Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Nahisi am comfortable with what am doing! I gain much and sometimes i incur loss!! As far as i get profit i don't care about about stopping loss or profit! In fact i will consider them soon!Hhaha.. Upo fast mkuu..
Hizo lot size zinatisha mkuu..
Tengeneza strategy ya kumanage hizo lot size..
Stop Loss na Take Profit ziwe sala yako ya asubuhi unapo open position zako..
Unatakiwa ujue kuna watu walishaanza kujifunza kabla ya Ontario kuleta mada humu,usikariri........
Uko sahihi! Ila nimetokea kuipenda pair ya EURUSD so mara nyingi naitumia! What matters is...do i get profit regardless of my pair!!??Aisee huyu jamaa sijaona sababu na sijaelewa kwa nini same currency pair ameifungulia more than 10 trades within short span of time.
Hahahaa unetisha arifu!Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.
Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
Naomba uniadd na mm i need to know more about forex,,, nimeanza kuistudy kidogo kidogo
Hii kitu ni addictive. Achilia kwamba inahusisha hela lakini yenyewe Kama yenyewe inaleta uchizi Fulani, una enjoy kufanya speculations
Naona pia kuna watu wameibuka huko kwenye magrupu ya whatsap wanajifanya wanatoa service ya kufundisha watu. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka Leo baada ya kuona Ontario kahamasisha watu ndio wanajitokeza [emoji848]
Mkuu nimependa concept uliyoleta! Nilivyopitia ni kwamba...Jana pesa ilikuwa njenje aisee. Ni vile tuu sisi bado ni wanafunzi na tunasubiri green light.
Halafu kuna kitu katika candlestick nahisi sijakielewa vizuri, Je wick (utambi) wa candle, nimechunguza nikaona say candle moja ina tambi mbili, Juu na chini. Nilipoangalia zaidi nikagundua mara nyingi urefu wa hizi tambi/Wick hazipo sawa kuna candle zina tambi za juu ndefu kuliko za chini ama vice versa.
Katika kile kitabu hakuna walipoandika kirefu zina maana gani hizi tambi, Ila katika kuzururazurura kwangu mitandaoni nimekutana na hii concept. Kuwa Urefu wa utambi ni kama unatabiri uelekeo wa next candle utakuwaje. Say current candle ikiwa na utambi wa juu mrefu kuliko wa chini, ni kwamba next candle itakuwa bullish candle, na vice versa.
Pia kuna sehemu nikakuta sehemu nyingine wameelezea kwamba Wick ya candle ni kama vile kuonesha how candle closing/open rate resisted/support with time and as time goes on. Maana nimechunguza pia nikaona treend lines zinaanzia kuchorwa katika tip ya utambi na siyo katika end/start ya real body ya candle.
Je hapa which is which.? Je nipo wrong.?
CC Bavaria
Kaka ONTARIO nimecheza na GBP/USD asubuhi hii return yake no kubwa kuliko ya Jana kwa lot size ile ile. I am so happy I wish this could be real cash but let me keep practising.Mimi nilisema sitaingia sokoni kwa siku ya jana, sikuwa nimefanya analysis afu sikutaka kudandia fundamentals... lakini nikahakikisha leo nacompensate muda wa jana.
Nilikua nasoma kitabu fulani kinaitwa Understanding Bitcoin - Cryptography, engineering, and economics, mida kama ya Saa 7 usiku nikasema nifungue charts. Nikamkuta GBP kadondoka yupo sakafuni, kifo cha mende, nikasema sasa nijilipue na lot size ya tembo nipande nae juu kidogo. Sekunde 5 tu, tayari nipo kwenye blues, nikagonga zangu mshahara wa Bank manager wa mwezi. Nikafunga kitabu, nikazima taa, nikalala.
Mkuu nimependa concept uliyoleta! Nilivyopitia ni kwamba...
Kwanza lazima ujue candle yoyote ina tail na body...bahati mbaya sina pc ningeweka mfano!!
Candle ikiwa ndefu...ina maana tofauti kati ya opening price na closing price ni kubwa...mfano kama candle mpya ilianza at a price of 1.2222 alafu ikafunga at a price of 1.2229 tarajia candle itakua ndefu...body ndefu!
Ila ikianza katika price ya 1.2222 alafu ikafunga katika 1.2222 hapo candle itakua ndogoooo yani isiyo na body kabisa!!
Case ingine ni kwamba candle mpya imeanza na price ya 1.2222 alafu ikafika mpaka 1.2229 then mda huo huo ikafunga ikiwa kwenye price ya 1.2226 tarajia hii candle ikifunga itakua na body kubwa kiasi pamoja na ka mkia...tail kwa juu!!
Tail inaonyesha maximum au minimum price ya pair!
Body inaonyesha closing na opening price ya pair!
Karibu!
Kama ilivyo ukitaka kuendesha baiskeli lazima kwanza ujifunze na kwenye forex ni hivyo hivyo!Hello guys am new here but would like to know much about forex trading infact nataka kuifanya iwe ndo ajira yangu naomba msaada wenu
mkuu hebu kuwa muwazi tupe knowledge zaidi,swala langu hii App unatumia,tufahamishe umecheza kivipi,thanksKaka ONTARIO nimecheza na GBP/USD asubuhi hii return yake no kubwa kuliko ya Jana kwa lot size ile ile. I am so happy I wish this could be real cash but let me keep practising.
Big up ONTARIO for this idea.View attachment 521572