Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hapa ni kupiga msuli kama unakalibia kupiga final mkuu kila kitu kina stick kichwani.
 
wakuu!! Naomba kujulishwa kiwango cha kuanzia pamoja na vigezo ili mtu kusajiliwa kwenye FOREX
 
Mi pia nataka kufanya please let me know once you start this

Remember me Bro. Ontario
NB Naweza pata wapi Kitabu cha Bushiri
 
Huu uzi umenifanya niwe na muamko wa kusoma na kuelewa kwakina asante mkuu ontario mungu akubariki saan naomba katika watu 150 wa mwanzo niwepo
 
Mimi nina wazo kwa mkuu ONTARIO..
Hao watu 150 wapatikale angalau wenye ideal na FOREX angalau kwa kusoma vitabu. Siku moja kabla ya training kuanza ifanyike quiz kupima uwelewa wa watu about FOREX. Wale ambao watakuwa wanauelewa wapewe hiyo training..
Wale ambao watakuwa bado wapewe muda zaidi angalau wa kupitia vitabu na kuvielewa.
 

Ontario, I wish nianze hata leo.. but kiasi gani cha pesa hasa unaweza anzia kwa watu kama sisi hatunazo??? na processes za kufungua hyo account ni zipi?
 
Mkuu ONTARIO ahsante kwa kutuletea hii neema..!!

Daaah nilijua FOREX ni kitu chepesi sana, ila kuanza kuifuatilia shughuli yake si ya mchezo mchezo..

Wenyewe wanakuambia “Forex trading involves significant risk of loss and is not suitable for all investors.”

Shule kwanza ni muhimu, ili ukiingia mzima mzima ujue unaenda kufanya nini. Hapa nakomaa na vitabu kwanza mpaka niwe nondo.

Maana kuna mambo mengi ya kujifunza kwanza kama:

>>Currency pairs(base currency na current currency), pips, lots na leverage.

>>Market analysis and research… Fundamental analysis kama vile political, social and economic forces na uelekeo kama thamani ya fedha itapanda au kushuka.
 

Ontario tafadhali Kama unaweza kutupia hivyo vitabu viwili humu ndani itakuwa vyema, iwapo tu unavyo kimtandao Na Nafasi yako inaruhusu. Asante.[/QUOTE]
Vitabu vipo post no. 441 na 663
 
Katika update 1 yake hajaweka kiingilio, it is still free isipokuwa idadi ndo imepungua ili darasa liwe interactive...

Kwa batch itakayofata ndo kasema charges may apply

Binafsi bado swala la criteria linanisumbua akili (ebu nipunguze mapepe nisubiri more updates)

Mwaka jana nilipata nafasi ya kwenda kwa prophet Shepherd Bushiri ambaye ONTARIO alimtaja mwanzoni nadhani aliona jinsi ambavyo mafuriko ya watu wanaenda kanisani jumamosi wanalala nje ya uzio ili kuwahi nafasi ya viti siku ya jumapili na wengine wanaenda usiku wa manane wa kuamkia jumapili

Sasa watu tusije tukapiga kambi nje ya venue one day before session hahahah
 
Duh hapo mambo yakienda viceversa si wanatafuna mpaka hizo $1000?
 
 
Kaka ONTARIO tafadhali naomba niwe miongoni mwa watu wa batch ya kwanza hata kwa fee. Tafadhali tafadhali.
 
Reactions: MC7
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…