Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Asante Mkuu ONTARIO, nawaza ratiba na muda wa khakikisha kuwa niko ndani ya hiyo 300 list
 
Huu uzi ni wa manufaa kuliko!Hii biashara nimeiwaza toka namaliza chuo bt nilikuwa nafikiria jinsi ya kufanya nashindwa naanzaje
 
Mkuu nitapenda kujiunga na darsa lako aise maaana kwa Changamoto ninazopitia Mtaani Mungu pekee ndiye anayejua Asante kwa kutupa mawazo yakinifu na Makini sana.
 
Mkuu, nashukuru kwa elimu nilibahati kukutana na hiyo kitu kwenye mtandao nikafuatilia....virtual A/C, binary coins....etc nikaanza kuhisi naenda kutapeliwa.
Binafsi, nashukuru kwa elimu; sasa nimeanza kupata picha kuwa ni serious business. Naomba ni miongoni mwa hao JF members 300 kupata mafunzo ya muda mfupi/training wakati utakapofika; mwenyezi Mungu akutangulie katika kutimiza malengo hayo muhimu kwa watanzania@_Ontario_
 

Hahaa boss nimefatilia ule uzi, nimekuta kumbe nimechanganya na mjomba fulani anaitwa laki si pesa - huyo jamaa kila akinikuta lazima anirushie maneno ht km hayako relevant. ID zenu kama zinataka kufanana, huku fisadi huku lakosipesa so usipotulia unaweza kuchanganya. Nisamehe kwa hilo boss wng.

Pili, nakuna kitu nachukia kama empty words, unakuta mtu anaongea ama kupinga kitu bila fact. Mtu kama huyu hua namwambia wazi, wala simaanishi nafeel offended kua challenged or something. Mfano! Kuna thread yangu fulani kuna mtu mpvmbavu anakuja anasema ananifahamu mimi hadi umri wangu, na kwamba nadanganya watu kuhusu hilo na blah blah.

Kitu kama hiki si challenge, bali ni kama kuexpose upuuzi wa huyo mtu, ndio maana kabla mtu kama huyo hajaaminisha watu upuuzi wake nakua mkali with tangible facts. Uzi ule kama uliona nilipost hadi passport yangu kuonesha jinsi gani alivyo mpuuzi.

Turudi kwenye mada yetu.

Boss twende pole pole, wapi wewe ama mtu unamfahamu aliweza kuibiwa na accredited broker wake, yani hii dunia ya leo. Like serious come with tangible proofs mimi pia niko tyr kujifunza zaidi. Pia narudia kuomba msamaa kwa kukuchanganya na mtu mwingine.
 
Nimekupata arifu! Nimesitisha zoezi! Nadhani kwa sasa acha niendelee kujifunza basic za forex na ku practice kwenye demo/virtual account ili nikuze ujuzi!!

Nashukuru sana kwa mawazo yako!
 
Asante sana kwa Uzi wako mkuu nitajitahidi kila wakati kufatilia unachokitoa humu JF na nitakuwa member wako pia Mungu anipiganie niwe miongoni mwa hao 300.
 
Naona watu wamepata hamasa ya hatari. Hivi ni Mimi ndio sielewi au wadau humu ndani ndio wamepata mihemko? Watu wapo busy kuangalia profits wanasahau kuwa mwenye uzi alisoma vitabu 6 Tena kwa kuelewa mstari kwa mstari huku akiwa na mtu wa kumpa miongozo. Hii kitu sio ya kulala na kuamka tajiri, msiwe na matumaini makubwa hivyo mtakuja kupata presha bure

Nina hakika katika hao watu 300 ni watu wasiozidi watano tu ndio watakuja kuwa traders wazuri maana sio kwa mihemko hii

Ningekuwa Mimi ndio nyie ningejipa Mwaka wote huu kwa ajili ya kujifunza lakini pia ningesoma sana stori za watu walio filisika kwenye hii biashara.

MUWE WAVUMILIVU msiweushwe na mafanikio ya Ontario. You have been warned. Mbaya zaidi Wabongo sisi wavivu kusoma vitabu, watu mtakuja kulia humu mseme Ontario tapeli.

Nakushauri ndugu Ontario ukianza kufundisha watu kwa kuwalipisha ada uweke kifungu kwenye joining form kwamba training does guarantee success in Forex trading, trade at your own risk [emoji23]

NB: hongera kijana Ontario, utafanikiwa kwa nia yako ya kusaidia wengine. Mimi nitaingia mkataba na wale ambao watakuwa cream/vichwa kwenye Darasa lako la watu 300, nawapa hela ya kuanzia warudishe kwa riba [emoji1]
 
Acha watu wajifunze,inawezekana kati ya watu 300 wakaelewa watano itakuwa ni mafanikio makubwa tatizo letu la kuogopa risk tutajikuta tumezeeka with nothing na hizo risk huwa zinapunguzwa kwa kuwa na awareness kama hizi

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Boss! Sijawahi kuanza kitu na kuishia njiani. Never. Nimedraft kila kitu until to the end. Najua forex ni biashara ambayo ina uncertainties zake nyingi, lkn once umemaster basi umeimaster mazima.

Sipo tayari kuona watu wanapoteza pesa zao kisha mimi nibebe lawama, sipo tayari darasa la watu 300 watu wa5 tu ndio wafanikiwe. I will be so stupid, kupangisha office space kwa $3000 kwa mwezi kisha watu wa kwanza wakaenda kunitangaza negatively.

Moja ya nguzo kubwa ni guidance, tutafungua group labda WhatsApp ama telegram na kuhakikisha trade ambayo mimi naingia ndio trade watu wote wanaingia. Kama hao watu 295 wakipoteza pesa zao basi mimi niwe wa 296. Kama umewahi kufanya trading kuna kitu kinaitwa signals, yani hii ndio kama inakuwezesha kuingia na kutoka kwenye trades. Mimi na team yangu tunaweza kutoa hizi signals pamoja na analysis wakati watu wanapiga pesa wakati huo huo wanajifunza kutrade kwa skill zetu.

But thanks kwa kutukumbusha kua Forex si rahisi, inahitaji dedication sana, kujifunza sana, masaa mengi ya kukesha na kuelewa kila kitu. Lkn uzuri ni kwamba kama una right mentors kazi inarahisishika zaidi.
 
You are good boss. At least unafahamu major pair hata kwa kuziandiaka (GBP/USD) basi uko vzr. Meet you at class boss. Unafahamu hata fundamental analysis nk, naomba usikose kuja class nikimake a call kua tupo try.

Thanks mkuu, ulipopost ule uzi "niulize chochote kuhusu ujasiliamali" uligusia kidogo FOREX na ukataja na kitabu cha kuanza nacho sisi dummies, sikufanya ajizi nilidownload kile kitabu na na kuanza kukikomalia na bado naendelea kusoma zaidi. Cant wait kwa hiyo training kuanza mkuu, count me in.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…