Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wazo zuri boss....Reading is power....let's exploit much knowledge as we can..
 
Fanya fasta aisee Mkuu ONTARIO ukichape hicho kitabu napita dar hapo nataka kukifuata saivi mi nasoma madude tu nataka niive kwenye theory kwanza kabla sijaaingia kwenye prac.

Hii kitu nimedhamiria kwelikweli nataka iwe ndo investment yangu nitawekeza humu ili mradi nijue rules .so mkuu tulishe madini.

Pia kwa wote ambao tunaanza kama utataka kupata ufahamu na hii mambo

Unaweza ukadownload app inaitwa GO forex huko play store inaeleza vizuri sana then unaweza kuendelea na ma heavy weight books ili kujua namna ya kutusua kibishi.

Pamoja sana.
 
Nyongeza ya hapo. Kuna wengine tuko mikoani sasa inakuwa ni issue kukipata in hard copy kwa mazingira tuliyomo. Nawaza kama kuna anayeweza kutufanyia favor kwa kuscan kwa kutumia app Fulani iko play store inaitwa CamScanner. Kisha atupandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.
 
Sijajua ONTARIO unatumia vigezo gani ku enroll watu kwenye hilo group la watu 300, ila pia ningependa kuwepo. By the way bado naendelea kujifunza kupitia google, vitabu na youtube. Na nimeshafungua demo account na kuanza kutrade. Na hongera sana kwa kuleta hili swala

Ningependa kuwa mmoja wa hao 300
 
Hiki nimekikuta amazon...
Kitabu ninachokizungumzia si hiko. Hiko hata sikijui, tena nina asilimia 100 kwa cover page tu, hiyo si forex.
Nimeiona amazon kinauzwa dola 7.99! Naweza kukinunua ila softcopy tunaweza pata kwa kindle edition so sijui tu jinsi ya kushare
 
Hakuna kundi la watu 300 mkuu,soma vizuri
 


Wakati naendelea kusoma nikaona ngoja nijaribu demo mdogo mdogo.

Kimetokea hicho kitu hapo sijaelewa 😱
 
Kitabu ninachokizungumzia si hiko. Hiko hata sikijui, tena nina asilimia 100 kwa cover page tu, hiyo si forex.
Duh hicho kitabu ni level nyingine sasa maana NO eBook kabisa mtandaoni.

Msaada wako ONTARIO kukipata will be much invaluable
 
Msaada wako kuielewa platform hasa hasa kwenye SL/TP kuna muda inaniambia invalid SL/TP
Please refer page namba 119 ya huu uzi, post#2377 nimetolea ufafanuzi, kuna mdau lilikuwa linampa shida pia
 
Wakuu kuna brokers naona wanaoffer DD(dealing desk),nimeona maana yake lkn nashindwa kuelewa kuwa ni wazuri au wako kwa ajili ya kushindana na trader?
 
Ontario, nimejiunga JF kwa sababu ya uzi huu tu. Siku zote nimekuwa nasoma nyuzi za humu kama guest tu, Ila kwa madini haya uliyomwaga, imebidi nijiunge.

Nimeanza kusoma kitabu Cha forex for Dummies Kama ulivyorecommend. Nimefungua Demo.....huu moto hauzimiki Hadi kieleweke.

Nipo maternity leave kwa Sasa, naona huu uI umekuja wakati muafaka. There is nothing I want like being Financially independent....for myself, for my family....for my kids. Hadi kieleweke.

Mungu akutunze tufikie malengo.... blessings!
 
wadau hali vipi?hapo ndipo maujanja ninayoyachota humu yamenifikisha..hebu nizidi kujikakamua...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…