Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
asante kwa ufafanuzi japo broker nnayemtumia kwenye demo account yangu anatumia currency instead of pips kuonyesha trailing stop. (forgive my ignorance) so sijakupata kikamilifu ila nashukuru.

can you recommend a good broker for an amateur like me?
I can't recommend exactly.

Ila page ya 113/114 nimeweka list ya baadhi ya brokers ambao nawaona kidogo wapo legit.

Jaribu mmoja wao..
 
muda mwingine SL huwa inaanzia mbali sana for eg inaweza anzia -20usd, why does this happen mate?

nawasilisha
Pips na currencies ni the same tu mkuu.

Mwingine anaweza kukwambia lot size ni $100,000. Au $400,000. Ukizoea huo mfumo itakuwa rahisi kujua hiyo ni lot ya ngapi.

Fanya mazoezi ujue hiyo ni lot ya ngapi..
 
thanks alot, nitaleta mrejesho wengine pia waelewe.
 
SL na TP nimeshazimaster vizuri mkuu Bavaria , so trailing stop sio necessary?
Sometimes ni necessary kutokana na maono yako.
Tuseme umeweka SL ya -20 na TP ya 100.

Baada ya muda trade yako imefika labda pips 87 baada ya muda ukagundua kwamba umetega kwenye consolidation zone.

Ikageuka hadi ika hit SL yako ya -20. Lazima ujilaumi kwasababu ulikuwa una uwezo wa kusogeza SL yako hadi 80 ukawa umetengeneza Profit ya 80 pips then hata ikigeuka hutakuwa na hasara..
 
Mungu akubariki ndugu, so trailing stop is an automatic adjustment while SL is manual.. na hiyo imenitokea majuzi kwenye OIL ilipanda live result ikaingia kwenye profit ila nikaingiwa na tamaa nikapandisha TP nikijua itapanda baadae inaniletea notification eti imeshuka imegonga stop loss.. I had to reset the account
 
Kesho Thursday naona ni nafasi nzuri kwa sisi ma-Newbie kuona live jinsi Markets zinavyoweza kuathiriwa na News/ Events/ Election. Kesho ni nafasi nzuri ya kufanya FUNDAMENTAL analyisis na kuona price zitakavyotrend. Coz kuna Three major events ambazo ni: 1. Britain general Election 2. European Central Bank policy decision 3. Testimony by former FBI Director James Comey. Wakuu ONTARIO na Bavaria ni kwa kiasi gani mnatumia Fundamental analysis kwenye Trading Plan zenu? or are you more of a TECHNICAL traders?
 
Habari wana jamvi!

Sitaki kutia maneno mengi maana kila kitu kinaonekana kwa picha!! KWA KIFUPI NI DEMO ACCOUNT NOT REAL!

Nilichojifunza lazima uwe msomaji mzuri wa graphs na uwe mtulivu na ujue kuhimili mihemko yako!!

Kingine ni kwamba....EUR/USA nimeikubali sanaaaa!!

Kitu nnajiuliza kama ndani ya siku moja nimeingiza huo mshiko je ndani ya mwaka au mwezi ntakua wapi???

Initial deposity ilikua 1m dola. Assume ningekua na dola 1000 cash kwenye real account, maana hapo faida ingekua dola 111.5 ndani ya siku moja!!

Haya 111.5 tukiipeleka kwenye Tsh inakua kama laki mbili unusu hivi!! Hii ni ndani ya SIKU MOJA TU!! Sijatoka jasho ila presha ya kupanda na kushuka ilinihusu hahahaaa!!

Kwa mwezi almost itachezea wastani wa 7mil !!! Duuh nimekumbuka magu alisema analipwa 9mil japo mpaka leo hajatoa salary slip yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]

Sasa nna maswala machache hapa!!

Je ni benki gani wanaweza nifaaa kwenye hii forex??? BENKI GANI HAWANA USUMBUFU??

This thing is real wakuu!!

KARIBUNI TUENDELEE KUJIFUNZA!!

36106ed262f3c00408591bb5c984dd4e.jpg

50c497ed53ea23a7481cc608518182cb.jpg
0c1a3f5100389323a7c64f3feb7546b5.jpg
aisee ni kweli ila demo ni demo
 
Mungu akubariki ndugu, so trailing stop is an automatic adjustment while SL is manual.. na hiyo imenitokea majuzi kwenye OIL ilipanda live result ikaingia kwenye profit ila nikaingiwa na tamaa nikapandisha TP nikijua itapanda baadae inaniletea notification eti imeshuka imegonga stop loss.. I had to reset the account
Pandisha TP na SL at the same time. Hata ikirudi unakuwa umelock profit yako..
Unaweza jifunza jinsi trailing stop loss inavyofanya kazi na jinsi ya kuiset kupitia youtube.
 
Kuwa na mentor ni sawa na mama ako anapokushika mkono unapojaribu kusimama na kuanza kutembea.. Kwahiyo, yeye anakuongoza kwenye kila kitu kwenye forex.

Broker hawezi kufanya hiyo biashara ya kukukopesha hela hata siku moja..
Bavaria we unae mentor?!
 
Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.

So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwa
05996c2bf054a59b4ab37d9b0b219328.jpg
Hii ni jana 06/06/2017 nikiweka 958 nikagonga km 320, saa 7 mchana tu nimefunga ofisi, nina uhakika wa wese la mwezi mzm.

Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni unit fulani inayokuwezesha kutrade pesa kiasi kikubwa cha pesa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1. Mfano, kwenye hiyo screen shot km ningetembea na lot size ya 0.2 basi ningeweza kuwa na faida ya $1000 in less than 3 hours.

Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa
Naona mkuu unafanya scalping moja ya hatari hahahaaa.....sijui kwenye trades inakuaje, ila kimahesabu, ukifanya scalping 20 kwa lot size ya 0.05, kuna tofauti gani na ukiweka standard lot?
 
Mungu akubariki ndugu, so trailing stop is an automatic adjustment while SL is manual.. na hiyo imenitokea majuzi kwenye OIL ilipanda live result ikaingia kwenye profit ila nikaingiwa na tamaa nikapandisha TP nikijua itapanda baadae inaniletea notification eti imeshuka imegonga stop loss.. I had to reset the account
Mimi hua nasema financial market sio duka la mama'ngu au baba'ngu. Soko lina namna yake ya kuBehave kama kuku aliyekatwa kichwa, so sishoboki kuingia kichwa kichwa.

Mimi nina principle 1 ndogo lkn makini - kama usipotrade haulose kitu chochote (unakua neutral) lkn ukitrade kitu usichokifahamu hauwezi kua neutral unaeza kipigwa ama kupiga... as far as kwangu forex si gambling siwezi kuingia kwenye trade mpk niwe nina sababu zote kwa kwanini nisiingie. Mimi siwezi kamwe kutrade kitu nisichokifahamu, bora niwe neutral siku ipite - uzuri soko lipo pale pale miaka buku, so siku 1 ya kutokutrade kwangu si ishu kubwa.

Mimi hua nasubiri setups zangu zote zikubali, ndio ni trade... kesho mimi ninafunga accounts zng zote nione watu wanavyochinja na kuchinjwa na soko. Sitaki kulishobokea soko bila sababu. Nawaachia wazee wa kutega vibomu kesho walipue soko, siku kama ya kesho mtu anaeza kua na $1000 akafunga siku na $4000, mtu mwingine anaeza kua na $4000 akafunga siku na mawazo.
 
Forex Trading haina Tofauti sana Na Betting Company . Maana We Assume that May be EURO will Raise Against Dollar then Tunaweka Hela....
 
Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.

So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwa
05996c2bf054a59b4ab37d9b0b219328.jpg
Hii ni jana 06/06/2017 nikiweka 958 nikagonga km 320, saa 7 mchana tu nimefunga ofisi, nina uhakika wa wese la mwezi mzm.

Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni unit fulani inayokuwezesha kutrade pesa kiasi kikubwa cha pesa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1. Mfano, kwenye hiyo screen shot km ningetembea na lot size ya 0.2 basi ningeweza kuwa na faida ya $1000 in less than 3 hours.

Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa
WELL SAID BROO, NIMEJARIBU SANA KUELEWA ILA MENTOR NI MUHIMU
 
Forex Trading haina Tofauti sana Na Betting Company . Maana We Assume that May be EURO will Raise Against Dollar then Tunaweka Hela....
VERY WRONG JAPO NDIO NAANZA TRAINING KWA AJILI YA TRADING, KUNA MAHALI NIMESOMA BETTING (GAMBLING) NI TOFAUTI NA TRADING KWA KUWA TRADING INA RISK MANAGEMENT, PROFIT/LOSS CALCULATION na KIKUBWA TRADING INA ETHICS ZAKE.
 
Kesho Thursday naona ni nafasi nzuri kwa sisi ma-Newbie kuona live jinsi Markets zinavyoweza kuathiriwa na News/ Events/ Election. Kesho ni nafasi nzuri ya kufanya FUNDAMENTAL analyisis na kuona price zitakavyotrend. Coz kuna Three major events ambazo ni: 1. Britain general Election 2. European Central Bank policy decision 3. Testimony by former FBI Director James Comey. Wakuu ONTARIO na Bavaria ni kwa kiasi gani mnatumia Fundamental analysis kwenye Trading Plan zenu? or are you more of a TECHNICAL traders?
Jana South Africa wametoa ripoti ya uchumi ikionesha umepungua kwa 0.7%.
Na ZAR ilianguka kwa 1%.
Weekend iliopita kulitokea na matukio ya kigaidi UK. Pound ilishuka thamani kwa muda then ikarudi.
Kwahiyo unatakiwa uzifahamu hizi news zinaathiri vipi pair zako i.e positive, negative au hazina athari hata kidogo. So, either ujifunze kutrade hizi news au ukae mbali nazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom