Mkuu labda niseme wewe ndio una pupa, maana umeshindwa kutambua kua asilimia 99 ya wachangiaji bado ni infants yani wanajifunza. Ukiwa mwalimu, kisha mwanafunzi wako analeta homework 1+1=11, hauwezi ukasema kua hawezi kufanikiwa kwa kosa ambalo ni very obvious kwa mwanafunzi.
Mimi kwasababu nimepita wanapopita 99% ya wachangiaji, naeza sema most of these guys will turn into profitable traders. Naamini wakimaliza vitabu, then wakaja training, then tukaanza kutrade live sidhani kama msemo wako wa 'asilimia 99 hawatafanikiwa' utakua na uhalisia. Wapo stage ya awali kabisa, hakuna mtu aliyeweza kuwa profitable trader kwa trade yake ya kwanza tena bila mentor - hata wall street huyo mtu hayupo.
Ndio forex si rahisi, but you only need 2 things 1. Right information 2. Right mentors.
Tuwape muda boss.