Foreplan Clinic: Nani mmiliki wake? Dr. JJ Mwaka ndo anahusika au yeye ni kama Msemaji?

Foreplan Clinic: Nani mmiliki wake? Dr. JJ Mwaka ndo anahusika au yeye ni kama Msemaji?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida ya jioni Wakuu poleni na shughuli za kutwa nzima!

Hivi nikiwa naangalia TV naona kila channel baada ya muda Fuani kidogo na hii nimeishuhudia Channel Ten, Star TV, ITV, clouds TV.

Linakuja Tangazo la Dkt. JJ Mwaka wa Foreplan Clinic anatoa maelekezo yake jinsi ya kutibu magonjwa mbalimbali Mfano, Nguvu za kiume, uzazi wa wakina baba/Mama,n.k

Sasa basi naomba kujua yeye ndo mmiliki wa hivyo vituo vyake maana Namskia anasemaga vipo Mwanza, Dar es salaam, au ni Msemaji tu wa Hivyo vituo!
 
Nasikia ndo mmiliki.....ila nataka kujua uwezo wa tiba zake hasa kwenye uzazi.
 
Kuna kipindi alitimuliwa na vitu vyake hivyo akapotea. Alikuwa ameshika kasi mno kwenye kila chombo cha habari, sa hivi naona karudi tena.
 
Nasikia ndo mmiliki.....ila nataka kujua uwezo wa tiba zake hasa kwenye uzazi.
Mkuu anatibu kwa njia ya Dawa za asili yani tangazo naliona kila muda mpaka nimekalili namba za Costumer care 😂
 
Kuna kipindi alitimuliwa na vitu vyake hivyo akapotea. Alikuwa ameshika kasi mno kwenye kila chombo cha habari, sa hivi naona karudi tena.
Yeah na sahivi ni kila stesheni sio star tv au tbc sijui analipa kiwango gani cha matangazo
 
Asilimia kubwa ya hizo tiba mbadala ni utapeli na wizi mtupu
 
Huyu JJ Mwaka ni tapeli mkubwa, Serikali kupitia Wizara ya Afya ilimfungia, sijui karudi rudi vipi, nashangaa sana, sababu anahadaa watu yeye ni Dr. wakati sio, pili hakuna kitu anatibu, anagawa energy drinks tu au dawa za unga au tablets za kuongeza nguvu tu, so ukiwa mgonjwa normally mwili unakuwa weak, so ukipewa energizers za aina yoyote for a short time mwili utapata nguvu temporarily utahisi nafuu au umepona kumbe hakuna kitu, ile energy drinks au tablets ukiacha kutumia udhaifu wa mwili na ku feel weakness unarudi pale pale.. Is just like mtu anafanyiwa surgery anapigwa ganzi ili asihisi maumivu, ila ganzi ikiisha utasikia maumivu, ila dawa ya ganzi au maumivu au energizers sio tiba but temporary relief to certain health problems. Sijui naeleweka, energizers sio dawa, but only energy boosters, so ww ukihisi tu mwili una nguvu unaona una nafuu kumbe hakuna kitu na ukiacha kutumia hizo dawa za Dr Mwaka utaumwa kama awali, so anataka utumie kama mtu wa HIV yaani usiache, hakuna tiba, ugonjwa uko pale pale au ukazidi ukiacha dawa na kupelekea madhara makubwa au hata pengine kifo, of which ungeenda hosp kama una tatizo lako sugu kwa Specialist ungepona kabisa. Ukiumwa usikimbilia dawa tu that is very dangerous, jaribu ufanye vipimo kwanza ujue kwa uhakika unaumwa nn ndio upate ushauri wa Dr. dawa gani utumie kutokana na ugonjwa ulio nao.

So Dr. Mwaka hatibu kitu
 
Ni mwizi kama wezi wengine wa samatarian clinic eti kuna mashine inapima mwili mzima na kuona ugongwa ulipo kisha unalipa 15000 hapo hujamuona daktari bado dawa,uliza bei ya dawa sasa bei ya chini ni 100,000
Du🙌 hapo unakimbia
 
Huyu JJ Mwaka ni tapeli mkubwa, Serikali kupitia Wizara ya Afya ilimfungia, sijui karudi rudi vipi, nashangaa sana, sababu anahadaa watu yeye ni Dr. wakati sio, pili hakuna kitu anatibu, anagawa energy drinks tu au dawa za unga au tablets za kuongeza nguvu tu, so ukiwa mgonjwa normally mwili unakuwa weak, so ukipewa energizers za aina yoyote for a short time mwili utapata nguvu temporarily utahisi umepona kumbe hakuna kitu, ile energy drinks au tablets ukiacha kutumia udhaifu wa mwili na ku feel weakness unarudi pale pale.. Is just like mtu anafanyiwa surgery anapigwa ganzi ili asihisi maumivu, ila ganzi ikiisha utasikia maumivu, ila dawa ya ganzi au maumivu au energizers sio tiba but temporary relief to certain health problems. Sijui naeleweka, energizers sio dawa, but only energy boosters, so ww ukihisi tu mwili una nguvu unaona una nafuu kumbe hakuna kitu na ukiacha kutumia hizo dawa za Dr Mwaka utaumwa kama awali, so anataka utumie kama mtu wa HIV yaani usiache, hakuna tiba, ugonjwa uko pale pale au ukazidi ukiacha dawa.

So Dr. Mwaka hatibu kitu
Kama nimekuelewa vilee naona muda mwingine kama jamaa mjanja mjanja sana
 
Anawahadaa sana wakinamama, pia anapiga promo ya kufa mtu ndio watu wanafurika.
 
Back
Top Bottom