Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
JF hii ni fursa muhimu na kwa anayetaka kujifunza, afanye hivyo. Kuna watu vipaji vyao ni kukosoa tu. Na wanafanya hivyo, sio kwa nia njema bali wamekuwa wamezaliwa na wivu, husda na kamwe hataki kuona watu walio Karibu nao wanafanikiwa.
Achana na watu wenye mawazo finyu na wavivu wa kujifunza juu ya fursa mpya. Hakuna kitu kibaya kama Kukariri kanuni za maisha.
Ukizoea umaskini basi unageuza kama ndio jadi yako. Mawazo ya hovyo kabisa. Acha wa tz wajifunze juu ya fursa mpya. Kama unaona haiko upande wako, potea kwenye Uzi.
 
Mbona hujajibu message bosi nimekutumia. Weka na namba ya simu.. coz ushaamua kusaidia watanzania wnye uhitaji so malizia kutupatia namba ya simu ili tukucheki vzr
Hivi watu wewe huwa mna akili gani,unaquote uzi wote namna hiyo ndo nini sasa? Kwa nini usiandike tu maandishi yako na ukamumention tu si atapata notification.......unatia kichefu chefu sana!!
 


https://matrixtrainings.files.wordpress.com/2014/09/you-can-be-a-stock-market-genius-1.pdf

kitabu kingine chakusoma
 
Mkuu Ontario..

Mpaka nimekupm kimyaa asee

Niko serious na hela eti mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ONTARIO MWENYEWE SIJUI KAPIGWA BANN...HAJAWAHI ZUNGUMZA TOKA THREAD IWEKWE..
WATU MMBEBAKI KUITA TU ONTARIO ...ONTARIO...NA KUJIULIZA MASWALI WENYEWE NA KUJIBU.
 
ONTARIO MWENYEWE SIJUI KAPIGWA BANN...HAJAWAHI ZUNGUMZA TOKA THREAD IWEKWE..
WATU MMBEBAKI KUITA TU ONTARIO ...ONTARIO...NA KUJIULIZA MASWALI WENYEWE NA KUJIBU.
- Huu ni uzushi, hapo kwenye RED
- Pitia vyema hii thread.
- Amekwisha toa update tayari ya kukamilika kwa maandalizi kwa asilimia 90, kinachosubiriwa ni utaratibu utakaotumika kuwapata wateule wa Batch ya kwanza



 
Please Mr Ontario, naimba niwe kwenye watu utakai anza nao kwenye darasa lako. Plz Bro
 
Inaonyesha Mandela ni mvivu wa kusoma ,soma comments zote,ONTARIO ameshatoa maelezo yakutosha kasema hajibu PM,hatoi namba yasimu,badaka ya kuanza na watu 300 idadi imepungua itakuwa 150,watakuja kufundisha wataalam toka South Africa,upo uwezekano wa kuanza mafunzo tarehe 15-06-2017 ,sehemu ya kufanyia imetajwa ,zaidi ya hapo Wewe Mandela na wengine wenye mawazo ya ukakasi mnataka asemeje ? Ungekuwa Wewe ungeweza kujibu comments zakupotezeana muda ? Jiongeze !!!
 
Mshkaji anazingua sana. Maisha yenyewe ni risk sasa anataka risk gani tena?
Hahahahahha[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ati maisha yenyewe n risk....
Kazi yngu kupitia all comments on behalf of Ontario...
 
Nakushukuru siku zote ukiwa hujui kitu ukishajua ni vizuri kushare nakumbuka kuandika hapa kuhusu hiki kitu ila hakupata mvuto nina miaka kumi ya forex trading nimeona ups and down niko tayari kuwasaidia watu walioko serious kujifunza. Na nina software ambayo ninaifanyia testing nayo nitakuwa willing kutoa bure lakini inafanya kazi kwa MT4 platform ambayo inatrade about 90% of all forex. Hilo swala la stop loss haziwezi kusisitizwa na kila mtu lazima aikubali mwenyewe maana nimeona mtu $12,000 zimeondoka baada ya siku moja ya kuover trade. Hongera kwenye kila jambo unauhuru kwa kuchagua hii sio jambo kwa kila mtu lazima uone nafsi yako inaendana nayo. Mimi binafsi napenda yaani hawa wandugu ambao wamemaliza chuo nipate sehemu kubwa yakuwafundishia na kutrade live hata masaa mawili kwa siku itakuwa bomba kwahiyo Ontario nitafute tuwasaidie vijana kutoa ajira.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
nimejaribu kusoma na kupitia sehemu mbali mbali ili nipate uhakika na elimu zaidi juu ya hii ishu...nimekutana na hii account ya instagram ambayo nahisi ni ya huyo jamaa @Sandile G Shezi ambaye ametajwa mwanzoni mwa uzi huu. Kama nilioyaona ni kweli basi Tz kweli tupo nyuma sana!! wenzetu wanahangaika sana kugawa elimu japo wameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa (narudia, km nilioyaona ni kweli) na bado wanapitia mengi kwenye kugawa elimu hii... namuomba muanzisha mada asife moyo atusaidie kutupa elimu!! siwakosoi sn walio na mawazo neg na hii ishu ila ni vizuri tunapokosoa...tutoe mawazo kwa nia ya kujenga na sio kukatisha tamaa au labda pengine ndo wale wazee wa mabank wasiopenda maendeleo ya hii trade...[HASHTAG]#USHAURI[/HASHTAG] KWANGU NA KWENU tutumie mda mwingi kujifunza hiki kitu km kweli unahitaji ht km ni mwaka! tunatumia zaidi ya miaka 15 kutafuta elimu ya darasan na still wengine hawaitumii...so tusione mwka mwngi kujifunza au zaidi. tumpe ushirikiano kijana mwenzetu azidi kuwa na moyo wa kuendelea alichokianza. search instagram @grobal_forex_institute kujionea zaidi
 
Hao 150 wanapatikanaje .
Maswala ya Kuanzisha Magroup ya Whatsapp na Kujirecruit wenyewe huko Chemba Si Ustaarabu.

Muhusika atoe utaratibu wa namna gani hao 150 wanapatikana.


Mm ningemshauri

Batch ya kwanza aitoe.kwa watu wa kwanza walichangia uzi huu...vivyo hivyo na kwa batch zinazofuta ..
Njia hiyi itakua haina upendeleo , though hata mm sijui nitaangukia kwa Batch ipi.
 
Probaby batch ya kwanza itatoka Ile group la WhatsApp
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…