Nipo kwenye group telegram kuna wadau wanachora hadi ma butterfly huko, hatari asee vijana mmeamkaHahaha. Ngoja watoto wa-graduate kwanza tuanze kutupia analysis humu.
Sidhani kama kuna mtu ameshafika huko kwa sasa.
Hahah.Nipo kwenye group telegram kuna wadau wanachora hadi ma butterfly huko, hatari asee vijana mmeamka
Unajiungaje na hili group wakuu..@OntarioHahah.
Naona Ontario anaanza kuapiga makonzi wakati bado mnanyonya.
Muulize huyo jamaa aloweka hiyo post.Unajiungaje na hili group wakuu..@Ontario
Trade like a Pro
Mimi nikifanya analysis situmii indicator yoyote (hua naziita takataka), kitu kikishakua laggish kwangu kinakua senseless automatically. So hua natumia price action. Yani nikisema price action namaanisha kuamgalia movement ya currencies nyuma na kuamini kua itabehave ivo hata baadae, ni sawa na kusema - kama mvua ilinyesha mwezi wa 2 na wa 3, basi hata mwakani itanyesha miezi hiyo hiyo.
1. Najaribu kuangalia behaviour ya EURUSD kwa wiki ijayo.
1 kwa 1 naona wazi kuna pattern ya head and shoulder - hii ni 1 ya pattern maarufu sana na ya kuaminika pia... kinachotokea ni hiki:-
Kwa chart yetu hii iliyoform ni head and shoulder TOP.
●Hatua ya kwanza ni kuform bega la kushoto. Price itapanda kutoka chini (neckline) hadi price ya juu, kisha itarudi tena kwenye neckline yetu. - kwenye chart yetu ya EURUSD hii imetokea.
●Hatua ya 2 ni kutengeneza kichwa, hapa price itapanda kutoka kweye neckline na kuzidi usawa wa bega la kushoto kisha itarudi tena chini na kugonga neckline yetu. ' kwenye chary yetu ya EUTUSD hii imetokea.
●Hatua ya 3 ni kutengeneza bega la kulia, hapa price itapanda tena na kufika level ya bega la kushoto, the irudi tena kwenye neckline.
●Hatua ya mwisho baada ya kutengeneza bega la kulia, price itashuka chini vby mno hadi kugonda support level ya huko chini.
Sasa kwa analysis yng naona hatua zote 3 za mwanzo zimeform, na forecast yangu ni kuwa price itashuka vibaya sana. Pia tukiangalia historical data, wakati price ilikua kwenye hiyo level automatically ili reverse na kuvunja hiyo support level na kushuka hadi chini kwenye support mpya ya 1.08568. Hiki ndicho nitaexpect kitokee wiki ijayo.
So EURUSD will be strong BEARISH so it's a good indication for a serious sell.
Nakuja kukupa 'angle' nyingine ya analysis mkuu.Trade like a Pro
Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.
Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.
Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.
So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.
Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.
Enjoy the week ahead beautiful people
Mkuu unajiungaje kwa hilo group??Nipo kwenye group telegram kuna wadau wanachora hadi ma butterfly huko, hatari asee vijana mmeamka
Yeah. Ila angalia amount ya loss..
verry interesting, mwanzo tulimezeshwa indicators vby,Trade like a Pro
Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.
Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.
Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.
So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.
Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.
Enjoy the week ahead beautiful people
yes sirTraining gani imeanza?unaizungumzia ile ya ONTARIO Kwa watu watakaochaguliwa??
I have no say bro, boonge la ideaThis is such a fantastic idea my biggest boss
Sikuwahi kufikiria hii kitu mkuu sana, yani sikua nayo kabisa... Thanks for the digestion.
Space niliyochukua ina sqm 236, ambapo kila sqm ni $15/month. So kwa haraka haraka hii space haitatosha kwaajili ya kuweka hiyo lounge. Pia nnavyoona active traders kwa sasa hawapo wengi kiivyo, so nikisema nichukue office space ambayo ipo jirani hapo, say kwa $2000/month. Kisha monthly subscription iwe na watu wa4 itakua ni kama loss.
So nahisi baada ya batch 2 hivi, nina uhakika kunaweza kua na monthly subscription zaidi ya watu 100... hapo jirani na office yangu kuna space free ya sqm 170. Pale tunapafurnish vizuri, tunaweka kama executive lounge, free wifi, meza kali, viti vikali, AC murua kabisa, soft drink and coffee, TV screens kwajili ya news, yani kama VIP fulani very exotic.
Tunaeza kuanza na subscription fee ya $200, na mtu akisubscribe maana yake anapata access ya umeme, Internet, market updates, live tradings, kupiga story kiujumla, sharing life experiences, kusocialize n.k. it's really a cool idea. Wote tunaingia na kuexit trades kwa pamoja, tukichoka tunavuta ice creams tunaanza story mambo mengine huku tukisubiria soko lipumue. This idea is sooo cool. Siku tukichelewa kutoka, tunaangalia UEFA humo humo, na weekends zingine tunakutana kusukuma EPL.
Nimeattach tu random picture ya mshkaji angu Ashley mSouth Africa, he's a good trader... siku moja moja tunakua tunawaleta kushare experience nk nk.
(huyo aliyesimama), he's just 22 but inspiring
Mkuu unajiungaje kwa hilo group??
shukrani sana mkuu, tatizo nilipotea kidogo sasa kuna post nyingi sana zimenipita, nimepata kile kimoja cha dummies ngoja nindelee kucheki kama kuna vingine..Link hii hapa
Forex Traders
Ila nakushauri anza kusoma vitabu vilivyo wekwa humu kwenye thread otherwise kwenye group utaona maruweruwe
download hiki hapa nimekutumia ila jitahidi usipitweshukrani sana mkuu, tatizo nilipotea kidogo sasa kuna post nyingi sana zimenipita, nimepata kile kimoja cha dummies ngoja nindelee kucheki kama kuna vingine..
asante tena.
duh mkuu asante, nimeshakipakua... ngoja nile nondo kiongozi..download hiki hapa nimekutumia ila jitahidi usipitwe
Mkuu haya maujanja kwa sisi tunaoanza tunaitaiji utulivu kidogo kuyaelewa.. Ila ukishakua na mwanga yanaeleweka.. Tupe mUjanja mkuu.. Me wakati nati nacheza na demo niligundua njia yangu kama kucheki speed ya mabadiliko ya soko.. Kiukweli kwenye indicator bado siko poa.. Ila naamini nikipata nafasi ya darasa nitakua mbaya balaa.. Sitafanya tena kwa kubahatisha..Trade like a Pro
Najaribu pia kuangalia pair ya GBPJPY hapa nitatupia sakafu na paa, wenyewe wanaita floor and ceiling ama support and resistance.
Nikichora hizo zones zangu, automatically zinanirudisha hadi Feb 2013 wakati price ilikua ktk hiyo zones. Price kwanza ikagusa paa, baadae ikaanza kushuka chini hadi ikagonga sakafu kisha ikapanda kwa mwendo wa kumsukuma mlevi.
Oct 2016 pia price ikarudi kwenye hiyo zone tena, ikatii support na resistance yangu, ikagonga paa, then ikashuka chini kwenye sakafu kisha ikapanda tena hadi kwenye paa. Na sasa imeshuka kwenye sakafu yangu... ninachokiona ni piga uwa galagaza lazima price ipande tena juu.
So hapa bila shaka GBPJPY itakua bullish so I expect to buy.
Mambo kama haya ndio tutahadithiana darasani wakuu.
Enjoy the week ahead beautiful people
daaa mkuu umepotea jukwaa hapa sio mahala pake,hapa nikusoma na kumake money mambo ya field hata humu tuko field tunabukua tu
Tumezeshe mkuu hata tusipopata bahati ya darsa tupo tutakao faidika..Nakuja kukupa 'angle' nyingine ya analysis mkuu.
Ngoja nikirudi home..
Bomba la idea hili. Palipo na wengi hapaharibiki kitu, hasa tukiwa tunaongea lugha moja.This is such a fantastic idea my biggest boss