Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza soma uelewe forex!!Kama Nina USD 1000 nianzie wapi? Yaani naanza kufanya nini cha kwanza wakati naanza hiyo biashara?
Samahani mkuu nimekwisha omba radhiUnajua ina udhi sana unakosa uvumilivu hadi unatoa tusi kubwa namna hiyo, ulitaka tukisifie?
Cc ONTARIOKaka ontario je wewe ni broker gan unatumia apa bongo? Na unawithdraw vip cash yako?
Mkuu kabla sijakujibu swali lolote uliloniuliza, naomba uniwekee hapa ni wapi mimi nilikutukana na kukushambulia kwenye huo uzi wako unaousema.. Nitashukuru sana kama utafanya hivyo boss, na mimi nitajibu maswali yako yote pamoja na vivid evidences ya kwamba ninachokiongea si tu nabashiri au nazusha bali nimefanya hivyo vitu na bado navifanya na nina uelewa mpana sana kwenye Management Accounting..
Brokers wengi wa Forex wanakuwa na maneno mazuri sana na motivation kibao kama unavyofanya wewe hapa, lakini ukijitusu kuingia huko na ukiwa huna uelewa wowote unaishia kupoteza pesa bure.. Lakini kitu kingine nilichokinotice kwako, wewe ni Motivator mzuri sana lakini siku zote naona ukiwa unawashambulia watu ambao wako against mawazo yako.. Naona kila ambacho wewe unakiona unataka na wengine wakione hivyo hivyo, hilo sio sawa hata kidogo..
Nangoja uniwekee uliposema nimekutukana na kukushambulia boss..
Nimekupata arifu! Nimesitisha zoezi! Nadhani kwa sasa acha niendelee kujifunza basic za forex na ku practice kwenye demo/virtual account ili nikuze ujuzi!!Good things need patience boss wangu, comment kama hizi niliziona zinakuja wakati naandika thread ndio maana nikasema tuwe wavumilivu hadi nitakapotoa thread mpya ya nini kifuate.
Mimi ni hustler, najua maana ya 'jua' najua maana ya 'jasho' najua jinsi gani ilivyo ngumu kupata pesa na ninajua jinsi gani inauma kupoteza pesa. Sitaki uingie kwenye forex ukapoteza pesa ulioitolea jasho juani ndani ya dakika kadhaa. Ndio maana nikasema tusubiri kila kiti kiwe tayari. Najua maana ya kupoteza pesa, mimi nimepoteza karibu mil 20 Tsh, sitaki na wewe upoteze pesa ulioisotea kwa shida.
Lkn kama unahisi uko vzr naweza kukupa hizo details unazotaka.
Ubarikiwe ndugu yangu!!Binafsi Katika pita pita zangu nilikutana na ebooks hizi ambazo ni muhimu katika jinsi ya kutrade forex.
Pakua hapo[emoji116]
Acha watu wajifunze,inawezekana kati ya watu 300 wakaelewa watano itakuwa ni mafanikio makubwa tatizo letu la kuogopa risk tutajikuta tumezeeka with nothing na hizo risk huwa zinapunguzwa kwa kuwa na awareness kama hiziMkuu kabla sijakujibu swali lolote uliloniuliza, naomba uniwekee hapa ni wapi mimi nilikutukana na kukushambulia kwenye huo uzi wako unaousema.. Nitashukuru sana kama utafanya hivyo boss, na mimi nitajibu maswali yako yote pamoja na vivid evidences ya kwamba ninachokiongea si tu nabashiri au nazusha bali nimefanya hivyo vitu na bado navifanya na nina uelewa mpana sana kwenye Management Accounting..
Brokers wengi wa Forex wanakuwa na maneno mazuri sana na motivation kibao kama unavyofanya wewe hapa, lakini ukijitusu kuingia huko na ukiwa huna uelewa wowote unaishia kupoteza pesa bure.. Lakini kitu kingine nilichokinotice kwako, wewe ni Motivator mzuri sana lakini siku zote naona ukiwa unawashambulia watu ambao wako against mawazo yako.. Naona kila ambacho wewe unakiona unataka na wengine wakione hivyo hivyo, hilo sio sawa hata kidogo..
Nangoja uniwekee uliposema nimekutukana na kukushambulia boss..
Boss! Sijawahi kuanza kitu na kuishia njiani. Never. Nimedraft kila kitu until to the end. Najua forex ni biashara ambayo ina uncertainties zake nyingi, lkn once umemaster basi umeimaster mazima.Naona watu wamepata hamasa ya hatari. Hivi ni Mimi ndio sielewi au wadau humu ndani ndio wamepata mihemko? Watu wapo busy kuangalia profits wanasahau kuwa mwenye uzi alisoma vitabu 6 Tena kwa kuelewa mstari kwa mstari huku akiwa na mtu wa kumpa miongozo. Hii kitu sio ya kulala na kuamka tajiri, msiwe na matumaini makubwa hivyo mtakuja kupata presha bure
Nina hakika katika hao watu 300 ni watu wasiozidi watano tu ndio watakuja kuwa traders wazuri maana sio kwa mihemko hii
Ningekuwa Mimi ndio nyie ningejipa Mwaka wote huu kwa ajili ya kujifunza lakini pia ningesoma sana stori za watu walio filisika kwenye hii biashara.
MUWE WAVUMILIVU msiweushwe na mafanikio ya Ontario. You have been warned
NB: hongera kijana Ontario, utafanikiwa kwa nia yako ya kusaidia wengine. Mimi nitaingia mkataba na wale ambao watakuwa cream/vichwa kwenye Darasa lako la watu 300, nawapa hela ya kuanzia warudishe kwa riba [emoji1]
You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.