Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Habari wana jamvi!
Sitaki kutia maneno mengi maana kila kitu kinaonekana kwa picha!! KWA KIFUPI NI DEMO ACCOUNT NOT REAL!
Nilichojifunza lazima uwe msomaji mzuri wa graphs na uwe mtulivu na ujue kuhimili mihemko yako!!
Kingine ni kwamba....EUR/USA nimeikubali sanaaaa!!
Kitu nnajiuliza kama ndani ya siku moja nimeingiza huo mshiko je ndani ya mwaka au mwezi ntakua wapi???
Initial deposity ilikua 1m dola. Assume ningekua na dola 1000 cash kwenye real account, maana hapo faida ingekua dola 111.5 ndani ya siku moja!!
Haya 111.5 tukiipeleka kwenye Tsh inakua kama laki mbili unusu hivi!! Hii ni ndani ya SIKU MOJA TU!! Sijatoka jasho ila presha ya kupanda na kushuka ilinihusu hahahaaa!!
Kwa mwezi almost itachezea wastani wa 7mil !!! Duuh nimekumbuka magu alisema analipwa 9mil japo mpaka leo hajatoa salary slip yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Sasa nna maswala machache hapa!!
Je ni benki gani wanaweza nifaaa kwenye hii forex??? BENKI GANI HAWANA USUMBUFU??
This thing is real wakuu!!
KARIBUNI TUENDELEE KUJIFUNZA!!