Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naona katika stochastic chart ya current GBP/USD tayari crossing ya %K na %D lines inataka kutokea katika oversold region. Bila shaka hii ni strong signal ya kununua hii pair. Je nimepotoka katika hili ama nimepatia.?

Captureddd.PNG

CC: Ontario, Bavaria and other forex Gurus.
 
Naomba ufafanuzi wakuu, kwenye MT4 unakuta muda unaooneshwa pale chini uko tofauti na muda halisi, umepishana dakika kadhaa wa kadha. Unaweza kuona sasa hivi ni saa 13:55 lakini muda unaooneshwa na MT4 ni 13:51.

Hii inasababishwa na nini na madhara yake ni yapi?
 
View attachment 524366

CC: Ontario, Bavaria and other forex Gurus.

Boooooom, Haijachukua muda mitego imeshalipuka, What a steep bullish movement, Heheheheeee. Hii kitu ni raha sana ikiwa inaenda on your side

boom.PNG

CC: Ontario, Bavaria & all forex Gurus
 
Naomba ufafanuzi wakuu, kwenye MT4 unakuta muda unaooneshwa pale chini uko tofauti na muda halisi, umepishana dakika kadhaa wa kadha. Unaweza kuona sasa hivi ni saa 13:55 lakini muda unaooneshwa na MT4 ni 13:51.

Hii inasababishwa na nini na madhara yake ni yapi?

Weka current screenshot ya hicho unachokisema utasaidiwa kiuwepesi zaidi kulika kuweka maneno matupu.
 
HUU UZI UNAVYOKIMBIZWA NI HATARI JANA NIMELALA SAA NANE USIKU NIMEACHIA PAGE YA 156 LEO IMESHAGONGA 160
 
KIUKWELI HATUJAZOEA KUSOMA VITABU,NILISAFIRI NJE YA NCHI JIRANI TU HAPA KENYA NIKAKUTANA NA VITABU VIMETANDAZWA CHINI VINAUZWA KAMA MNADA WATU WENGI WALIKUWA WANAVICHAGUA MIMI NILIPITA KUSHOTO ILA KWENYE HUU UZI WA ONTARIO UMENIFANYA HADI NIMENDA MAKTABA KUTAFUTA VITABU DUH,WACHANGIAJI WA HUU UZI NI CHACHU YA KUWAFANYA WATU WENGINE WASOME,MIMI HAPA NIMEPRINT KABISA KWENYE HARD COPY NATEMBEA NAYO PEMBENI NIMESHIKA GAZETI NIKIENDA HOTELINI NINACHO,POMBE NIMEIPELEKA LIKIZO IKIRUDI INANIKUTA NIMEBADILIKA NA HAITANIKUTA MAANA NITAKUWA NIMESHAHAMA
 
MUMKARI TULIYO NAYO NI OVER SPEED INATAKIWA TUPUNGUZE MAANA GARI NI SPEED 180 ILA SPEED TUNAYOINDESHA HII GARI NI SPEED 360
 
MUMKARI TULIYO NAYO NI OVER SPEED INATAKIWA TUPUNGUZE MAANA GARI NI SPEED 180 ILA SPEED TUNAYOINDESHA HII GARI NI SPEED 360
Mkuu unahofu ya kuachwa na hii speed.. Haya ni mambo ya mwendo kasi.. Ukipunguza speed lazima uachwe..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Am very interested, my young bro (19) kanifundisha iqoption ndo nakomaa na demo saa hivi nna week bado sijapata hasara wala faida naendelea soma markets na kufanya analysis plus hii thread imenifungua sana. Hawa brokwr IQOption unawaonaje bro naona wa south pia na dunia wanawapenda plus 24 option.
Unaingiaje kupractise kwenye demo mi cjui pa kuanzia hebu nipe hints
 
Boss niwepo kwenye darasa pleeez...na icho kitabu kiko stationery gani nikakibebe?
 
Boooooom, Haijachukua muda mitego imeshalipuka, What a steep bullish movement, Heheheheeee. Hii kitu ni raha sana ikiwa inaenda on your side

View attachment 524374

CC: Ontario, Bavaria & all forex Gurus
Hehe mkuu naona unaenjoy!! At least huku you can see it coming kama mabomu yakitegwa vizuri

Angalia usije sahau Login Usernames na Passwords za wale wa kule kwenye saver errors [emoji23] [emoji23]

12 August is near, Save the date!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom