Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ebu naomba jina la hyo demo account..nataka kuanza mazoezi...kama hautajali Mkuu wangu
Meta trade 5 mkuu, humu hatuna hiyana kabida. Ontario amewabadilisha watu kuacha roho za kichawi. Mwanga akiingia humu anabadilika au anahama mazima.
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
Haha ha,mkuu Mimi hiki ndiyo nimeona ganda la ndizi nateleza,kike currency trading for dummies kuna chapter nimezishindwa kabisa hazipandi
 
Shukrani Mtaalam

Umeeleweka vyema sana ila in practice spread inanimaliza.

Naamini nitaelewa kadiri siku zinavyoenda
 
Aisee hiki kitabu naked FOREX mbona kigumu sanaa. Nakumbuka uliki recommend... kipo tight n tofaut na vitabu vingine nilivyosomaa duhhhhh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee unapiga page nzima unaona nyota nyota tu
 
Shukrani Mtaalam

Umeeleweka vyema sana ila in practice spread inanimaliza.

Naamini nitaelewa kadiri siku zinavyoenda
inakubidi uwe accurate sana mkuu..maana uki open position kisha soko likatangulia kuenda kinyume kabla ya kuendana na position yako unakuwa tayari umeingia loss kubwa..
 
Haha ha,mkuu Mimi hiki ndiyo nimeona ganda la ndizi nateleza,kike currency trading for dummies kuna chapter nimezishindwa kabisa hazipandi
Dahhh aisee kwel binadamu tunatofautianA..... kipo tight sana hiki.... tofaut n.a. godfather au forex as bible book
 
Unaweza kushare namna unavyoanalyse kwa ajili ya scalping mana hapa ni tatizo kubwa sana kwa kila mtu
 
kwa wale ambao wangehitaji fast track katika momentum oscillators/indicators, Video hizo hapo chini

1. Stochastic 2. EMA 3. MA 4. MACD 5.RSI

Be Blessed kiongozi nilikua zinanipa tabu sasa hapa knowladge imekuja

bado detailed Scalping
 
inakubidi uwe accurate sana mkuu..maana uki open position kisha soko likatangulia kuenda kinyume kabla ya kuendana na position yako unakuwa tayari umeingia loss kubwa..
okay twende kazi hapa ndio pale penye mkanganyiko.
nielewe kwanza candle stick naamini nitaweza kuweka minor zone vyema hapo scalping haitanikimbia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…