily utahisi umepona kumbe hakuna kitu, ile energy drinks au tablets ukiacha kutumia udhaifu wa mwili na ku feel weakness unarudi pale pale.. Is just like mtu anafanyiwa surgery anapigwa ganzi ili asihisi maumivu, ila ganzi ikiisha utasikia maumivu, ila dawa ya ganzi au maumivu au energizers sio tiba but temporary relief to certain health problems. Sijui naeleweka, energizers sio dawa, but only energy boosters, so ww ukihisi tu mwili una nguvu unaona una nafuu kumbe hakuna kitu na ukiacha kutumia hizo dawa za Dr Mwaka utaumwa kama awali, so anataka utumie kama mtu wa HIV yaani usiache, hakuna tiba, ugonjwa uko pale pale au ukazidi ukiacha dawa.
So Dr. Mwaka hatibu kitu