Duuu!!! Asante ndo nakomaa na google hapa kupata ufahamu kidogo,vitabu wao wanapata wap?
Naona katika stochastic chart ya current GBP/USD tayari crossing ya %K na %D lines inataka kutokea katika oversold region. Bila shaka hii ni strong signal ya kununua hii pair. Je nimepotoka katika hili ama nimepatia.?
View attachment 524366
CC: Ontario, Bavaria and other forex Gurus.
Naomba ufafanuzi wakuu, kwenye MT4 unakuta muda unaooneshwa pale chini uko tofauti na muda halisi, umepishana dakika kadhaa wa kadha. Unaweza kuona sasa hivi ni saa 13:55 lakini muda unaooneshwa na MT4 ni 13:51.
Hii inasababishwa na nini na madhara yake ni yapi?
Be Blessed kiongozi nilikua zinanipa tabu sasa hapa knowladge imekuja
bado detailed Scalping
Mkuu unahofu ya kuachwa na hii speed.. Haya ni mambo ya mwendo kasi.. Ukipunguza speed lazima uachwe..MUMKARI TULIYO NAYO NI OVER SPEED INATAKIWA TUPUNGUZE MAANA GARI NI SPEED 180 ILA SPEED TUNAYOINDESHA HII GARI NI SPEED 360
Unaingiaje kupractise kwenye demo mi cjui pa kuanzia hebu nipe hintsAm very interested, my young bro (19) kanifundisha iqoption ndo nakomaa na demo saa hivi nna week bado sijapata hasara wala faida naendelea soma markets na kufanya analysis plus hii thread imenifungua sana. Hawa brokwr IQOption unawaonaje bro naona wa south pia na dunia wanawapenda plus 24 option.
Hongera sana mkuu.POMBE NIMEIPELEKA LIKIZO IKIRUDI INANIKUTA NIMEBADILIKA NA HAITANIKUTA MAANA NITAKUWA NIMESHAHAMA
Unaingiaje kupractise kwenye demo mi cjui pa kuanzia hebu nipe hints
Hehe mkuu naona unaenjoy!! At least huku you can see it coming kama mabomu yakitegwa vizuriBoooooom, Haijachukua muda mitego imeshalipuka, What a steep bullish movement, Heheheheeee. Hii kitu ni raha sana ikiwa inaenda on your side
View attachment 524374
CC: Ontario, Bavaria & all forex Gurus
Mmmh hii ni Binary Option, kitu tofauti, haihusiani na hii thread.Download App www.iqoption.com utafata maelekezo. App ipo kwa desktop, phones na tablets or unaweza tumia web tu.... Check