the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
mkuu nimekifungua kwa simu..maybe ndio manakeHiyo sasa ni miujiza mingine ni hicho hicho na cover ni ile ile check vzr. Usiangalie kwa wenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nimekifungua kwa simu..maybe ndio manakeHiyo sasa ni miujiza mingine ni hicho hicho na cover ni ile ile check vzr. Usiangalie kwa wenge
yeah...kitu safi kabisa..kwa laptop kinafunguka tena cover ndio yenyewe kabisa..Mkuu kuwa patient kina 14MB hakiwezi kufunguka kama hakijawa downloaded completely.
Naona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.Kifungulie kwenye computer yako halafu ondoa password protection ndio ukitume Tena [emoji848]
Super Mkuu. Haya kazi kwako, ushindwe mwenyewe.yeah...kitu safi kabisa..kwa laptop kinafunguka tena cover ndio yenyewe kabisa..
[emoji106] [emoji106] mtu safiUsiku mwema wadau mi nilale, maana asubuhi kazini.
Nimevutiwa sana na Hii kitu lakini alivyomleta huyu nabii umenichanganya zaidi, Kuna thread upo humu ndani ukimjadili Prophet Bushiri na namna anavyodanganya watu. Japo kweli huyu Bwana ni Tajiri sana, Ikiona Binadamu anamiliki Ndege yake Binafsi ujue kweli ni tajiri
Good job mkuu. AppreciateA MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.
Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.
Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.
Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.
Kitabu hiki kinafunguka kwa password
Password: forexwinners.net
WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
Naona kinahitaji permission password ili niweze kubadilisha from password security to No security, ambayo mm sina.
Kwakuwa wengine wameweza pata jaribu tena uone kama itawezekana.
Mimi bado,now kinasema error the document had 0 kb
Kina password soma post yangu vizuri bila password hakifunguki
mbona kinaitisha password?..
Hakifunguki hata ukiweka password
Wajuzi waje watusaidie nzuri ni ipihivi reverage mmeweka ngapi je nzuri ni ipi ya 1:1 au 1:100 & above?
Shikamoo mkuu.[emoji125] [emoji125]
Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.
With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.
Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!
Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.
Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.
Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.Hapa screen shot ya cover page![]()
Hapa table of contents.![]()
Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.
A MILLION DOLLAR BOOK BY astroFX RECOMMENDED BY Pro Fx trader ONTARIO.
Wadau niwapendao sana ninafuraha sana kitabu nimekisakanyua mtandaoni mpaka nimekipata bureeee kabisa tena soft copy.
Tangu saa moja hv sikuwa online nimerudi home saa sita hv usiku ikabidi nipitie uzi pendwa FOREX nikasoma tangu nilipoishia awali na kukuta kaka ONTARIO ameachia jina, cover page na table of content ikabidi nisakanye internet. hv saa 7 usiku huu ndo kitu kinatick hichoo. Nimeona nisifaidi peke yangu niwapandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.
Yaani natamani nisilale nilianzishe na kitabu hiki pendwa sana lakini akili imechoka nitaanza nikiamka mdogo mdogo nikiwa job.
Kitabu hiki kinafunguka kwa password
Password: forexwinners.net
WE ARE PROUD OF YOU ONTARIO.
Tayari kimewekwa hap juu.Mkuu hiki kitabu ungekiweka Stationery yoyote tu hata huko huko Bagamoyo nitakifata na kukipiga copy. Au kiweke stationery yoyote ya karibu na ulipo mimi najitolea kukifata na kukipiga copy then atakayetaka copy atakuja maeneo ya jirani na CBE anatoa copy anakamua mzigo.