Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utatumia vigezo gani kupata watu wa mwanzo? Maana na mo natakaBoss! Sijawahi kuanza kitu na kuishia njiani. Never. Nimedraft kila kitu until to the end. Najua forex ni biashara ambayo ina uncertainties zake nyingi, lkn once umemaster basi umeimaster mazima.
Sipo tayari kuona watu wanapoteza pesa zao kisha mimi nibebe lawama, sipo tayari darasa la watu 300 watu wa5 tu ndio wafanikiwe. I will be so stupid, kupangisha office space kwa $3000 kwa mwezi kisha watu wa kwanza wakaenda kunitangaza negatively.
Moja ya nguzo kubwa ni guidance, tutafungua group labda WhatsApp ama telegram na kuhakikisha trade ambayo mimi naingia ndio trade watu wote wanaingia. Kama hao watu 295 wakipoteza pesa zao basi mimi niwe wa 296. Kama umewahi kufanya trading kuna kitu kinaitwa signals, yani hii ndio kama inakuwezesha kuingia na kutoka kwenye trades. Mimi na team yangu tunaweza kutoa hizi signals pamoja na analysis wakati watu wanapiga pesa wakati huo huo wanajifunza kutrade kwa skill zetu.
But thanks kwa kutukumbusha kua Forex si rahisi, inahitaji dedication sana, kujifunza sana, masaa mengi ya kukesha na kuelewa kila kitu. Lkn uzuri ni kwamba kama una right mentors kazi inarahisishika zaidi.
Aisee kwa comment hii mkuu umeniguarantee kabisa juu ya hii biashara na Inshaallah nikipata upenyo wakusoma kwenye darasa lenu naahidi kukutangaza vyema hadi huku kwetu kwa wachimbaji nao waone njia ya kuboost mihela iliyolala huku daah!! Keep it up mzee wa kazi.Boss! Sijawahi kuanza kitu na kuishia njiani. Never. Nimedraft kila kitu until to the end. Najua forex ni biashara ambayo ina uncertainties zake nyingi, lkn once umemaster basi umeimaster mazima.
Sipo tayari kuona watu wanapoteza pesa zao kisha mimi nibebe lawama, sipo tayari darasa la watu 300 watu wa5 tu ndio wafanikiwe. I will be so stupid, kupangisha office space kwa $3000 kwa mwezi kisha watu wa kwanza wakaenda kunitangaza negatively.
Moja ya nguzo kubwa ni guidance, tutafungua group labda WhatsApp ama telegram na kuhakikisha trade ambayo mimi naingia ndio trade watu wote wanaingia. Kama hao watu 295 wakipoteza pesa zao basi mimi niwe wa 296. Kama umewahi kufanya trading kuna kitu kinaitwa signals, yani hii ndio kama inakuwezesha kuingia na kutoka kwenye trades. Mimi na team yangu tunaweza kutoa hizi signals pamoja na analysis wakati watu wanapiga pesa wakati huo huo wanajifunza kutrade kwa skill zetu.
But thanks kwa kutukumbusha kua Forex si rahisi, inahitaji dedication sana, kujifunza sana, masaa mengi ya kukesha na kuelewa kila kitu. Lkn uzuri ni kwamba kama una right mentors kazi inarahisishika zaidi.
Nashukuru kwa kugundua sio mimi, siwezi kuwa na ujinga wa namna hiyo boss.. Leo naomba nisiongee sana, lakini hizi mambo nilianza 2012 kuna mtu aliniapproach nikaanza kufanya hivi vitu kupitia yeye ambaye at that time alikuwa UK na kampuni yao ilikuwa ikiitwa SO Finance Trading waliyoisajili UK.. Nilipoanza nilianza kupiga pesa kidogo kidogo kwakuwa walikuwa wakinisaidia kutuma trades through WhatsApp.. Nilianza na pesa ndogo ndogo ili nione uhalisia wao, nikaja nikatrade kiasi kikubwa kidogo na ikaonesha nimegain profit, sasa kwenye kulipwa hapo ndio ilikuwa kimbembe.. Mkuu nilikaa mwezi mzima jamaa kwenye Account yangu inasoma pesa ipo lakini nikitaka kuwithdraw mshiko hautoki. Nilisumbuana nao sana mwisho wa siku nikaachana nao.. Hii ili ujue sio uzushi nilishaiongelea humu kama si mwaka jana basi ni mwaka juzi na nitajaribu kuitafuta hiyo post nikuwekee hapa..Hahaa boss nimefatilia ule uzi, nimekuta kumbe nimechanganya na mjomba fulani anaitwa laki si pesa - huyo jamaa kila akinikuta lazima anirushie maneno ht km hayako relevant. ID zenu kama zinataka kufanana, huku fisadi huku lakosipesa so usipotulia unaweza kuchanganya. Nisamehe kwa hilo boss wng.
Pili, nakuna kitu nachukia kama empty words, unakuta mtu anaongea ama kupinga kitu bila fact. Mtu kama huyu hua namwambia wazi, wala simaanishi nafeel offended kua challenged or something. Mfano! Kuna thread yangu fulani kuna mtu mpvmbavu anakuja anasema ananifahamu mimi hadi umri wangu, na kwamba nadanganya watu kuhusu hilo na blah blah.
Kitu kama hiki si challenge, bali ni kama kuexpose upuuzi wa huyo mtu, ndio maana kabla mtu kama huyo hajaaminisha watu upuuzi wake nakua mkali with tangible facts. Uzi ule kama uliona nilipost hadi passport yangu kuonesha jinsi gani alivyo mpuuzi.
Turudi kwenye mada yetu.
Boss twende pole pole, wapi wewe ama mtu unamfahamu aliweza kuibiwa na accredited broker wake, yani hii dunia ya leo. Like serious come with tangible proofs mimi pia niko tyr kujifunza zaidi. Pia narudia kuomba msamaa kwa kukuchanganya na mtu mwingine.
Wazo la nne
Si hata wazo la msingi sana, hahaa. Sijui niandike nini, lkn nachotaka kumaanisha ni usiwe mchoyo, kama kuna rafiki yako wa faida unahisi inabidi aone huu uzi usisite kumtag.
Ni bora tukaepuka kuQuote huu uzi, ni mrefu sana sana, yani ukiquote unatusumbua sana ambao tunatumia simu na gadgets zingine ndogo ndogo.
Karibuni kwaaliji ya ku discuss.
Updates
Moja ya ombi la msingi ambalo nimeona watu wengi wanaulizia ni - "Ontario ni kitabu gani naweza kuanza nacho?"
Kila mtu ambae yupo interested atafute kitabu kinaitwa Currency trading for Dummies: Kimeandikwa na Brian Dolan 2nd Ed ndio poa zaidi. Cover yake ni kama changano then kuna dunia hivi inaramani za nchi mbali mbali.
Mkuu Ontario..
Mpaka nimekupm kimyaa asee
Niko serious na hela eti mwenzio
Mkuu Ontario..
Mpaka nimekupm kimyaa asee
Niko serious na hela eti mwenzio
Nimekipata kabisa kiongozi wangu.Nashukuru kwa kugundua sio mimi, siwezi kuwa na ujinga wa namna hiyo boss.. Leo naomba nisiongee sana, lakini hizi mambo nilianza 2012 kuna mtu aliniapproach nikaanza kufanya hivi vitu kupitia yeye ambaye at that time alikuwa UK na kampuni yao ilikuwa ikiitwa SO Finance Trading waliyoisajili UK.. Nilipoanza nilianza kupiga pesa kidogo kidogo kwakuwa walikuwa wakinisaidia kutuma trades through WhatsApp.. Nilianza na pesa ndogo ndogo ili nione uhalisia wao, nikaja nikatrade kiasi kikubwa kidogo na ikaonesha nimegain profit, sasa kwenye kulipwa hapo ndio ilikuwa kimbembe.. Mkuu nilikaa mwezi mzima jamaa kwenye Account yangu inasoma pesa ipo lakini nikitaka kuwithdraw mshiko hautoki. Nilisumbuana nao sana mwisho wa siku nikaachana nao.. Hii ili ujue sio uzushi nilishaiongelea humu kama si mwaka jana basi ni mwaka juzi na nitajaribu kuitafuta hiyo post nikuwekee hapa..
Nikapumzika haya mambo kwa 6 months ndipo nikarudi tena, nikaanza trade na 24 option na ndio mpaka sasa natrade nao ingawa nafanya hivyo wakati nikiwa na muda tu maana this things are very complicated.. All in all, ushauri wangu ni mwepesi sana, kama wewe binafsi utawasaidia basi ni vyema.. Lakini kwenda kama learner ukianza hizi vitu utajifilisi tu..
View attachment 514980
Huu ndio uungwana sana mkuu na umefanya vyema sana..ubarikiweSamahani mkuu nimekwisha omba radhi
Now we are talking the same language.. Hii inaitaji u'devote muda na uwe more than active day in day out.. Na hicho ndicho nilishauri pia kwenye post yangu ya kwanza kabisa..Nimekipata kabisa kiongozi wangu.
Kwanza niseme kitu kimoja, sijui kama nipo sahihi sana, bankers wapo humu watatusaidia.
Pesa ukitumiwa hadi ikareflect kwenye local bank account yako na ukashindwa kuichomoa basi hapo tatizo liko kwa bank service provider wako. Yani mpk pesa unaiona kisha huwezi kuichomoa, I bet hao ni bank na mbinu zao za kukukimbiza usifanye forex, yani uhisi ni tango pori. Hawa jamaa wanatumia mbinu nyingi kama hizi.
Pili, nahisi kitendo cha wewe kutokuchukulia trading serious ndicho kinakufanya usiwe profitable. Hii ni kazi/biashara kama biashara zingine, huwezi ukafungua restaurant afu leo unafungua kesho haufungui. Au huwezi ukawa umeajiriwa J3 unaenda kazini J5 na ijumaa unalala maskani. It doesn't work like that.
Afu kama sikosei boss nahisi unachokifanya si forex trading bali ni binary options. Sijui kama unanielewa.