Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Daaaah hngera bro, yan umezidi kunitia hamasa ya kua somebody in the future coz kias kama tunalingana umri and i'm waiting to be employed after my bachelor...
Salute boss
 
Mkuu Ontirio wewe ni mtu wa aina gani, nimekutana na watu wengi sana wa tofauti but wewe umepitiliza kaka. Najua ungeweza tu kukaa chumbani na kupiga utajiri mkubwa sana, lakini umeona bora ushee na kila mtu.si kila mtu anaweza kufny hivyo kaka. Mungu akutie nguvu, akuongoze, akuzidishie pale unapotoa, akupe marafiki zaidi, zaidi ya yote tupo pa1 sana. Nasubiria classes za kulipia... nitaandaa $500 kama mtaji na $300 kama fees.... [emoji111] [emoji111] [emoji106] [emoji106]
 
Mkuu nipo na demo account ila bado sielewi jinsi ya kuset viwango vidogo...nipe maujanja ni kweli hayo madola mengi hayana uhalisia kabisa!!
Ukiwa unafungua account kuna sehem ya mwanzon kabisa pale unapoweka jina...kwa chin kuna sehem ya kiwango unachotaka kuset!! Sasa hapo hapo chagua cha chin kabisa!! Account ya pesa nying ni nzuri ila kama unataka kuanza na 1mil dola[emoji23][emoji23][emoji23]...kama no mwenzang na mie tuanze na hizi za pesa ndogo ndio utapa uhalisia kidogo!!

Fungua account mpya ndio utaweza kuset!!


Karibu mkuu!
 
Kibali: approval

Kitabu kilichowekwa hapa cha Art of techninal analysis ndicho ninachokizungumzia. Ni kitabu chepesi sana sana sana, yani inabidi hiki ukisome ukielewe.

Kina charts nyingi sana, zielewa vzr maana hizo charts ndizo utakutana nazo ukianza kutrade... hiko kitabu ni kitamu sana, na mm nimetoa --go ahead, kipakue then anza kukisoma pole pole. Hiko ukiwa unakisoma we mwenyewe unasikia utamu.
Hakika kitabu hiki ni kitamu, kinakupa hamu ya kuendelea kujisomea. Lugha iliyotumika ni nyepesi
 
hii ni tabia ya dada zetu, haipaswi kuwa hili jambo limefanywa na mwanamme. Katika hili kama aliyelifanya ni mwanamke basi tutamuelewa. Ila kama ni mwanaume, huo uwanaume wake unatia shaka.

tulishasema humu, pesa tutakayotumia katika hii issue ni zetu, msione wote tuliodedicate katika hii biashara ni hatuna akili ama hatuna shughuli, wengine tuna shughuli zetu nzuri tuu lakini tumevutiwa na hili jambo.

kila mtu humu ni above 18 years, ana uhuru wa kuamua mambo kwa mustakabali wa maisha yake. Hakuna mtu aliyelazimishwa amtolee mtu pesa, hakuna aliyelazimishwa amsomee mtu, hakuna aliyelazimishwa amfundishe mtu hivyo haina maana kufanyiana mambo ya kidada.

kama umeshindwa kukaa chini ukajisomea vitabu na kuelewa content, just kaa kimya waache wenye nia waendelee.
Ukishindana na mpumbavu na wewe unakua mpumbavu vilevile kama yeye no matter how far you are, ignore mambo ya kipumbavu na usitegemee kusifiwa tu hata kama upo perfect..

Dunia ndio ilivyo
 
Pole sana mkuu kwa baadhi ya watu ambao wanataka kuharibu siku yako na pengine kukuaktisha tamaa kwa sababu wanazojua wao, cha msingi mi naomba tu uweze kuomba mungu akuepushe jazba sababu we sasa hv kwa status yako hufai tena kutumia lugha kama hizi waachie wao tu ila cha msingi we usiyumbishwe na wapita njia endelea na sisi abiria wako yani kwa msisitizo WE NI KAMA BABA GWAJIMA NA WAFUASI WAKE ATA AFANYE NEXT SUNDAY NYOMI LINAZID ATA LAST SUNDAY but mkuu usinisahau kwenye hiyo 150 please and relax mkuu ata YESU alipingwa sisi tu focus tu then kale kamsemo kako kwa watakaojaaliwa na mwenyezi mungu plus juhudi zao TIME WILL TELL . # USINISAHAU 150.
Unacheza rafu!!!.....umejipigia mno promo!!! [emoji1] [emoji125] [emoji125]
 
the very first day i saw this thread i totally believed in it..honestly speaking,i saw some light in it..and i have been working so hard coz i believe this is the chance the Lord has made..not just me but most of us..this Gentleman,Ontario,is a true defination of kindness...not everyone will reveal their financial sources to everyone...but this young man has really proved them wrong...i believe in you Ontario...i believe that you are the instrument of change in our societies..and my Hope is that,WE SHALL ALL GET THERE..wasemao na waseme..kelele za chura hizooo...tutazidi kusonga mbele..Napenda kuuita mwendo wetu Mwendo wa vipara...hahaa...Ontario mkuu,tukaze buti ili kesho waliosimanga leo wavae majezi ya aibuu....let us work hard...everybody who got inspired by this..let us keep the pace..lets keep moving...siku ya siku watatushangaa tukiingia kwa ndege tukiongozwa na mkuu Bavaria kuelekea SA..hahaaa...

waache hao mkuu..lets concentrate on our main interests...
 
Weekend motivationNikawa nampiga pindi kila siku masaa mawili kwa wiki 2 mfululizo, namuonesha ninavyotrade nk nk, nikamfungulia demo ya 1000 nikawa namtest skills zake.

Sasa J5 nikamwambia aweke pesa aliyonayo ajifunze kutrade, nilikua nahofia sana kwamba ataweza kuunguza account siku ya kwanza, but I just gave him confidence. Akatafuta pesa akapata km dola 150, nikamwambia aongeze zingine 150 ili iwe 300 ili aweze kutrade bila hofu na kupunguza probability ya kuunguza account (kadri account inavyokua ndogo ndio rahisi kwa mtu kuipiga kiberiti). Lkn dogo akasema hapo ndio mwisho wake.

Nikamwambia afanye afanyavyo lkn asitumie lot size kubwa zaidi ya 0.01. Jana ijumaa ndio ametrade kwa mara ya kwanza, na leo ndio akanitumia screen shot hii (nimeiedit ili kuficha baadhi ya info zake)
Hii imenipa motivation sana, hapa ni kama kagonga 5% ya balance yake... hii ni kama 14,000 kaipata kwa muda mfupi sana, hajatumia nguvu nyingi zaidi ya knowledge - ndio pesa ni ndogo, lkn ni wangapi wamenunua bajaji kwa mil 7 na kwa siku hawapati elfu 15??.

Mtu kama huyu mdg mdg ataanza kupiga 20,000 per day, atakuja 30,000 per day atafika kipindi anapiga mshahara wa Professional lawyer au auditor per day. Ni matter of time of learning more about the market na kua mvumilivu.

this boy is a pure definition of a hustler - hana masters, hajasoma international finance, hajui hata definition ya micro economy but he's hungry for knowledge. That's all he has!!

Cheers!! Happy weekend bosses!!

[emoji123] Yes, I can.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Unacheza rafu!!!.....umejipigia mno promo!!! [emoji1] [emoji125] [emoji125]

Promo muhimu mkuu lakini ye alisema vigezo vitatumika siimanishi nipate nafasi ya upendeleo bali kwa vigezo vile vitakavyotumika kama nitakosa sio mbaya pia, samahani lakini kama nimekukwaza ila ni namna tu ya kuonyesha uhitaji wa kuhudhuria mafunzo pamoja na kumpa moyo mdogo wetu ONTARIO asivunjike moyo mkuu.
 
Wakuu naomba mnisaidie image zilizoko katika kitabu cha astrofx page no 33. Natanguliza shukrani
upload_2017-6-17_21-42-10.png


upload_2017-6-17_21-42-40.png
 
Ukishindana na mpumbavu na wewe unakua mpumbavu vilevile kama yeye no matter how far you are, ignore mambo ya kipumbavu na usitegemee kusifiwa tu hata kama upo perfect..

Dunia ndio ilivyo
vipi mkuu...siku nyingi sijaskia kutoka kwako baba..
 
Lkn siku zotenajiuliza sana, kuna furaha gani kuaccumulate pesa zoooooote afu siku ukifa unaziacha watu wanazigombania. Kuna haja gani ya kuwa na pesa kwa nia ya kutafuta sifa watu wakulambe miguu na kukuona mfalme. Kuna faida gani kuzungukwa na majirani wasio na uhakika wa milo miwili kwa siku huku wewe mbwa wako anakula balanced diet - ni kama UCHAWI aisee. Hivi kuna haja gani mtu uondoke duniani kama ukivyokuja, yani hata ukifa hakuna anayesikitika... it's cr*p
Umesomeka vyema kabisa.

Ni wacheche wenye huu moyo wa kutoa bure.
 
Promo muhimu mkuu lakini ye alisema vigezo vitatumika siimanishi nipate nafasi ya upendeleo bali kwa vigezo vile vitakavyotumika kama nitakosa sio mbaya pia, samahani lakini kama nimekukwaza ila ni namna tu ya kuonyesha uhitaji wa kuhudhuria mafunzo pamoja na kumpa moyo mdogo wetu ONTARIO asivunjike moyo mkuu.
Usimaind brother.....amani amani[emoji111]
 
What Makes Forex Exceptional?
HIGH LIQUIDITY
Forex is the biggest financial market in the world with a trading volume of over $4 trillion a day. This makes it 53 times bigger than the New York Stock Exchange’s daily trading volume. In such a liquid market, you have instant access to money as you can sell your investment quickly and at fair market price.
Forex Advantages | Intraday Trading
 
Huyu mtu alianzia humu kwenye thread akasema picha ulizoweka sio zako alivyo ona hujamjibu naona ndio kaenda kwenye pm za watu. Binafsi pia kanicheki nikamshukuru kwa taarifa na nikamuliza kama ulishawahi kumtapeli akasema hapana na kunipa sababu zisizo na mashiko

Huna haja ya kutukana maana mwisho wa siku kutakuwa hamna tofauti kati yako na wao. Wenye akili tumeshajua Nani hajitambui kati yako na wao ndio maana comment nyingi zilizo kuwa zinapinga hili wazo humu ndani hazijafanikiwa. Ukitaka kumtupia jiwe kila mbwa unaye kutana naye njiani huwezi kufika Safari yako
Kwanini msimdisclose huyo mwanga tumjue?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom