Kaka naomba lini ya YouTube nimuone ontario plsmkuu hongera , nimefanikiwa kuangalia video zako za interview youtube , no wonder you did what you did , wewe ni mtu wa kipekee sana, God bless you brother
Doh aiseee safi sana kwake ,kiukwel ni hustler na mie nafuata huko mdogo mdogo nameza vitabu
Keep it up ontario,umetufungua macho wengi sana kwenye hii issue
.....af Ontario ni level nyingine!!! Hana haja ya kujibishana nao.....matokeo ya darasa yatajibu..... Action speaks louder than words!!!Kwa vielelezo alivyoonyesha Leo Ontario ,hao wapinzani wetu wa hii project TANZANIA FOREX CLUB ,wanatakiwa wajipange upya,inaonyesha hivyo ni vitu vichache tu alivyotuonyesha,nimehamasika sana Leo nimelala SAA 7:30 ucku,nawatakia ucku mwema
Mkuu Heshima yako,Kaka naomba lini ya YouTube nimuone ontario pls
Unazingua unapo quote thread ndefu kiasi hiko mkuu. Comment yako itaonekana tu hata usipoquoteM
"Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's gonna be FREE! namaanisha 100% FREE" Lini inaanza mzee, i'm interested to join boss!
Kaka.. Inakuwaje unijibu swali ambalo hujaulizwa wewe alafu unaniita mnafiki wakati niliye muuliza swali ni mwingine?? Nimemuuliza swali huyo aliye sema kuwa kamuona ontario YouTube.. Sasa inakuwaje unitukane mm ndugu?? Unasema Ontario haja come out official izo picha alizo post ni mama yako ndio kazipost au makaliyo yako ndio yame shindwa kuelewa post kabla ya kunilipukia na kuniita mnafki ??Mkuu Heshima yako,
Issue ni kwamba, ONTARIO babo haja come out live...
Hata kama una hints kidogo kuhusu yeye huwez kushare...
Binafsi naona Itakuwa ni unafiki mkubwa kuwa kushared na mtu yeyote yule for the time being...
Advice, just go through ONTARIO'S posts and connect the dots on your own....
kwa jana nimepata moyo sana wa matumaini, nimefanya trade kwenye demo ndani ya masaa mawili kwa kuanza na mtaji wa dollar 500 hadi kutengeneza dollar 108,000. hizi hasira hazijawahi kumuacha mtu salama.
mimi nina miaka 60 na nategemea nitumie kiinua mgogo changu kuingia kwenye hiyo biashara je?nitakuwa nimechelewa kwa ajili ya umri wangu?
kwa jana nimepata moyo sana wa matumaini, nimefanya trade kwenye demo ndani ya masaa mawili kwa kuanza na mtaji wa dollar 500 hadi kutengeneza dollar 108,000. hizi hasira hazijawahi kumuacha mtu salama.
sory i mean ijumaa. asante kwa kunirekebishaMkuu market huwa inafungwa ijumaa mpaka j3 wewe mwenzetu Jana jumamosi ulikuwa una trade soko lipi hilo? Au Mimi ndio sielewi? [emoji848]
sory i mean ijumaa. asante kwa kunirekebishaMkuu verykeys jana ilikuwa siku ya jumamosi na soko limefungwa tangu friday 10P.M. hadi monday 10P.M. WEWE UMEFANYIA WAPI TRADE ZAKO NA WAKATI SOKO LIMEFUNGWA? (weekend gap)
Ukiachilia mbali soko kufungwa....! from $500 to $108000 really....!!!Mkuu market huwa inafungwa ijumaa mpaka j3 wewe mwenzetu Jana jumamosi ulikuwa una trade soko lipi hilo? Au Mimi ndio sielewi? [emoji848]
sory i mean ijumaa. asante kwa kunirekebisha
sory i mean ijumaa. asante kwa kunirekebisha
Mkuu mbona kma umepaniki.. Inamaana kiswahili nikigumu kisihicho.. Kama hali ndio hii hiyo forex tutaelewa kweli.. Me sijaona mahali mdau amekuita "mnafiki". Ila amesema itakua ''unafiki." ebu tukuweni na busara wadau.. Tujifunze kusoma post kwa makini na sio kwakukurupuaKaka.. Inakuwaje unijibu swali ambalo hujaulizwa wewe alafu unaniita mnafiki wakati niliye muuliza swali ni mwingine?? Nimemuuliza swali huyo aliye sema kuwa kamuona ontario YouTube.. Sasa inakuwaje unitukane mm ndugu?? Unasema Ontario haja come out official izo picha alizo post ni mama yako ndio kazipost au makaliyo yako ndio yame shindwa kuelewa post kabla ya kunilipukia na kuniita mnafki ??
Kunahaja ghan yakujipendekeza kwa Ontario kuwa kama wewe ndio msemaji wake??
Achakujibu jambo ambalo huja lielewa kama mtu kashapost picha zake na baadhi humu tusha muona unataka acome out official kivip??