This is such a fantastic idea my biggest boss
Sikuwahi kufikiria hii kitu mkuu sana, yani sikua nayo kabisa... Thanks for the digestion.
Space niliyochukua ina sqm 236, ambapo kila sqm ni $15/month. So kwa haraka haraka hii space haitatosha kwaajili ya kuweka hiyo lounge. Pia nnavyoona active traders kwa sasa hawapo wengi kiivyo, so nikisema nichukue office space ambayo ipo jirani hapo, say kwa $2000/month. Kisha monthly subscription iwe na watu wa4 itakua ni kama loss.
So nahisi baada ya batch 2 hivi, nina uhakika kunaweza kua na monthly subscription zaidi ya watu 100... hapo jirani na office yangu kuna space free ya sqm 170. Pale tunapafurnish vizuri, tunaweka kama executive lounge, free wifi, meza kali, viti vikali, AC murua kabisa, soft drink and coffee, TV screens kwajili ya news, yani kama VIP fulani very exotic.
Tunaeza kuanza na subscription fee ya $200, na mtu akisubscribe maana yake anapata access ya umeme, Internet, market updates, live tradings, kupiga story kiujumla, sharing life experiences, kusocialize n.k. it's really a cool idea. Wote tunaingia na kuexit trades kwa pamoja, tukichoka tunavuta ice creams tunaanza story mambo mengine huku tukisubiria soko lipumue. This idea is sooo cool. Siku tukichelewa kutoka, tunaangalia UEFA humo humo, na weekends zingine tunakutana kusukuma EPL.
Nimeattach tu random picture ya mshkaji angu Ashley mSouth Africa, he's a good trader... siku moja moja tunakua tunawaleta kushare experience nk nk.
(huyo aliyesimama), he's just 22 but inspiring