Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimeipenda sana thread yako. Naomba kuwa mmoja wa hao watu 300 kushiriki. Namba yangu ni 0767365488. Nijibu please
 
Mhhh
I smell fishy here
 

Ontario tafadhali Kama unaweza kutupia hivyo vitabu viwili humu ndani itakuwa vyema, iwapo tu unavyo kimtandao Na Nafasi yako inaruhusu. Asante.[/QUOTE]
Mkuu hivi vitabu vya Forex for dummies na Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?
 
Mkuu hivyo vitabu vya Forex for dummies and Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?
 
Mkuu hivyo vitabu vya Forex for dummies and Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?

Vitabu vipo humu vyote watu wemetuma link au Google utavipata. Download soft copy halafu kaprint. Hiyo ndio njia rahisi
 
Mkuu hivyo vitabu vya Forex for dummies and Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?
Again mkuu vimo humu kwenye huu uzi,sikumbuki page namba ngapi,ila vyote vipo.
 
Mi naomba niwe katika batch ya pili maana hao 300 wa kwanza wameshajaa
 
Nia na uwezo tunao ila tunakosa inspirations like this, safi sana haya ndio mambo tunayoyataka kwenye mitandao sio kuzungumzia watu wengine wakati sisi wenyewe tunaendelea kuwa masikini
 
Well said, tunasikilizia, Naked fores Part three imeniandaa kisaikolojia sana. lakini bits za curency trading brian nimezielewa pia vyema. All is well tunasubiri huo mchujo wa 150, ONTARIO
 
hukuelewa soma, vizuri $300 ni kufungua trading account yako sio kiingilio
 
Reactions: MC7
Rafiki yangu Ontario pole na majukumu, naamini Mungu anakutia nguvu katika yote..Changamoto zipo nyingi sana hasa katika kuanzisha jambo hili ambalo lina ugeni kwa watanzania wengi naamini polepole watu tutapata uelewa mzuri juu ya kazi hii.....
Pia naomba nitoe pendekezo langu, kama ungeweza kuendesha training session hiyo live kupitia social networks mbalimbali kama fb, YouTube...ili watu wengi waweze kufikia ili at least lile lengo letu la kwanza la atlest watu 300 liweze kuwa hai...

Ahsante naomba kuwasilisha mkuu.
 
Well said [emoji106]
 
Kwny pip pananipa shida bdo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…