Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kifungulie kwenye computer yako halafu ondoa password protection ndio ukitume Tena [emoji848]
Naona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.
Kwakuwa wengine wameweza pata jaribu tena uone kama itawezekana.
 
Shukrani sana wakuu sisi wengine tunakamua tu vitabu na kupitia mawazo yenu, Bavaria Viking, Ontario mnanipa inspiration ya hali ya juu sana nikiona mnavyotoa maujuzi yenu humu naamini nami one day ntakua nawapa lesson wadau wengine. Mbarikiwe sana
 
 
Good job mkuu. Appreciate
 
Shukrani kwa mdau alietuwekea hapa hiki kitabu.

Shukrani kwa ontario
  • Nimeondoa password iliyokuwepo
  • Download attachment au tumia G.DRIVE link:Click Hapa

Naona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.
Kwakuwa wengine wameweza pata jaribu tena uone kama itawezekana.
Mimi bado,now kinasema error the document had 0 kb
Kina password soma post yangu vizuri bila password hakifunguki
mbona kinaitisha password?..
Hakifunguki hata ukiweka password
 

Attachments


Mkuu hiki kitabu ungekiweka Stationery yoyote tu hata huko huko Bagamoyo nitakifata na kukipiga copy. Au kiweke stationery yoyote ya karibu na ulipo mimi najitolea kukifata na kukipiga copy then atakayetaka copy atakuja maeneo ya jirani na CBE anatoa copy anakamua mzigo.
 
mkuu hicho kitabu, kama ulivyosema mwanzo weka stationery yoyote utakayoona inakupendeza. tena kama kaushauri ongea na uyo mwenye stationery kama anaweza kukufanyia mpango wa commision yoyote japo upate kavocha ka bando kidogo. sisi tutakifata hukohuko mkuu wetu.
 
Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.

Wakuu Bavaria ONTARIO nilikuuliza swali moja lakini naona labda hukuliona; ni hivi kwa live trading kutumia price action unatumia catalyst (Engulfin candles/pin bars/ Head and shoulders/Double top, Double bottom etc) moja kuingia kwenye position au unatumia multiple catalyst kufanya analyisis? Yani mtu unaweza uka master moja ukawa profitable au lazima uwe master wa Nyingi? Na unatumia ipi zaidi kufanya analyisis yako? Na exit zako unapangaje?
 

Dah, aisee inaonekana ndo chenyewe. Good job son.
 
Tayari kimewekwa hap juu.
 
hi Guys.i started this trade 10 yrs a go just after i graduated My bachelor degree .SI mchezo is is a long business 1000s of hours learning,and dedication from demo to Live account.I burned my account once.its is along journey dont risk the money you need.Ntashare historia yangu ya ups and down kwenye hii uzi ili tujifunze kwa pamoja.Thanks
 
Shukrani kwa mdau alietuwekea hapa hiki kitabu.

Shukrani kwa ontario
  • Nimeondoa password iliyokuwepo
  • Download attachment au tumia G.DRIVE link:Click Hapa

mkuu ontario embu tuambie kitabu chenyew ndio hichiii tuanze kukaza msuli au vp baba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…