Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ontario
Yan naomba muongozo no time to waste kama ofisi imeshafunguliwa nije ofsn nije nielewe huko huko
 
Wakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
 
Wakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
Hiyo ni real au demo
 
Wakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI
Hiyo ni TIN no mkuu
 
Unapotea sana mkuu,naona co learner tena unakua mkufunzi
mi nipo kaka..ndio nimezama kisawasawa kwenye vitabu..mwendo wangu nauita [HASHTAG]#mwendo[/HASHTAG] wa vipara..yani taratibu..sitaki jambo lolote linifutu..nategemea na wewe pia unapiga darasa la uhakika mwenzangu..
 
Sure.
 
Mkuu ONTARIO naamini icons wazo zuri kipelekwe Stationary then sisi wa mikoani tutume pesa ili tuweze kutumiwa hata kwa njia ya mabasi naamini tutakipata kwa usalama.
 
Mkuu ONTARIO naamini icons wazo zuri kipelekwe Stationary then sisi wa mikoani tutume pesa ili tuweze kutumiwa hata kwa njia ya mabasi naamini tutakipata kwa usalama.
Ni kweli mkuu ili na sisi wa mikoani hii kitu isitupite pembeni. Ni bora tukaongeza kiasi cha pesa ili tutumiwe vitabu ikiwa mkuu Ontario ataafiki.
 
mi nipo kaka..ndio nimezama kisawasawa kwenye vitabu..mwendo wangu nauita [HASHTAG]#mwendo[/HASHTAG] wa vipara..yani taratibu..sitaki jambo lolote linifutu..nategemea na wewe pia unapiga darasa la uhakika mwenzangu..
Demo pembeni kidoogo nimezama kwenye vitabu mkuu
C unajua spidi zetu too slow too sure.
 
Mm nilimwacha kumsikiliza pale tu aliposema usitumie stop loss hapo nilinawa mikono kabisa
Mkuu, tatizo lilokupata ni pale ambapo anaelekeza setting za zone recovery kwani hazionekani
 
What a busy monday,

Mkuu ontario usisahau kutupa jina la hicho kitabu cha master trade. Ingekuwa vyema hata ukatupigia picha mbele na nyuma ili tuone title na autor plus ISBN number.

Na sisi tujaribu kukitafuta, Labda tunaweza pata bahati kukiona.

CC: Ontario
 
I support this.. Since you personally use this book and we've all seen how u do ur magic, no one will take this for granted.
We nenda tu kaache stationary uone watu tutakavyokizukia.
Ts a good way.. U jus name the stationary we'll handle the rest.
 
Wakati nafungua akaunti nimekutana na kipengele kimeandikwa "Tax Identification Number" hapo nimeshindwa kuelewa hiyo namba. KAMA KUNA MTU ALIPITA HICHO KIPENGELE ANITOE VUMBI KICHWANI

Weka TIN number mzee ya TRA
 
Actually binafsi nilikua naisoma hii business kupitia mtandaoni but nimeiona kama ni tofauti na nilvyoelewa kwako!!/..
Its like kamali ujue dollar vs euro or USD vs Indian rupee uweze soma kama itapanda au itashuka....then from there ukibet right ndo unakula Fedha!!. Au cyo hii forex trading ....
Jibu lako Mkuu n la muhimu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…