Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhFOREX IS HALAL IF
Forex is Halal if you are not gambling and have your end goals clearly distinguished.
1- As a Forex trader you need to have a reason to take that action (sell or buy)
2- Not gamble on the trend direction but analyze the market
3- Not trade for the sake of excitement but trade for the potential income and to make a living
4- Not to approach it as a game but as a job
5- Have a mindset to win or to protect your equity rather than telling yourself “if I win I win, if not next time”
6- You learn from your losses and move on with the decision taken by yourself rather than blaming the market or blaming the situation
7- You have a SWAP free account or trade avoiding SWAP
FOREX IS HALAL OR HARAM?
There is a thin line between trading and gambling, we all must admit it. But the good news is that you can avoid being a gambler.
1- Only take trades with a high probability of making profit based on your analysis
2- Exiting a trade is as just important as entering one, have a trade plan
3- Define your stop levels
4- Choose the right entry size, if you are risking all to double it its is called gambling
5- Know what you are trading
6- Understand the time frames, do not be addicted it is a sign of gambling
7- Back test your strategy and aim to develop it
8- Constantly review your historical performance and try to understand why you made loss and profit
9- Be disciplined, trading is a job not a game
10- Focus
11- Trade with an Islamic account providing Forex Broker
Note: The above is a part of my 1 week research with 3 Islamic scholars from Azerbaijan, 1 from Irag, 1 from UAE, 1 from Indonesia and 1 from Egypt. Since this subject is debatable please feel free to comment your thoughts below in the comments section
Hii ni kwa wale ndugu zangu katika iman yaan waislam.
Mkuu ONTARIO nimekutana na kitu Swap-free Forex islamic account.
Kuna tofauti gani kati ya ma broker wengine na hawa wa Swap free Forex islamic acount
soma post zote acha uvivu sasa iv co 300 n 150 nyie ndo ikitokea shida kdogo mnaanza kutupa lawamaGreat. Add me among the 1st 300.Moro.
Wakati tunasubiri update ya mwisho, naomba tuendelee kusoma kitabu cha Forex for dummies. Baada ya kumaliza hicho kitabu tuanze kitabu kingine kiitwacho Naked Forex - High-Probability Techniques for Trading Without Indicators >>Kimeandikwa na Alex Nekritin. Please soma kuelewa, si kusoma kumaliza pages ama kumfurahisha Ontario. Your knowledge is the best weapon to beat the market.
Ontario.
Mkuu hivyo vitabu vya Forex for dummies and Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?
Again mkuu vimo humu kwenye huu uzi,sikumbuki page namba ngapi,ila vyote vipo.Mkuu hivyo vitabu vya Forex for dummies and Naked Forex naweza vipata duka gani kwa wewe mzoefu?
Wewe kama una mpango wa kuandaa hii events for free just say here loud nazani hawezi kukukatalia kama pia kampuni yako imeguswa na hili jamboOntario Mkuu niko na kampun ya kuandaa Events,Naomba Nitumie fursa hii kuomba kazi ya kuandaa hyo Event,Kama hutojali ni PM mail nikutumie Company Profile
Hapana. Nimeupenda sana huu uzi. Kwani unatujengea spirit ya ujasiriamali. Wazungu wametajirika cku nyingi kupitia Forex trade.Mkuu sio uchochezi kweli huu?
Well said, tunasikilizia, Naked fores Part three imeniandaa kisaikolojia sana. lakini bits za curency trading brian nimezielewa pia vyema. All is well tunasubiri huo mchujo wa 150, ONTARIOUpdate ya kwanza
Kwanza kabisa niseme mimi na team yangu tumekuwa tukipambana sana kuhakikisha operation inaanza ASAP, lakini kiukweli mambo ni mengi sana, tofauti na nilivyotegemea.
Mpaka sasa naeza sema tupo almost half way katika kupata documents za kiserikali, vikwazo ni vingi sana sana, kila mtu anakwambia hiki, lkn tangu J5 tumekutana na watu wa ndani zaidi wa CMSA, hivyo nategemea week ijayo itakuwa smooth-tunaweza kukamilisha japo 90% ama kila kitu.
Kuhusu office yani hapa kichwa cha motooo si mchezo. Bajeti ya awali na hali halisi ni tofauti kabisa, kila unachogusa bei utakayotajiwa unatamani uwatukane wauzaji. But mwisho wa siku kwasababu maji tumeshayavulia nguo lazima tuyaoge.Reception kwajili ya maulizo nk![]()
1 ya office za mentors![]()
Pia niseme nimesikitishwa sana na baadhi ya watu either kwa kutokua na uelewa wa forex ama kwa maksudi kuanzisha thread za kunichafua mimi pa1 na hii programme. Kwanini mtu asije kuniattack hapa, ananiattack kwenye uzi ambayo siwezi kuuona ama naweza kuuona baada ya siku kadhaa. Kama mtu ana strong argument aje kwa huu uzi, sio kusambaza chuki kwenye nyuzi ambazo siwezi kutoa clarification. Nimeona wanavyonizungumzia in negativities, sijataka kuwajibu hata neno - kwasababu binafsi naamini muda ndio hakimu makini zaidi. Nataka results za wanafunzi wangu ndio ziongee si maneno yangu, tayari nimeongea sana.
Zaidi ya yote, niwaombe tuwe wavumilivu... vitu vizuri havihitaji haraka. Nahisi Mungu akijalia tunaweza kuanza kabla ya tarehe 15 June - mambo si marahisi kama nilivyotegemea, but nusu mwezi utatosha. Na ninapromise, this is gonna be a financial breakthrough kwa wale waliodhamiria, naongea kwa kile ninachokifahamu, kamwe katika maisha yako hautajilaumu kuifahamu forex.
Pia, baada ya kufanya tathmini kwa kina pamoja na team yangu nimegundua kua watu 300 ni wengi mno. Darasa litakuwa na watu 50 tu, ili interaction kati ya mwanafunzi na mwalimu iwe ya juu zaidi, pamoja na kuongeza concentration. Kutakuwa na maximum 3 sessions kwa siku. Hivyo nitaanza na watu 150 maximum. Kwa wale ambao hamtabahatika kua katika hawa 150 msiwe na presha, mtapata hii fursa mbeleni bila upendeleo, though charges may apply.
Kwasasa mtu anaweza asione umuhimu wa kulipia hii training, lkn nikitoa batch ya kwanza ya wanafunzi wangu, najua kila mtu atapanda dau kwajili ya kupata mafunzo. Moja ya aspect ya msingi kabisa ktk training tutafanya "Live trading" kwa pamoja. Yani tutatrade live kila mtu aone na aelewe nini ni nini, kwa wale ambao watakua na account wataweza kupiga mpunga jicho kwa jicho na mentors wetu. Yani mf kama una $300, pale pale live tutafungua trades tugonge $100 ya chap chap.
Wakati tunasubiri update ya mwisho, naomba tuendelee kusoma kitabu cha Forex for dummies. Baada ya kumaliza hicho kitabu tuanze kitabu kingine kiitwacho Naked Forex - High-Probability Techniques for Trading Without Indicators >>Kimeandikwa na Alex Nekritin. Please soma kuelewa, si kusoma kumaliza pages ama kumfurahisha Ontario. Your knowledge is the best weapon to beat the market.
Ontario.
hukuelewa soma, vizuri $300 ni kufungua trading account yako sio kiingiliomkuu ontario kama umeamua kuweka kiingilio inamaana hile offer imeshapotea anyway kwa hapa tulipofikia hatuna namna watu tumeshavua nguo lazima maji tuyaoge tu.....sasa ombi langu kwako baba viingilio visiwe ghali tukashidwa kulipa huko maisha yetu watanzania unayajua ni shida shida tu. tupo pamoja from zenji.
Hii demo au live mkuu?ForexTrader Pro
on point[/QUOTE]Vitabu vipo post no. 441 na 663
Rafiki yangu Ontario pole na majukumu, naamini Mungu anakutia nguvu katika yote..Changamoto zipo nyingi sana hasa katika kuanzisha jambo hili ambalo lina ugeni kwa watanzania wengi naamini polepole watu tutapata uelewa mzuri juu ya kazi hii.....Update ya kwanza
Kwanza kabisa niseme mimi na team yangu tumekuwa tukipambana sana kuhakikisha operation inaanza ASAP, lakini kiukweli mambo ni mengi sana, tofauti na nilivyotegemea.
Mpaka sasa naeza sema tupo almost half way katika kupata documents za kiserikali, vikwazo ni vingi sana sana, kila mtu anakwambia hiki, lkn tangu J5 tumekutana na watu wa ndani zaidi wa CMSA, hivyo nategemea week ijayo itakuwa smooth-tunaweza kukamilisha japo 90% ama kila kitu.
Kuhusu office yani hapa kichwa cha motooo si mchezo. Bajeti ya awali na hali halisi ni tofauti kabisa, kila unachogusa bei utakayotajiwa unatamani uwatukane wauzaji. But mwisho wa siku kwasababu maji tumeshayavulia nguo lazima tuyaoge.Reception kwajili ya maulizo nk![]()
1 ya office za mentors![]()
Pia niseme nimesikitishwa sana na baadhi ya watu either kwa kutokua na uelewa wa forex ama kwa maksudi kuanzisha thread za kunichafua mimi pa1 na hii programme. Kwanini mtu asije kuniattack hapa, ananiattack kwenye uzi ambayo siwezi kuuona ama naweza kuuona baada ya siku kadhaa. Kama mtu ana strong argument aje kwa huu uzi, sio kusambaza chuki kwenye nyuzi ambazo siwezi kutoa clarification. Nimeona wanavyonizungumzia in negativities, sijataka kuwajibu hata neno - kwasababu binafsi naamini muda ndio hakimu makini zaidi. Nataka results za wanafunzi wangu ndio ziongee si maneno yangu, tayari nimeongea sana.
Zaidi ya yote, niwaombe tuwe wavumilivu... vitu vizuri havihitaji haraka. Nahisi Mungu akijalia tunaweza kuanza kabla ya tarehe 15 June - mambo si marahisi kama nilivyotegemea, but nusu mwezi utatosha. Na ninapromise, this is gonna be a financial breakthrough kwa wale waliodhamiria, naongea kwa kile ninachokifahamu, kamwe katika maisha yako hautajilaumu kuifahamu forex.
Pia, baada ya kufanya tathmini kwa kina pamoja na team yangu nimegundua kua watu 300 ni wengi mno. Darasa litakuwa na watu 50 tu, ili interaction kati ya mwanafunzi na mwalimu iwe ya juu zaidi, pamoja na kuongeza concentration. Kutakuwa na maximum 3 sessions kwa siku. Hivyo nitaanza na watu 150 maximum. Kwa wale ambao hamtabahatika kua katika hawa 150 msiwe na presha, mtapata hii fursa mbeleni bila upendeleo, though charges may apply.
Kwasasa mtu anaweza asione umuhimu wa kulipia hii training, lkn nikitoa batch ya kwanza ya wanafunzi wangu, najua kila mtu atapanda dau kwajili ya kupata mafunzo. Moja ya aspect ya msingi kabisa ktk training tutafanya "Live trading" kwa pamoja. Yani tutatrade live kila mtu aone na aelewe nini ni nini, kwa wale ambao watakua na account wataweza kupiga mpunga jicho kwa jicho na mentors wetu. Yani mf kama una $300, pale pale live tutafungua trades tugonge $100 ya chap chap.
Wakati tunasubiri update ya mwisho, naomba tuendelee kusoma kitabu cha Forex for dummies. Baada ya kumaliza hicho kitabu tuanze kitabu kingine kiitwacho Naked Forex - High-Probability Techniques for Trading Without Indicators >>Kimeandikwa na Alex Nekritin. Please soma kuelewa, si kusoma kumaliza pages ama kumfurahisha Ontario. Your knowledge is the best weapon to beat the market.
Ontario.
Well said [emoji106]Rafiki yangu Ontario pole na majukumu, naamini Mungu anakutia nguvu katika yote..Changamoto zipo nyingi sana hasa katika kuanzisha jambo hili ambalo lina ugeni kwa watanzania wengi naamini polepole watu tutapata uelewa mzuri juu ya kazi hii.....
Pia naomba nitoe pendekezo langu, kama ungeweza kuendesha training session hiyo live kupitia social networks mbalimbali kama fb, YouTube...ili watu wengi waweze kufikia ili at least lile lengo letu la kwanza la atlest watu 300 liweze kuwa hai...
Ahsante naomba kuwasilisha mkuu.
Yaani kufuatilia uzi tangu ulipoanzia umeshindwa ndo utaweza forex kweli,jiongeze mkuu,acha uvivu.Kitu kimekua na mwamko mkubwa but hakuna feedback.. toka thread imewekwa nimeomba kua mtu kati ya hao waliopo but There is no Feedback hata kujua Wap ilipofikia ofisi.
Kwny pip pananipa shida bdo.mkuu achana na notes zotakuchanganya...
hii ni ngoma ya live, mechi euro/usd unachoangalia ball possession ikipungua pip 2 hapo unanunua usd kama mwelekeo unaonekana utaendelea namna hiyo, ball possession ikiwa kwa euro pip zitaongezeka unacheki na refa mshumaa kama katoa kadi nyeupe na asubuhi uliona nyota unanunua euro...
ngoma nyepesi. huku hawauzi mechi kivile.