wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,377
Duh! Mkuu hii ilikuwa comment yangu ya page ya ngapi sijui nyuma huko ndio unaileta sasa!! Watu wanaongelea lounge sasa embu tupe maoni yako
By the way nime acknowledge kuwa naelewa kwamba hajibu pm kwahiyo ile ilikuwa ombi maalumu na nilikuwa nasubiri akubali ndio pm itumwe. Anyways, unaonaje wazo la kuwa na lounge? [emoji2]
If my reply resembles yours it could be hitting an iron while it is still hot...anyway it was my free thought when i quited.
First of all you should be a risk taker to be in this business..but from this very beginning you are trying to show us that you are a timid kind of a trader...calm down bro..relax bring your advice to ONTARIO via this platform..let members discuss the issue and if it will be worth doing it we will support it 100% and if not 0%.
Unajua mkuu sidhani kama kuna haja ya kuleta sijui magroup ya whats,insta,Facebook n.k mtajikuja mnaleta magroup ya kimkoa,wilaya,mtaa hadi ya kifamilia hapa..wewe ingia chimbo kama next wiki unatakiww kupresent thesis yako kwa ma professor. Ontario ameshatuambia tumsubirie kila kitu kitakuwa sawa na hakuna mtu ataachwa as long as ni member wa JF...nikuambie kitu mkuu kuna watu wameshaanza kumpiku Ontario humu ndani kana kwamba ndiyo wao walioanzisha hili wazo.
Mimi nionavyo ni vyema tukamsubiri Ontario ili hata kama utapata tatizo aweze kutusaidia kwa urahisi zaidi.
Anyway ni kipindi cha pili sasa ngoja nimcheki CHICHAROTOZ..