Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari za mida ya jioni Wakuu poleni na shughuli za kutwa nzima!
Hivi nikiwa naangalia TV naona kila channel baada ya muda Fuani kidogo na hii nimeishuhudia Channel Ten, Star TV, ITV, clouds TV.
Linakuja Tangazo la Dkt. JJ Mwaka wa Foreplan Clinic anatoa maelekezo yake jinsi ya kutibu magonjwa mbalimbali Mfano, Nguvu za kiume, uzazi wa wakina baba/Mama,n.k
Sasa basi naomba kujua yeye ndo mmiliki wa hivyo vituo vyake maana Namskia anasemaga vipo Mwanza, Dar es salaam, au ni Msemaji tu wa Hivyo vituo!