Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
anza kusoma toka mwanzo mkuu kila ulichouliza kimejibiwa kwa ufasaha mi ndo nimemaliza kusoma leo na nimejifunza kitu ila kwa sasa people ziko busy kustudy vitabu
Duuu!!! Asante ndo nakomaa na google hapa kupata ufahamu kidogo,vitabu wao wanapata wap?
 
Noma sana mkuu, nipo chimbo najifua kimyakimya huku nachungulia humu kuona wadau mnavyo shusha nondo. Nipo nahangaika na tabia za mishumaa maana nimegundua ndio uchawi ulipo
ukitegua vitendawili vya mishumaa tayari umetoboa katika forex mkuu..hapa pia nakazana kuzifahamu hizi vitu...
 
Duuu!!! Asante ndo nakomaa na google hapa kupata ufahamu kidogo,vitabu wao wanapata wap?
vyote vipo humuhum waliviweka wadau we komaa tu kusoma post toka mwanzo utakutana navyo vipo kibao tu humu
 
Mkuu hapa unikumbuke nijumuishe kwenye hao 300 tafadhali nisikose utaratibu wa kuwa miongoni unijuze mashart na vigezo!
 
mkuu hii jpmarket najaribu kufungua demo account inaniambia succesful lkn nikijaribu ku login inaniambia incorect username/password. nashindwa kuelewa nifanyaje na hii kitu
 
Wenye uzoefu mbona hamjibu?
pole mkuu..wengi wamezama machimboni...naomba unielewe in a positive way..unaposema pair ambayo haina loss kubwa,ninachoelewa ni kuwa unatafuta short cut..si vibaya ila ni vyema kuwa na uelewa wa kutosha kabla hujaingia kwenye market maana its all about speculation na as long as unatrade major currencies issue hapo huwa 50/50 kama bado hujaelewa jinsi soko hubehave..waweza ukabahatisha ukapata au ukakosa..cha msingi tulia na vitabu kama wenzako ukule darasa la uhakika
 
Nina Plan niende Kwa Witchdoctor ili niwe miongoni mwa Ile list ya Watu wa kwanza kupata Training..
 
watu wa dizaini yako..hawakawii kuja kuandika nyuzi za kutapeliwa humu account ikichomeka...
 
kuna hawa FXCM rate zao zipo chini kwa micro acount ni usd 50
 
Mkuu hapa unikumbuke nijumuishe kwenye hao 300 tafadhali nisikose utaratibu wa kuwa miongoni unijuze mashart na vigezo!
Mkuu mbona umeshashauriwa mara mbili upitie uzi ndipo utakapokuwa updated maana hata hiyo idadi ya 300 ilishapungua kitambo

Nakushauri tena pitia uzi wote mkuu

Vinginevyo utawaona watu hawakupi ushirikiano bure kumbe nasi tumezama kwenye vitabu kama ambavyo tumeelekezwa na mentor wetu ONTARIO
 
mkuu unaingiza zaidi ya milioni nne kwenye giza...
 
Tha
Thanks mkuu,ni kweli nimegundua thread ipo page ya 156 mi nikajua ndo page ya 1 duuu nahisi kuachwa ndo nazipitia nahis bado sijachelewa!,harakaharaka hizi nazo ngoja niwe mpole kwanza!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…