Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
KUHUSU VITABU,KUNA MDAU TUKUTANE AKIWA NA SOFTCOPY ATOLEE HARDCOPY THEN NILIPE HAPOHAPO STATIONERY ,NAMSHUKURU KWA MOYO WAKE WA UPENDO,NAAMINI WATANZANIA TUKIENDELEZA TABIA HII TUTAFIKIA KIWANGO CHA JUU CHA UKOMBOZI WA KIUCHUMI WA TAIFA LETU,NAWAPENDA WOTE WADAU WA UZI HUU,NA SALUTE KWA COMMENTS ZENU ZOTE,SOMA SOMA SOMA !!!! NEVER GIVE UP
 
kaka mkubwa kitabu tayar mda sana. na pia kama kusoma post tu ni shida kaka utaweza kusoma kitabu mkuu wangu. pitia pitia utakipat.
asante na karibu tena
Vitabu hapa ndio kwenyewe, ME ni moja ya bookworms hatari sana. sema nilikua nasoma post mojamoja taratiibu toka nilipoishia ndio mana

ila tayari nimekipakua kipo kwenye list ya book to print maana napenda kutafuna hardcoppy
 
Nimesoma post zote ngoja nianze kusoma vitabu afe kipa afe baki lazima kutoboa
Thanx ONTARIO kwa hii mada
 
Kitabu nimepakua lakini hakionyeshi image zozote kina maandish tu
 
WE kanyaga twende..... hiyo ni bunduki hata kama ina kutu we fyatua... as long as u got a genuine book recommended by Mr Ontario why do fear again, we ain't got time to linger.
Mkuu zile charts ndo hazionekani pia.
 
Nilishaisikia hii kitu ila sijawah kujua ni nini. Am so imperesses na ningependa kuijua zaidi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wacha nikucheke kidogo...hiyo impresses yako imenifurahisha sana...nahisi ulitaka kuandika impressed..najua huenda ikawa typing error but jina limetokea dizaini moja ya kuchekesha..anyway hujachelewa kaka..hapa utashiba maujuzi tele
 
Duuuh haya mkuu!!

Mi naomba tuendelee kujifunza na zaidi ya yote tujifunze kutokana na makosa hasa ya wengine!!
Kuna makosa mengine ukiambiwa haiingii akilini mpaka upate maumivu Kidogo.....usijali sana.....na wewe hutakuwa wa mwisho kwa hii shuhuda.....wait n see
 
Mkuu zile charts ndo hazionekani pia.

unatumia device gani? kama unatumia sim jaribu kutumia computer utaweza kuona hizo chart vizuri....kama bado tatizo litaendelea the best option is to print it and have your own HARD COPY.
 
Wakuu nina maswali machache yanayonisumbua hapa baada ya kupitia pitia vitabu

1. Kwanin unapochora Trend lines haishauriwi line ikatize kwenye doji candles

2. Hesabu gani inatumika kuchora resistance na support lines?..hapa namaanisha kunakuwa na tofauti ya pips ngapi ?
 
Wakuu nina maswali machache yanayonisumbua hapa baada ya kupitia pitia vitabu

1. Kwanin unapochora Trend lines haishauriwi line ikatize kwenye doji candles

2. Hesabu gani inatumika kuchora resistance na support lines?..hapa namaanisha kunakuwa na tofauti ya pips ngapi ?
Lkn kwa nn upoteze muda kufanya kitu ambacho tayari zipo ready made, hizi trend lines nk nk zipo millions ambazo zimefanywa kwa uhakika na kwa technologia ya kisasa so kukaa chini kuanza kufikiria haya yote ni sawa kuoiga hatua nyuma wakati wenzako wanaenda mbele, hatutaendelea.
Tunachotakiwa kufanya ni kufanya application ya technologia ambayo tayari ipo na sio kupoteza muda kudevelop na mbaya zaidi data unazotumia ndio hizo hizo za hao wwnye hizo trendlines. NI MAONI YANGU TUU KUTOKANA NA USHAURI WA WATAALAM.
 
KWA USHAURI BORA MTU KUTRADE HELA HALISI AMBAYO HATA BAADAE ANAWEZA KUIWEKEZA KWENYE UHALISIA,MIMI NACHEZA NA DOLLAR 50
Unatumia broker gani mkuu, maana market maker ndio wanaruhusu hiyo dollar 50
 
unatumia device gani? kama unatumia sim jaribu kutumia computer utaweza kuona hizo chart vizuri....kama bado tatizo litaendelea the best option is to print it and have your own HARD COPY.
Sasa kama kwenye simu hazionekani uandhani ukiprint ndio picha zitaonekana
 
Please friends, mtu yoyote akikutumia PM about Ontario, please nicheki kwa PM yangu. Hii sio sawa kbs!! Sikatai kuwa challenged, sikatai kuitwa mwizi, sikatai kuitwa majina yote - fanya hivyo lkn nitengenezee space ya mimi kujiteteta.

Otherwise I wish all you a nice weekend bosses.
Pole sana mkuu.

I can feel your pain.

Tuko pamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom