Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa nahitaji kujua kama kuna specialitu yoyote inayowatofautisha hao jamaa katika application zao. Maana nikiangalia tabia zao, naona kama zinafanana na zinakaribiana.

halafu in addition, Nimeanza hapa kusoma momentum oscillator, Wanasema inakuwa displayed in a small window at the bottom of charting systems. Sasa nikicheki MT4 system yangu naona bilabila hapa.

Unasoma kitabu gani?
 
Unasoma kitabu gani?

Kilichokuwa recomended, CT for dummies, ndo nimekutana na hivyo vitu

wp_ss_20170612_0001.png

angalia hiyo statement/paragraph juu ya overbought na oversold. Au mimi ndo sijaelewa.???
 
View attachment 522597
Overbought - Eneo juu ya mstari mwekundu, hapo nilipoweka mshale.
Oversold - Eneo chini ya mstari wa blue, Hapo nilipoweka mshale mweusi.

Mimi sizungumzii overbought na oversold. Nazungumzia Momentum ambayo imeelezewa katika paragraph iliyo juu ya overbought na oversold.

Maana hapo wamesema katika charting system, momentum inakuwa indicated katika small window. Sasa ndo nimeuliza katika dashboard ya MT4 ambapo candlestick ipo default. Je momentum ya market inakuwa displayed wapi.?
 
KUNA VITABU HIVYO TUENDELEE KUPITIA THEN TUINGIE KWENYE HUO MTANAGE!
 
Attachments

Mkuuu,

Nahitaji kuwepo kwenye list ya wataoudhuria darasa hilo plz.

My no are 0756 517588.
Watu wengine mnaboa...
Yaan mnakeraa. Sasa mtu ukitaka upitie jf haraka haraka upate update unkuta mtu ka quart utangulizi wote inachosha sanaa
Jaman tuwe wastaarabu muda wenyewe hakuna vitabu bado page za kutosha tunakimbizan at least training inaanza tuwe tuko mbali, tusiwe wageni wa mambo mengi
Ombi langu... TUSIPOTEZEANE MUDA.
 
Nimejikuta Nacheka tuu.
 
Unasoma kitabu gani?
Mimi sizungumzii overbought na oversold. Nazungumzia Momentum ambayo imeelezewa katika paragraph iliyo juu ya overbought na oversold.

Maana hapo wamesema katika charting system, momentum inakuwa indicated katika small window. Sasa ndo nimeuliza katika dashboard ya MT4 ambapo candlestick ipo default. Je momentum ya market inakuwa displayed wapi.?
Kilichokuwa recomended, CT for dummies, ndo nimekutana na hivyo vitu

View attachment 522573

angalia hiyo statement/paragraph juu ya overbought na oversold. Au mimi ndo sijaelewa.???

Duh, Nimeshakipata nusu ya kilichokuwa kinanichanganya. kumbe ni feature ya kuiselect toka katika toolbar iliyo katika dashboard.

Captureaaa.PNG

Ama kweli kuwa mgeni kazi. Heheheeehehe
 
Naendelea kujifua mdogo mdogo na demo account nikisubiria mentorship. Hii kitu raha sana kama vile unacheza game hivi kumbe ndivyo pesa zinavyotengenezwa.
Nimeanza asubuhi hii mpaka sasa Nina kabalansi haka, nione kufikia mchana nitakuwa nimefikia wapi.
Screenshot_20170612-091907.png
 
Ni Ontario boss.

Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!

Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.

Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.

Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.

Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
WELL SAID-WAITING FOR THE CLASS,
 
Habari wakuu ONTARIO na Bavaria; Naomba niulize kidogo kwa nyie mnaotrade live:so far nimeona kuna Trading strategies mbili (i) Moving average crossover ambayo utaiconfirm na indicators kama Stochastic na RSI NA MACD (ii) Price action ambayo ina Pin bars, Engulfin candles, Double top double bottom, Head and shoulders, last kiss. Swali langu ni kuwa wakati mnataka kuingia kwenye position huwa mnafanya analyisis kwa kutumia both strategies au moja kati yao? Swali la pili ni kuwa mtu anaweza akawa expert wa strategy moja tu kati ya hizo mbili na akafanya vizuri kwenye trading? Thanks in advance
 
Jaman Nani alishawahi kutumia binary option ie IQ OPTION maana mm nmeliwa dola Kama 80 hadi Sasa.

HV hzi binary nazo ni nzuri kujifunzia@ONTARIO and others who are legends
Me sio mtaalam sana ila IQ ni binary option na inatofauti kidogo na FX. Binary ina limit ya time, na haitegemei pips kutengeneza profit, hat profit yake ni limited.

sijui wataalam kama kina Bavaria na Ontario wanaweza sema nini hapa
 
Habari wakuu ONTARIO na Bavaria; Naomba niulize kidogo kwa nyie mnaotrade live:so far nimeona kuna Trading strategies mbili (i) Moving average crossover ambayo utaiconfirm na indicators kama Stochastic na RSI NA MACD (ii) Price action ambayo ina Pin bars, Engulfin candles, Double top double bottom, Head and shoulders, last kiss. Swali langu ni kuwa wakati mnataka kuingia kwenye position huwa mnafanya analyisis kwa kutumia both strategies au moja kati yao? Swali la pili ni kuwa mtu anaweza akawa expert wa strategy moja tu kati ya hizo mbili na akafanya vizuri kwenye trading? Thanks in advance
Aisee bado kuna vitu vingi sana nahitaji kuweka sawa.
 
I FOUND A COURSE TO STUDY WITH SMALL AMOUNT OF MONEY AS $40 SEE THE COURSE OUTLINE AND ADVISE MATES

Course 1 of 11
Totally clueless about currency trading? An introduction to the forex exchange market.
Start Learning
1. What is Forex?
2. Why Trade Forex?
3. Who Trades Forex?
4. When Can You Trade Forex?
5. How Do You Trade Forex?

Kindergarten
Course 2 of 11
Learn the basics on how to choose a forex broker and analyze the currency markets.
1. Brokers 101
2. Three Types of Analysis
3. Types of Charts

Elementary
Course 3 of 11
The beginner's guide to technical analysis.
1. Grade 1:Support and Resistance Levels
2. Grade 2;Japanese Candlesticks
3. Grade 3;Fibonacci
4. Grade 4;Moving Averages
5. Grade 5;Popular Chart Indicators

Middle School
Course 4 of 11
Learn how to properly use chart indicators, spot chart patterns and use pivot points.
1. Grade 6;Oscillators and Momentum Indicators
2. Grade 7;Important Chart Patterns
3. Grade 8;Pivot Points

Summer School
Course 5 of 11
Take your technical analysis and chart reading skills to another level by learning Elliott Wave Theory and harmonic price patterns.
1. Elliott Wave Theory
2. Harmonic Price Patterns

High School
Course 6 of 11
Dig deeper into more technical analysis concepts like trading divergences, breakouts and using multiple time frames on your charts.
1. Grade 9;Trading Divergences
2. Grade 10;Market Environment
3. Grade 11;Trading Breakouts and Fakeouts
4. Grade 12;Fundamental Analysis
5. Grade 13;Currency Crosses
6. Grade 14;Multiple Time Frame Analysis

Undergraduate - Freshman
Course 7 of 11
Learn how to gauge whether the market is bullish or bearish, how to trade during news releases and how to potentially make money without price moving.
1. Market Sentiment
2. Trading the News
3. Carry Trade

Undergraduate - Sophomore
Course 8 of 11
Learn how other asset classes like stocks, bonds and commodities can affect the foreign exchange market.
1. The U.S. Dollar Index
2. Intermarket Correlations
3. Using Equities to Trade FX
4. Country Profiles

Undergraduate - Junior
Course 9 of 11
Learn how to develop a trading plan, create a trading system and maintain a trading journal.
1. Developing Your Own Trading Plan
2. Which Type of Trader Are You?
3. Create Your Own Trading System
4. Keeping a Trading Journal
5. How to Use MetaTrader 4

Undergraduate - Senior
Course 10 of 11
Develop the proper risk management skills and mindset so you don't become part of the 95% of new traders who end up losing all their money.
1. Risk Management
2. The Number 1 Cause of Death of Forex Traders
3. Position Sizing
4. Setting Stop Losses
5. Scaling In and Out
6. Currency Correlations

Graduation
Course 11 of 11
Some final words of wisdom before you venture out into the challenging world of trading forex.
1. Forex Trading Scams
2. Binary Options 101
3. Personality Quizzes
4. Graduation Speech
 
Attachments

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom