Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
inabidi niwe na mfuatiliaji sasa
 
inabidi niwe na mfuatiliaji sasa
Yeah. Si kitoto.
Utafanya analysis zako zikasema GBPUSD ipo bullish. Ukaopen position zako ukaendelea na mishe zako.
Baada ya nusu saa mabomu yakalipuka London, we huna habari.
Badala ya Bullish ngoma ikageuka Bearish, ukajisahau hata SL hukuweka.
Tutakuokotea muhimbili ICU.
 

How much control do you have to an open position? like unaweza kuongeza/ kupunguza margin? unaweza kuclose position hata kama SL/ TP yako haijafikiwa? unaweza kuchange order i.e badala ya SL uliyoweka ukahamia oco?
 
Mkuu ontario naomba muongozo jinsi ya kufungua real account ya forex, napataje kadi ya forex mfano xm broker, nadeposit vipi pesa into my account, nawithdraw vip pesa?

Plz nijibu mkuu ontario na wengine wenye real accounts


Thanx in advance.
 

Dept o DEBT?
 
Forex nimetokea kuipenda na nimeshaanza kusoma vitabu, nitarud nikiwa nondo
 
Mh! Kuna kitu hakiko sawa, fahamu yangu ya 6 imenistua.
1) Mafunzo ya $7,500 kwa wiki 2 yanayotolewa na watu wanaoogelea kwenye fedha!
2) Kwamba kuna aina 2 ya brokers wanaoweza kukufanya usifanikiwe!
3) Kwamba kutoa fedha yako bank hapa nchini ni kasheshe!
4) Kwamba unahitaji kuwa na mentor ili kufanikisha!

Na kadhalika! Nasubiri ufafanuzi zaidi
 
Habari wana jamvi!


KARIBUNI TUENDELEE KUJIFUNZA!!


Hapo mkuu ningependa unifafanulie zaidi, naelewa kwamba ukiwa long unakuwa unanunua base currency, so hapo kwenye initial liquid labda nielewe kwmb ulinunua EUR 1.00 mnamo saa 13:24:21 na baada ya kama dk 4 uka close position kwa kuuza ile EUR 1.00 mnamo saa 13:28:56, mpk hapo nipo sahihi au nimebugi?
 
Mkuu ontario naomba muongozo jinsi ya kufungua real account ya forex, napataje kadi ya forex mfano xm broker, nadeposit vipi pesa into my account, nawithdraw vip pesa?

Plz nijibu mkuu ontario na wengine wenye real accounts


Thanx in advance.
Wakuu nisaidieni hapa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…