Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.
So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwa
Hii ni jana 06/06/2017 nikiweka 958 nikagonga km 320, saa 7 mchana tu nimefunga ofisi, nina uhakika wa wese la mwezi mzm.
Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni unit fulani inayokuwezesha kutrade pesa kiasi kikubwa cha pesa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1. Mfano, kwenye hiyo screen shot km ningetembea na lot size ya 0.2 basi ningeweza kuwa na faida ya $1000 in less than 3 hours.
Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa