Manirabona
Member
- Jun 5, 2017
- 63
- 73
Usiku mwema guys
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nahitaji kujua kama kuna specialitu yoyote inayowatofautisha hao jamaa katika application zao. Maana nikiangalia tabia zao, naona kama zinafanana na zinakaribiana.
halafu in addition, Nimeanza hapa kusoma momentum oscillator, Wanasema inakuwa displayed in a small window at the bottom of charting systems. Sasa nikicheki MT4 system yangu naona bilabila hapa.
Unasoma kitabu gani?
Tayari ume disqualify kuwepo kwenye kozi,Mkuuu,
Nahitaji kuwepo kwenye list ya wataoudhuria darasa hilo plz.
My no are 0756 517588.
View attachment 522597
Overbought - Eneo juu ya mstari mwekundu, hapo nilipoweka mshale.
Oversold - Eneo chini ya mstari wa blue, Hapo nilipoweka mshale mweusi.
Watu wengine mnaboa...Mkuuu,
Nahitaji kuwepo kwenye list ya wataoudhuria darasa hilo plz.
My no are 0756 517588.
Nimejikuta Nacheka tuu.Watu wengine mnaboa...
Yaan mnakeraa. Sasa mtu ukitaka upitie jf haraka haraka upate update unkuta mtu ka quart utangulizi wote inachosha sanaa
Jaman tuwe wastaarabu muda wenyewe hakuna vitabu bado page za kutosha tunakimbizan at least training inaanza tuwe tuko mbali, tusiwe wageni wa mambo mengi
Ombi langu... TUSIPOTEZEANE MUDA.
Unasoma kitabu gani?
Mimi sizungumzii overbought na oversold. Nazungumzia Momentum ambayo imeelezewa katika paragraph iliyo juu ya overbought na oversold.
Maana hapo wamesema katika charting system, momentum inakuwa indicated katika small window. Sasa ndo nimeuliza katika dashboard ya MT4 ambapo candlestick ipo default. Je momentum ya market inakuwa displayed wapi.?
Kilichokuwa recomended, CT for dummies, ndo nimekutana na hivyo vitu
View attachment 522573
angalia hiyo statement/paragraph juu ya overbought na oversold. Au mimi ndo sijaelewa.???
WELL SAID-WAITING FOR THE CLASS,Ni Ontario boss.
Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!
Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.
Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.
Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Hii Picha ni training tosha kati ya hawa key players Broker, Trader na Signals provider- Stop loss ye usipokua makini ndio anakuondoa kwenye trading
Further updatesNaendelea kujifua mdogo mdogo na demo account nikisubiria mentorship. Hii kitu raha sana kama vile unacheza game hivi kumbe ndivyo pesa zinavyotengenezwa.
Nimeanza asubuhi hii mpaka sasa Nina kabalansi haka, nione kufikia mchana nitakuwa nimefikia wapi.
View attachment 522638
Me sio mtaalam sana ila IQ ni binary option na inatofauti kidogo na FX. Binary ina limit ya time, na haitegemei pips kutengeneza profit, hat profit yake ni limited.Jaman Nani alishawahi kutumia binary option ie IQ OPTION maana mm nmeliwa dola Kama 80 hadi Sasa.
HV hzi binary nazo ni nzuri kujifunzia@ONTARIO and others who are legends
Kuna kitu namis hapa, kumanage SL/TP. msaada wako
Aisee bado kuna vitu vingi sana nahitaji kuweka sawa.Habari wakuu ONTARIO na Bavaria; Naomba niulize kidogo kwa nyie mnaotrade live:so far nimeona kuna Trading strategies mbili (i) Moving average crossover ambayo utaiconfirm na indicators kama Stochastic na RSI NA MACD (ii) Price action ambayo ina Pin bars, Engulfin candles, Double top double bottom, Head and shoulders, last kiss. Swali langu ni kuwa wakati mnataka kuingia kwenye position huwa mnafanya analyisis kwa kutumia both strategies au moja kati yao? Swali la pili ni kuwa mtu anaweza akawa expert wa strategy moja tu kati ya hizo mbili na akafanya vizuri kwenye trading? Thanks in advance
Duh,hata mm cjamuelewa,kumbe kutrade na kupiga profit haitoshi,there's a lot more to learn,duh!Aisee bado kuna vitu vingi sana nahitaji kuweka sawa.