mathewa
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 780
- 1,171
Shukrani mkuu. Usinichoke. Kitabu change hakuna image. Nikiomba tena na imani utanisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu. Usinichoke. Kitabu change hakuna image. Nikiomba tena na imani utanisaidia
Download app nyngne ya kusoma vitabu kutoka google playstore km unatumia adroid. Izo image zitaonekana. Surely aina ya app unayotumia ndio kisababshiShukrani mkuu. Usinichoke. Kitabu change hakuna image. Nikiomba tena na imani utanisaidia
download adobe reader utaona pichaShukrani mkuu. Usinichoke. Kitabu change hakuna image. Nikiomba tena na imani utanisaidia
Ushauri!ontario,
Mimi sijawahi fanya trading ya hii mambo. Nafikiria namna ya kujiunga, katika pekua pekua ya mtandao nimekutana na mataarifa kibao sasa sijui yupi ndo broker user friendly nianze kujifunza!.
Kuna brokers wanajiita XTRADE naweza pata recommendation yako, naona wananiandikia emails mfululizo.
Hongera sana mkuu kwa kuwa na moyo huo wa kusaidia wengine, Amini Amini, kwa njia hiyo utafanikiwa zaidi. Maana siri kuu ya mafanikio ya kweli ipo katika kutoa.Hayo ya kuchafuana yamepita - tupeane ushirikiano in case of anything!!
Weekend motivation
Hua sipendi kabisa kupost screen shots za trades, hasa kama trades si zangu... but hua nakua humbled sasa na incidents zinazomgusa maisha ya mtu directly.
Kuna huyu dogo, nimemzidi kama mwaka au miwili, niseme tulikua nae kitaa kimoja enzi bado niko mtoto. Bahati mbaya huyu bwana hakufanikiwa kuendelea na masomo yake baada ya kufail form 4. Sasa akawa anaunga unga kitaa, akapataga leseni ya kuendesha magari, mwishoe akaja akaajiriwa kuendesha yale magari ya kunyanyua mizigo kampuni 1 ya publishing. But still mambo hayakuchange - coz mshahara alikua anapewa buk 10, akikata nauli na maji anabaki na matatizo.
Sasa huyu dogo hua anajua home ninapoishi nikiwa Dar, akanicheki, akaomba nimsaidie. Mimi nikaona nimpe siri ya forex, lkn bado nilikua nina hofu sana kutokana na uelewa wake na level yake ya elimu, but nikasema nijitahidi nitakavyoweza.
Nikawa nampiga pindi kila siku masaa mawili kwa wiki 2 mfululizo, namuonesha ninavyotrade nk nk, nikamfungulia demo ya 1000 nikawa namtest skills zake.
Sasa J5 nikamwambia aweke pesa aliyonayo ajifunze kutrade, nilikua nahofia sana kwamba ataweza kuunguza account siku ya kwanza, but I just gave him confidence. Akatafuta pesa akapata km dola 150, nikamwambia aongeze zingine 150 ili iwe 300 ili aweze kutrade bila hofu na kupunguza probability ya kuunguza account (kadri account inavyokua ndogo ndio rahisi kwa mtu kuipiga kiberiti). Lkn dogo akasema hapo ndio mwisho wake.
Nikamwambia afanye afanyavyo lkn asitumie lot size kubwa zaidi ya 0.01. Jana ijumaa ndio ametrade kwa mara ya kwanza, na leo ndio akanitumia screen shot hii (nimeiedit ili kuficha baadhi ya info zake)![]()
Hii imenipa motivation sana, hapa ni kama kagonga 5% ya balance yake... hii ni kama 14,000 kaipata kwa muda mfupi sana, hajatumia nguvu nyingi zaidi ya knowledge - ndio pesa ni ndogo, lkn ni wangapi wamenunua bajaji kwa mil 7 na kwa siku hawapati elfu 15??.
Mtu kama huyu mdg mdg ataanza kupiga 20,000 per day, atakuja 30,000 per day atafika kipindi anapiga mshahara wa Professional lawyer au auditor per day. Ni matter of time of learning more about the market na kua mvumilivu.
this boy is a pure definition of a hustler - hana masters, hajasoma international finance, hajui hata definition ya micro economy but he's hungry for knowledge. That's all he has!!
Cheers!! Happy weekend bosses!!
naam kaka...pia wewe utafaidi sana humuForex naona imekushep to the maximum
sina mengi..nakuhimiza tu uzidi kujikaza babaJieleze unasikilizwa.
Kaka tupo pamoja nasi tuko nyuma tunakuja pole pole..Hayo ya kuchafuana yamepita - tupeane ushirikiano in case of anything!!
Weekend motivation
Hua sipendi kabisa kupost screen shots za trades, hasa kama trades si zangu... but hua nakua humbled sasa na incidents zinazomgusa maisha ya mtu directly.
Kuna huyu dogo, nimemzidi kama mwaka au miwili, niseme tulikua nae kitaa kimoja enzi bado niko mtoto. Bahati mbaya huyu bwana hakufanikiwa kuendelea na masomo yake baada ya kufail form 4. Sasa akawa anaunga unga kitaa, akapataga leseni ya kuendesha magari, mwishoe akaja akaajiriwa kuendesha yale magari ya kunyanyua mizigo kampuni 1 ya publishing. But still mambo hayakuchange - coz mshahara alikua anapewa buk 10, akikata nauli na maji anabaki na matatizo.
Sasa huyu dogo hua anajua home ninapoishi nikiwa Dar, akanicheki, akaomba nimsaidie. Mimi nikaona nimpe siri ya forex, lkn bado nilikua nina hofu sana kutokana na uelewa wake na level yake ya elimu, but nikasema nijitahidi nitakavyoweza.
Nikawa nampiga pindi kila siku masaa mawili kwa wiki 2 mfululizo, namuonesha ninavyotrade nk nk, nikamfungulia demo ya 1000 nikawa namtest skills zake.
Sasa J5 nikamwambia aweke pesa aliyonayo ajifunze kutrade, nilikua nahofia sana kwamba ataweza kuunguza account siku ya kwanza, but I just gave him confidence. Akatafuta pesa akapata km dola 150, nikamwambia aongeze zingine 150 ili iwe 300 ili aweze kutrade bila hofu na kupunguza probability ya kuunguza account (kadri account inavyokua ndogo ndio rahisi kwa mtu kuipiga kiberiti). Lkn dogo akasema hapo ndio mwisho wake.
Nikamwambia afanye afanyavyo lkn asitumie lot size kubwa zaidi ya 0.01. Jana ijumaa ndio ametrade kwa mara ya kwanza, na leo ndio akanitumia screen shot hii (nimeiedit ili kuficha baadhi ya info zake)![]()
Hii imenipa motivation sana, hapa ni kama kagonga 5% ya balance yake... hii ni kama 14,000 kaipata kwa muda mfupi sana, hajatumia nguvu nyingi zaidi ya knowledge - ndio pesa ni ndogo, lkn ni wangapi wamenunua bajaji kwa mil 7 na kwa siku hawapati elfu 15??.
Mtu kama huyu mdg mdg ataanza kupiga 20,000 per day, atakuja 30,000 per day atafika kipindi anapiga mshahara wa Professional lawyer au auditor per day. Ni matter of time of learning more about the market na kua mvumilivu.
this boy is a pure definition of a hustler - hana masters, hajasoma international finance, hajui hata definition ya micro economy but he's hungry for knowledge. That's all he has!!
Cheers!! Happy weekend bosses!!
Aiseee!!! Hata mi nitaweza kumbeHayo ya kuchafuana yamepita - tupeane ushirikiano in case of anything!!

Asante mkuu...nitafanyia kazi!!Ukiwa unafungua account kuna sehem ya mwanzon kabisa pale unapoweka jina...kwa chin kuna sehem ya kiwango unachotaka kuset!! Sasa hapo hapo chagua cha chin kabisa!! Account ya pesa nying ni nzuri ila kama unataka kuanza na 1mil dola[emoji23][emoji23][emoji23]...kama no mwenzang na mie tuanze na hizi za pesa ndogo ndio utapa uhalisia kidogo!!
Fungua account mpya ndio utaweza kuset!!
Karibu mkuu!
Mkuu bado napata tatizo...naona amount ya chini wameset 3000 usd na nashindwa kuedit...Ukiwa unafungua account kuna sehem ya mwanzon kabisa pale unapoweka jina...kwa chin kuna sehem ya kiwango unachotaka kuset!! Sasa hapo hapo chagua cha chin kabisa!! Account ya pesa nying ni nzuri ila kama unataka kuanza na 1mil dola[emoji23][emoji23][emoji23]...kama no mwenzang na mie tuanze na hizi za pesa ndogo ndio utapa uhalisia kidogo!!
Fungua account mpya ndio utaweza kuset!!
Karibu mkuu!
Mkuu bado napata tatizo...naona amount ya chini wameset 3000 usd na nashindwa kuedit...
Wewe umefanyeje kuweka 50usd? Vipi leverage unatumia ratio ipi?
Huyu threader ni mtu wangu wa karibu sana na hili ndio jukwaa langu for years and I have been transformed here from the first place more than 6 years ago thanks to the JF now am in the process of what I got here and I live in the progress. So welcomesina mengi..nakuhimiza tu uzidi kujikaza baba
Mkuu ninapokusoma nasikia mwili kusisimka, ninapo yaona maneno yako yenye hekima na busara kiasi hiki.. Kamanda unamoyo wakipekee sana. Acha niwe na akiba ya maneno zaidi nikuuombe kwa mungu kile unachowawazia binadamu wenzako kifanikiwe..Unachokisema nakijua vzr sana, umasikini naujua inside out, nimeuishi almost 80% ya maisha yangu. Nauchukia sana umasikini, ndio maana sitaki hata watu walionizunguka waingia ktk mtego wa kua masikini. Poverty damn sucks deep down!!
Sijaanza leo kuwashirikisha watu kile kidogo nnachokifahamu... I do this for love - hakuna anaenilipa, niseme hakuna anayeweza kunilipa. Kwa hii forex ningeweza kukaa zangu ndani nimezungukwa na screen nashusha zangu pips, kwa siku kulala na $3000 inanitosha sana - tena hata Bongo ningehama niende SA.
Lkn siku zotenajiuliza sana, kuna furaha gani kuaccumulate pesa zoooooote afu siku ukifa unaziacha watu wanazigombania. Kuna haja gani ya kuwa na pesa kwa nia ya kutafuta sifa watu wakulambe miguu na kukuona mfalme. Kuna faida gani kuzungukwa na majirani wasio na uhakika wa milo miwili kwa siku huku wewe mbwa wako anakula balanced diet - ni kama UCHAWI aisee. Hivi kuna haja gani mtu uondoke duniani kama ukivyokuja, yani hata ukifa hakuna anayesikitika... it's cr*p
Unajua bana mtu kua na pesa si kwamba yeye ni genius sana, ama talented or anything, it's just by the love of God (no disrespect for atheist/agnostic). Kama hiyo Love umepewa bila kulipia kwanini nawewe usisambaze just ROBO ya huo upendo??Hapa nilikua nina miaka 21 (National museum theatre)![]()
Hapa nilikua nina miaka 22 (ESRF).![]()