Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Don't forget me Mr.Ontario I am arrived now in Tanzania a place called morogoro so on the starting day please niadi niwe miongoni mwao by Foreigner from Rwanda's welcome guys in Ruandaaa
 
Beautiful mind never fail too
 
wadau msaada kidogo..

timing yangu ya kuingia kwenye trade inanitatiza..yaani kila wakati lazima nianzie kwa (-20)hata kama charts zinaonyesha kuwa the pair is appreciating..mfano ni hapo kwenye hiyo screenshort ambapo nimeingia kwenye market hapo kwenye alama ya mshale mwekundu na badala ya kupiga blues japo kitu kinapanda najipata nimezama kwenye reds,yani hasara..imekuwa ni mara kadhaa ambapo timing yangu inaingiana na set ups ila lazima kwanza niingie loss kisha kama itazidi kupanda ndio napata nimeingia kwenye blue(profits)...

naomba msaada tafazalini!
 
jaribu platform hii
expertoption.com
 
jaribu platform hii
expertoption.com
mkuu kama kila wakati nitazipoteapotea challenges hizi naona sitapata maujuzi...maana nilianza na fxcm,kisha nikaingia go forex...sasa nataka nikomae hapa mt4 ndio niweze kupata maujanja ya kutosha..wazo lako liko vizuri ila kwa muda huu sitaki kuhamahama..
 
Hili tatizo limekua likinipata hata mm pia mpaka nikaanza kucheza na average indicator
 
Kuna sababu mbili. Moja ni broker wako ana spreads kubwa (hata kama ni ndogo lazima uanze na negative).Broker anachukua chake kwanza regardless una long au una short. Sababu ya pili ni aina ya pair unayo-trade. Brokers wana spreads za Majors na Minor pairs relatively low ukilinganisha na exotic pairs.

So kwa sababu ya kwanza hapo ndio maana mkuu ONTARIO yuko sensitive na brokers
 
naona sababu 1 ndiyo inahusika hapa..shukran sana mkuu
 

Mkuu ONTARIO Salamu tena. Tangu kwenye ule uzi wetu wa Matrekta nakufuatilia sana na hii issue ya Forex naiendeleza japo sipendi kusumbua huu uzi. Does that book of yours resemble this one here??



Kama ndio chenyewe nipe go ahead nikipandishe watu wapakue mkuu. Hiki kina page kama 319 hivi.
Tuko pamoja
 

Hapo bila kuchelewa, jibu ni spread. Negative balance unayoiona inatokana na spread.
 
kuna changes zozote ulizozipata baada ya kutumia average indicators?
Hapana ni kuweza tu kutambua market direction.

naajifunza scalping kwa ajili ya short term trading, Labda hii inaweza kuwa na usaidizi.

Ila inawezekana kuna mahali pana tabu kidogo.
 
Habari mkuu, hata kama akisema sio chenyewe, kiweke hapa tuendelee kusoma arifu!
 
Mkuu Bavaria account yangu ya Tshs naweza itumia kwa ku-deposit au ku-withdraw ela kutoka kwa broker?

Au lazima niwe na account ya dola au euro?

Je apart from FNB ni bank gani wako vizuri kwenye forex?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…