Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Habari wana jamvi!

Sitaki kutia maneno mengi maana kila kitu kinaonekana kwa picha!! KWA KIFUPI NI DEMO ACCOUNT NOT REAL!

Nilichojifunza lazima uwe msomaji mzuri wa graphs na uwe mtulivu na ujue kuhimili mihemko yako!!

Kingine ni kwamba....EUR/USA nimeikubali sanaaaa!!

Kitu nnajiuliza kama ndani ya siku moja nimeingiza huo mshiko je ndani ya mwaka au mwezi ntakua wapi???

Initial deposity ilikua 1m dola. Assume ningekua na dola 1000 cash kwenye real account, maana hapo faida ingekua dola 111.5 ndani ya siku moja!!

Haya 111.5 tukiipeleka kwenye Tsh inakua kama laki mbili unusu hivi!! Hii ni ndani ya SIKU MOJA TU!! Sijatoka jasho ila presha ya kupanda na kushuka ilinihusu hahahaaa!!

Kwa mwezi almost itachezea wastani wa 7mil !!! Duuh nimekumbuka magu alisema analipwa 9mil japo mpaka leo hajatoa salary slip yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]

Sasa nna maswala machache hapa!!

Je ni benki gani wanaweza nifaaa kwenye hii forex??? BENKI GANI HAWANA USUMBUFU??

This thing is real wakuu!!

KARIBUNI TUENDELEE KUJIFUNZA!!

36106ed262f3c00408591bb5c984dd4e.jpg

50c497ed53ea23a7481cc608518182cb.jpg
0c1a3f5100389323a7c64f3feb7546b5.jpg
 
Mkuu naomba kuja PM kwako plz[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
[emoji122][emoji122] kama unataka kujua jinsi forex ilivo fungua demo ya minimum deposit ya 200$ then nipe mrejesho
 
Mkuu uko sahihi! Lakin kwa huo mkwanja ningekua na akaunt yenye dola 100 maana kwa jana ningepata 11 USD! JE NI NDOGO??

Kwa wastan wa dola 11 kwa siku maana ni 25000 tsh...kwa mwezi ni almost 750,000/=! JE KWA MTU WA KAWAIDA NI NDOGO???

Hapo ukiwa na hiyo usd 200 ina maana una 1mil +++ per month!! Bado si mbaya mkuu!

Te rule of thumb is...ukiwa na lot size kubwa unakuwa na possibility ya ku earn more!! Lakin hata kama una hiyo dola 200 uki apply leverage bado u gonna make it!!

Karibu!
 
Lakin broo mbona unaongeleaa one side of the coin.... kuna other side of the coin loss... so tusiisahau sana broo... me mara nying naongelea sana hii side coz expectations zangu ziwe ndogo... by the way mwanzo mzuri....
 
Uko sahihi na ndio maana kwenye hizo hesabu nimeweka makadirio ya chini!! Yes kuna losses nyingi tu na huo ndio ukweli!
 
ONTARIO Bavaria ni benki gani hawazingui kwenye kuweka au kutoa ela kwenye hii forex!

Nataka nianze maandalizi mapema ili nisisumbuke nikianza kwenye real account!
Binafsi natumia FNB toka 2015. Wapo vizuri. Hela yako unaipata kwa wakati..
Nataka niwajaribu na Standard Chartered nione huduma zao zipoje..
Diversifying my portifolio..
 
Mkuu uko sahihi! Lakin kwa huo mkwanja ningekua na akaunt yenye dola 100 maana kwa jana ningepata 11 USD! JE NI NDOGO??

Kwa wastan wa dola 11 kwa siku maana ni 25000 tsh...kwa mwezi ni almost 750,000/=! JE KWA MTU WA KAWAIDA NI NDOGO???

Hapo ukiwa na hiyo usd 200 ina maana una 1mil +++ per month!! Bado si mbaya mkuu!

Te rule of thumb is...ukiwa na lot size kubwa unakuwa na possibility ya ku earn more!! Lakin hata kama una hiyo dola 200 uki apply leverage bado u gonna make it!!

Karibu!
Weka 5% ya existing portifolio kama kuanzia kama profit.
Don't allow to loose 2% of your portifolio in your single trade.
 
Jaman nimesoma kitabu ingawaje sijamaliza Ila nmejaribu kupractice dooh nimekula loss mpaka basi,mwenye uelewe kidogo anisaidie au Kama kuna group la WhatsApp Naomba mni add
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom