Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Nashukuru. Broker gani unamtumia??MT5 sidhani kama imekua stable. Tumilia MT4 ndo ipo vizuri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru. Broker gani unamtumia??MT5 sidhani kama imekua stable. Tumilia MT4 ndo ipo vizuri..
Mbona iko stable... iko poa kuliko MT4MT5 sidhani kama imekua stable. Tumilia MT4 ndo ipo vizuri..
MT4 brokers wako wengi! Unataka kutumia demo? Mbona mt4 nao wana demo acc?Sorry wakuu kwa MT4 broker gani anafaa kutumika?
Demo acc mkuuMT4 brokers wako wengi! Unataka kutumia demo? Mbona mt4 nao wana demo acc?
Wanayo demo acc. Tena iko mwanzo kabisa! Ila kama unataka broker wako wengi...unaweza mtumia huyu anaitwa xm broker!Demo acc mkuu
Poa mkuu shukrani sanaWanayo demo acc. Tena iko mwanzo kabisa! Ila kama unataka broker wako wengi...unaweza mtumia huyu anaitwa xm broker!
Tatizo lako una haraka ya kupata hela matokeo yake unaharakisha kupoteza hela, jiulize kwann umepata loss, tatizo watu wanataka kujaribu kama kweli hawataki kuujaribu ukweli. Rudia kusoma Mkuu usife moyo.Jaman nimesoma kitabu ingawaje sijamaliza Ila nmejaribu kupractice dooh nimekula loss mpaka basi,mwenye uelewe kidogo anisaidie au Kama kuna group la WhatsApp Naomba mni add
Hii pair ya GBP/JPY ni noma sana, Almanusura niichome trial account yangu.
CC: Ontario
Hujui uingereza wanaanza uchaguzi karibuni??Hii pair ya GBP/JPY ni noma sana, Almanusura niichome trial account yangu.
CC: Ontario
Hujui uingereza wanaanza uchaguzi karibuni??
[emoji848]
Vipi mbona unakodoa macho.?
Nimebaki njia panda